Kwa miaka ya 80, 90 mpaka early 2000 kua na gari nyumbani, tv, geti na friji. Watoto wakaenda shule za private huo ni ushua tosha.Tafsiri ya ushua ina mitazamo tofauti mkuu, kwako afisa ubalozi sio ushua kwa mwingine kupaka blu bendi kwenye mkate ni ushua tosha π
Labda tutafute consensus ya maana ya ushua alafu ndio tuendelee na mada
jux kakulia kishuani ni moja kati ya majirani zangu pia nimesoma naye shule moja ipo tabata segerea inaitwa happy skil full internation siku hizi wamebadili jina sijui inaitwaje nilimpita darasa moja.marehem babaake ni mtu wa kwanza pale kimara baruti kuwa na benz enzi hizo.so kakulia kwenye pesa..bmkubwa wake alikuwa anafanya kazi bandarini .namkubuka jux enzi hizo anatembelea rava 4 kill time,kabla hata watu hawamjui kimziki tunamjua kitaa na shuleni kwa vile alikuwa ndio msanii pekee shuleni.mengine siyajuiMANENO YA VIJIWENI HAYA HEBU NITAJIE MALI WANAZOMILIKI FAMILIA YA KINA JUX
Mtaa mzima nyumba za umeme mbili tu![emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]maisha haya!Kwa miaka ya 80, 90 mpaka early 2000 kua na gari nyumbani, tv, geti na friji. Watoto wakaenda shule za private huo ni ushua tosha.
Jay moe ni wa kisure how ...mbona anaishia normal tuuJay moe wa kishua Sana ..wanamijengo ya kutosha hapa bongo sinza ..makumbusho magomeni....alafu ndugu zake wote wako kiwanja...now anaishi sinza Vatican..
Halafu unakuta kuna gari bovu imepaki hapo mbele ya nyumba. Ilikua unyama sana yaaniMtaa mzima nyumba za umeme mbili tu![emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]maisha haya!
Le Mutuz
Huyu babaake alikuwa Waziri mkuu wa Serikali ya Jamhuri. Sema hapa sina picha yake.
Nakuambia na vitabu vya kizungu,chumba cha juu ghorofani![emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28]
Nahreel siyo mtoto wa Mkono.
Ulitaka aishijeJay moe ni wa kisure how ...mbona anaishia normal tuu
UngaNini kulimuomdoa Langa Kileo?
Unga
Internation?? Wazazi wako walipoteza ada burejux kakulia kishuani ni moja kati ya majirani zangu pia nimesoma naye shule moja ipo tabata segerea inaitwa happy skil full internation siku hizi wamebadili jina sijui inaitwaje nilimpita darasa moja.marehem babaake ni mtu wa kwanza pale kimara baruti kuwa na benz enzi hizo.so kakulia kwenye pesa..bmkubwa wake alikuwa anafanya kazi bandarini .namkubuka jux enzi hizo anatembelea rava 4 kill time,kabla hata watu hawamjui kimziki tunamjua kitaa na shuleni kwa vile alikuwa ndio msanii pekee shuleni.mengine siyajui
Simu ni ya TTCL mtaa mzima iko moja tu, ndio mnashea wote!! Ikipigwa simu yako unakuja kuitwa nyumba ya sita huku wanguwanguMtaa mzima nyumba za umeme mbili tu![emoji23][emoji2][emoji2][emoji2]maisha haya!
Anajiita nahreel mkonoNahreel siyo mtoto wa Mkono.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wasanii wa kisua wa kwanza best naso baba ake anashamba Na Ana nyumba ya kupangisha,dudubaya baba ake alikua mtu anayemiliki tv kitaani pale nyegezi afu kuna sister p yeye shemeji yake ni Askari police pale central
Anamwita Mkono mbunge baba mkubwaAnajiita nahreel mkono
Rudi kulalaWasanii wa kisua wa kwanza best naso baba ake anashamba Na Ana nyumba ya kupangisha,dudubaya baba ake alikua mtu anayemiliki tv kitaani pale nyegezi afu kuna sister p yeye shemeji yake ni Askari police pale central