Wayahudi wanaamini katika itikadi ya JINO KWA JINO, yani wanaongea lugha ambayo maadui zake wanaielewa.....ukiniua nakuua, ukinitukana nakutukana...!!Sasa Hamas ndio watoto wadogo wa Gaza? Kwa nini wasigombane na Hamas wao wanaenda kuua innocent civilians?
Walifanya nini boss!?Kwa ujinga wako hata hujui Oct 07,2023 magaidi hao walifanya nini huko Israel!!
Mgogoro ulianza 1948 pindi Waarabu walivyopewa ardhi ya palestina na wayahudi kupewa ardhi ya palestina wagawane ili kuepusha migogoro ya kikabila na kidini, wayahudi walikubali maramoja ila waarabu wakagoma, ndo zikaanzishwa vita rasmi.....Sasa in war The winner always write the story....!! Ukipoteza vita jiandae kupoteza na ardhi.Israel iliiteka gaza na West Bank 1967 Hamas iliianzishwa 1987 , fikiria hapo utapata jibu
Imani za kijingaWayahudi wanaamini katika itikadi ya JINO KWA JINO, yani wanaongea lugha ambayo maadui zake wanaielewa.....ukiniua nakuua, ukinitukana nakutukana...!!
Wewe ungekubali tuje kugawana shamba lako hapo kwako?Mgogoro ulianza 1948 pindi Waarabu walivyopewa ardhi ya palestina na wayahudi kupewa ardhi ya palestina wagawane ili kuepusha migogoro ya kikabila na kidini, wayahudi walikubali maramoja ila waarabu wakagoma, ndo zikaanzishwa vita rasmi.....Sasa in war The winner always write the story....!! Ukipoteza vita jiandae kupoteza na ardhi.
Before 1948 hiyo ardhi ilikua chini ya British colony, haikua nchi, even before british hiyo ardhi ilikua chini ya utawala wa Ottoman.....kwahiyo katika hiyo ardhi kulikua na jamii za kiarabu, kiyahudi na other ethic groups....kwahiyo huwezi sema specific hiyo ardhi ilikua ya waarabu wa kipalestina pekee.Hauwezi vamia taifa la watu kimabavu watulie tu
Gaza ilikua under egypt occupation till 1967 ilipoteza kwenye six day ward, west bank ilikua under Jordan pia.Israel iliiteka gaza na West Bank 1967 Hamas iliianzishwa 1987 , fikiria hapo utapata jibu
Hamas ni matokeo ya mgogoro wa wayahudi na waarabu wa palestina, ni ma hardliner, chanzo cha mgogoro nimesha kieleza tayari.Hamas waliibuka tu nakuanza kupambana bila shida yoyote kumbe?
Kwenye vita kuna Collateral damage.Sasa Hamas ndio watoto wadogo wa Gaza? Kwa nini wasigombane na Hamas wao wanaenda kuua innocent civilians?
Hizo 22% ambazo palestina walikubali wapewe chini ya yassin araphati ikawaje walowezi wa ashkenaz wanazichukua tena kimabavu?Before 1948 hiyo ardhi ilikua chini ya British colony, haikua nchi, even before british hiyo ardhi ilikua chini ya utawala wa Ottoman.....kwahiyo katika hiyo ardhi kulikua na jamii za kiarabu, kiyahudi na other ethic groups....kwahiyo huwezi sema specific hiyo ardhi ilikua ya waarabu wa kipalestina pekee.
Kama jamii mbili zinavutana mara kwa mara ni bora zigawane mbao tu mfanoWewe ungekubali tuje kugawana shamba lako hapo kwako?
Wewe Mwarabu-koko ndiyo unayeteseka sana maana huna mbele wala nyuma umemezeshwa ujinga na waarabu nawe umeufakamia bila kujiuliza!!!
Huu ni mtazamo wako , sikiliza hizo clip hapo juu utaona mtazamo wa wayahudi , ndio maana ukiona wapalestine hawachoki kupambania haki uwe una elewa maana yaoKama jamii mbili zinavutana mara kwa mara ni bora zigawane mbao tu mfano
India na pakistani ni jamii zilizotofautiana kiitikadi ikabidi wagawane ardhi tu
Sudan na South sudan pia hivyo hivyo
Taiwan na China
Ugoslavia pia iligawanyika
Kwahiyo ukicheki hiyo trending ni kitu natural kugawana ardhi usuluhishi wa maneno ukishindikana.
West bank hiyo.....Jews wanaiterm kama judae na samaria......huko ki namna flani jews wanazingua.Hizo 22% ambazo palestina walikubali wapewe chini ya yassin arafafi ikawaje walowezi wa ashkenaz wanazichukua tena kimabavu?
Mavi yamejaa kichwani mpaka wanapingana na wayahudi wenyeweYaani wewe kijana wa uwanja wa fisi , Manzese , unawajua zaidi wayahudi kuliko wayahudi wenyewe wanavyojijuwa ?? Au umekuwa punga ??
View attachment 3675815
Kwa wayahudi pia wametofautiana kimitizamo.....mfano hasidic jews hawataki kabisa masuala ya kugrab ardhi pia hata kujiunga jeshini huwa wanakataa, ila kuna Zionist hawa ni wazee wa ardhi na kudeal jino kwa jino na waarabu wa palestina....pia kuna liberal jews hawa ni pro-western yaani hawajali kuhusu ardhi, wao ni kula bata etc....kwahiyo hayo maoni uliyoyaleta ni sehemu ya kundi la jews lenye hiyo mitazamo.Huu ni mtazamo wako , sikiliza hizo clip hapo juu utaona mtazamo wa wayahudi , ndio maana ukiona wapalestine hawachoki kupambania haki uwe una elewa maana yao
Upo sahihiKwa wayahudi pia wametofautiana kimitizamo.....mfano hasidic jews hawataki kabisa masuala ya kugrab ardhi pia hata kujiunga jeshini huwa wanakataa, ila kuna Zionist hawa ni wazee wa ardhi na kudeal jino kwa jino na waarabu wa palestina....pia kuna liberal jews hawa ni pro-western yaani hawajali kuhusu ardhi, wao ni kula bata etc....kwahiyo hayo maoni uliyoyaleta ni sehemu ya kundi la jews lenye hiyo mitazamo.
Ndo lugha inayoeleweka hapo mashariki ya kati mkuu, jifanye mnyonge upotee, Wakristo wanazidi kupukutika middle east kisa kuendeleza itikadi ya waombeeni maadui zenu, adui yako akikupiga shavu la kushoto mgeuzie la kulia, eti wapendeni maadui zenu......in middle east inabidi uwe hardcore kiswasawaImani za kijinga