Wote nyie mnaoamini katika Dini ndio mnaofuata mayahudi na makristo.M.a.k.a.f.i.r.i mnatabu sana kwa waislamu
Hawatakuwa radhi juu yako Mayahudi wala Wakristo mpaka ufuate mila zao
Hiki mnachokijadili si tu kwa wazanzibari, bali mnawalenga waislamu wote wa Tanzania.
Kwa tafsiri sahihi ya neno kafiri.
Ni kwamba Wanzanzibar karibu 97 ni makafiri wewe ukiwemo.
Sema kwa tafsiri mlizomezeshwa madrasa kwa ustadh Jumaa basi sisi ni makafiri
Mkuu unatuchonganisha na mtoa mada ili na sisi waislamu tununue ugomvi.Hiki mnachokijadili si tu kwa wazanzibari, bali mnawalenga waislamu wote wa Tanzania.
Mkuu! Umetumia akili saana.Mkuu unatuchonganisha na mtoa mada ili na sisi waislamu tununue ugomvi.
Sio sawa.
Ondoa ile mentality ya kwamba akisemwa mzanzibar basi wanasemwa waislamu
Kama hili la visogo mtoa mada naona katoa hisia zake tu lakini haina maana kuwa katugusa waislamu wote.
Huyu kawagusa wazenji tu.
Naomba kuwasilisha
Achana na mambo ya Dini. Changia mada ya machogo mkuu.Mimi sio mzanzibari mkuu. Poa mkuu.. kama nimekukwaza nisamehe!
Kafiri=Hakika wale wanao mkataa Mwenyezi Mungu na Mitume wake, na wanataka kufarikisha baina ya Mwenyezi Mungu na Mitume wake, kwa kusema: “Wengine tunawaamini na wengine tunawakataa.” Na wanataka kushika njia iliyo kati kati ya haya. - Hao ndio makafiri kweli. Na tumewaandalia makafiri adhabu ya kudhalilisha” (an-Nisa, 4/150 151).
Na sio tusi mkuu[emoji1369]
Ila kuna raia wana machogo buana, unakuta mtu ana bichwa kama ndege fundi chuma...
Ile sijui husababishwa na nini wakati mtu alizaliwa fresh pasipo kichwa kubinywa binywa...
Sent using Jamii Forums mobile app
nafkiria unaongea kwa hisia sana,kila sehem watu wanazaliwa kutokana na maumbile yao ,asilimia kubwa ya wazanzibar wanazaliwa wakiwa hawana vichogo ila kwa watu wa bara wnazaliwa wakiwa na vichogo ,zamani ukiwa ukitaka kumtofautisha mtu wa bara na zanzibar basi kwanza ulikua unaangalia vichogo! kwa wanawake wanawake wa bara lazima wawe na viuno vikubwa kuliko wa zanzibar sasa hii ndio tuseme wanawake wa zanzibar wanminywa viuno ama vipi!Wanafanya ujinga saana. Hawajui wanawaharibu watoto wao. Ndio maana kila mwaka shule zao zinashika mkia.
Hujui maana ya neno "kafiri" niulize nitakupa maana
nafkiria unaongea kwa hisia sana,kila sehem watu wanazaliwa kutokana na maumbile yao ,asilimia kubwa ya wazanzibar wanazaliwa wakiwa hawana vichogo ila kwa watu wa bara wnazaliwa wakiwa na vichogo ,zamani ukiwa ukitaka kumtofautisha mtu wa bara na zanzibar basi kwanza ulikua unaangalia vichogo! kwa wanawake wanawake wa bara lazima wawe na viuno vikubwa kuliko wa zanzibar sasa hii ndio tuseme wanawake wa zanzibar wanminywa viuno ama vipi!
kisarawe kulikua na kampeni ya kuondo sifuri darasani inakuaje hii! vipi katika matokea ya vyuo unaangalia lkn wazanzibar wantoboaje ? wacha ubaguzi uo ,unachuki sana na wazanzibar si ndio ?
Wewe ndio unaleta chuki.. Cha msingi acheni kuwaminya watoto vichogo vina distort their sense of judgement and mental health wanakuwa mazezeta zezeta.nafkiria unaongea kwa hisia sana,kila sehem watu wanazaliwa kutokana na maumbile yao ,asilimia kubwa ya wazanzibar wanazaliwa wakiwa hawana vichogo ila kwa watu wa bara wnazaliwa wakiwa na vichogo ,zamani ukiwa ukitaka kumtofautisha mtu wa bara na zanzibar basi kwanza ulikua unaangalia vichogo! kwa wanawake wanawake wa bara lazima wawe na viuno vikubwa kuliko wa zanzibar sasa hii ndio tuseme wanawake wa zanzibar wanminywa viuno ama vipi!
kisarawe kulikua na kampeni ya kuondo sifuri darasani inakuaje hii! vipi katika matokea ya vyuo unaangalia lkn wazanzibar wantoboaje ? wacha ubaguzi uo ,unachuki sana na wazanzibar si ndio ?
Akili unazo au huna!?Mbona mimi sina kisogo na sikuminywa jamani
Usikute una kichwa flati kama flat screen kwa nyuma ndio zenuNa nyinyi acheni kuwa bena watoto na kwaongezea makalio
Bora u mweleze huyo aliyeminywa kichwa..hana akili hawezi hata kuchambua mambo kwa ufasaha..mentally corrupted eti kisa bharagashia iwapendeze..kweli dini ni use...Wewe ndio unaleta chuki.. Cha msingi acheni kuwaminya watoto vichogo vina distort their sense of judgement and mental health wanakuwa mazezeta zezeta.
Sababu ya zero kisarawe Ni nyingine ... Kisarawe wanapenda kuolewa mapema na ngono zembe. Zanzibar hakuna ngono zembe.
Tatizo la Zanzibar academically ni kuminyana vichogo ila kisarawe Ni ngono zembe.
Mtoto anafanywa Homo Pithecus bila kupenda... Ka mi sikubali, sio kwa chogo hilo! 🤣[emoji23][emoji23]
Na hawa pia wanawafunga watoto kamba mpaka Chogo linarefuka
Sasa sijui nao huwa wana akili zaidi
View attachment 1790832
Mtoto anafanywa Homo Pithecus bila kupenda... Ka mi sikubali, sio kwa chogo hilo! [emoji1787]
Waafrika tulishaanza kuwa creative toka kitambo kumbe, tunatengeza wachina yaani, ukiwa mkubwa tofauti yako na mchinku inakuwa Chogo na weusi tu, kwingine copyright dadeq! [emoji1787] [emoji1787][emoji1787]
Bora niwe Mmasai sasa, nikaue Simba *****!!😬😂🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti hukubali
Hiyo ni mila ungezaliwa huko ungefungwa kamba ikakazwa haswa mpaka unalia wakati unakuwa [emoji23][emoji23]
Kweli kuna makabila wanapitia mengi sana hadi huruma