Capital G
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 3,445
- 5,336
Kuishi normal ndio kuishije mkuu? Au unamaanisha matajiri wana namna yao ya kuishi na masikini pia? Mimi nadhani kila mtu ana namna yake ya kuishi whether ana pesa au hana au katoka familia duni au ya kipato iwe tu haimsumbui mtu au kuvunja sheria za nchi na nikupe siri wenye pesa wengi wanaishi maisha ya kawaida sana ila sisi wa vipato vya kawaida ndio huwa tunajikweza sanaJay moe ni wa kisure how ...mbona anaishia normal tuu