Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

Waweke hapa Wasanii wa Bongo Waliozaliwa / Kuishi Familia za Kishua

Jay moe ni wa kisure how ...mbona anaishia normal tuu
Kuishi normal ndio kuishije mkuu? Au unamaanisha matajiri wana namna yao ya kuishi na masikini pia? Mimi nadhani kila mtu ana namna yake ya kuishi whether ana pesa au hana au katoka familia duni au ya kipato iwe tu haimsumbui mtu au kuvunja sheria za nchi na nikupe siri wenye pesa wengi wanaishi maisha ya kawaida sana ila sisi wa vipato vya kawaida ndio huwa tunajikweza sana
 
Hehehehe...watanganyika wanatokea kwenye umasikini wa kutupwa, DStv tu eti wa"kishua[emoji1787][emoji1787][emoji38][emoji38]
Sijajua wewe umekulia mazingira gani kushangaa dstv wakati huo haikuwa ushua.. hivi una habari kuna vijiji hapa tz ukiwaambia habari za dstv hawajui unaongelea nini? Nadhani kinachoongelewa hapa ni unafuu wa kiasi fulani wa maisha, sio ushua wa kuwa mabilionea kumbuka na kwa wakati huo matajiri walikuwa wa kuhesabu hapa bongo
 
Jay moe ni wa kisure how ...mbona anaishia normal tuu
jay moe namuonaga kweny Tv tu ila yawezekana jamaa kasema kweli, kuishi normal sio kitu mkuu, mtoto wa Mobutu anaitwa Nzanga nae anadai ni masikini wakati amewahi kufanya kazi ikulu ikiwa ndio ajira yake ya kwanza,badae akawa waziri na akaacha kazi, ukimkuta anaongea utadhani ni masikini
 
jay moe namuonaga kweny Tv tu ila yawezekana jamaa kasema kweli, kuishi normal sio kitu mkuu, mtoto wa Mobutu anaitwa Nzanga nae anadai ni masikini wakati amewahi kufanya kazi ikulu ikiwa ndio ajira yake ya kwanza,badae akawa waziri na akaacha kazi, ukimkuta anaongea utadhani ni masikini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Enzi hizo huwezi kuta mtoto wa kigogo anakuwa msanii au mcheza Mpira hizo zilikuwa kazi za watu wasiojielewa na maskini.

Hata hao mnawaita wavishua walioingia kwenye usanii,wengi malezi yalikuwa hovyo ndio maana wakaenda huko.

Uliwahi kuona wapi hapa duniani mtoto wa kiongozi mkubwa wa Nchi anakuwa msanii au mcheza mpira labda yule mtoto wa George weah.
mkuu hiyo conclusion yako haipo sahihi, mtoto wa Gaddafi amecheza mpira Italy, mjukuu wa Mobutu ni mcheza basketball huko Marekani,mjukuu wa Stalin (aliyeongoza urusi) ni muuza duka huko Marekani
 
Me nadhani unatokea familia ambayo ni ya chini sana ndio maana unaona yote hayo ni ushua kwako,kusoma Canada hata wewe kapuku unaweza kusoma kwa scholarship, acha kujifanya wa mjini akati hujui dunia inaenda vipi.bado nakukatalia mama kuwa TPA sio justification ya ushua wa familia,nipe sababu nyingine.
Magufuli alikua Waziri mwandamizi then akawa Rais lakini watoto wake kuna wakati walikua wanasoma udom tu hapo na wengine Tumaini.je hao ni wa kishua au sio wa kishua?
ushua unaozungumziwa na huyo jamaa ni uwezo wa kula mara 3 na kusoma shule nzuri ki maisha ya kati, yani ushua wa kuwa na nyumba kubwa na kutolala njaa
watoto wa Magufuli kwa mantiki hiyo walikuwa wakishua,inasemwa jesca alikuwa anafuatwa na v8 na kwenda kulala kwa mkuu wa mkoa tulioamishia serikali
 
Kwani kusoma shule ya private ndo kwenu matawi, zamani shule za serikali zilikuwa chache shule mzima wanafaulu watu watatu wakizidi sita, wengine private, mbona watu wengi tulisoma private, kigurunyembe sekondary, forest Hill, kusoma privare ni wakisua, zamani kawaida tu.
 
Me nilitegemea uniambie mama ake alikua anamiliki viwanda kadhaa hapa mjini,kumbe unanipa story za kuajiriwa TPA?sasa muajiriwa ana nini zaidi ya pesa ya kula tu na kubadili mboga,au we mwenzangu unatoka familia ya namna gani mpaka uchachawe na mtumishi wa TPA?
Vijana wanachanganya sana mambo[emoji4]
 
some years back anayekumbuka crew ya Diplomatiz nasikia walikuwa watoto fulani wa kishua sana
Ndo akina Dola .Dola Sasa hivi yupo USA ni Injinia .mwenzake mmoja anafanya kazi UN shirika la afya duniani.Ni Dr kafkia levo ya uprofesa.Yule jamaa ni shida analindwa kama Rais Mana yupo kitengo Cha Utafiti kuhusu dawa ya UKIMWI.Ana watu wengi na kumuona inabdi upitie mlolongo mrefu Sana on short jamaa ni mtu mkubwa Sana hapa DUNIANI.Wa tatu ndo sijui anafanya nini lakini nae yupo USA.DOLA babake alikuaga anafanya kazi shirika moja wapo la umoja wa mataifa .kwa Hawa wasanii ni kweli walikua wakishua kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo akina Balozi.Balozi Dola Sasa hivi yupo USA ni Injinia .mwenzake mmoja anafanya kazi UN shirika la afya duniani.Ni Dr kafkia levo ya uprofesa.Yule jamaa ni shida analindwa kama Rais Mana yupo kitengo Cha Utafiti kuhusu dawa ya UKIMWI.Ana watu wengi na kumuona inabdi upitie mlolongo mrefu Sana in short jamaa ni mtu mkubwa Sana hapa DUNIANI.Wa tatu ndo sijui anafanya nini lakini nae yupo US. babake Balozi alikuaga anafanya kazi shirika moja wapo la umoja wa mataifa .kwa Hawa wasanii ni kweli walikua wakishua .

Sent using Jamii Forums mobile app



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom