Wazanzibari acheni kuwaminya Watoto visogo

Kwa Simba afadhali! 🤣 😬😬😬
 
Daah! kweli.. Kuna shule moja hivi nilisoma na vipemba asilimia kubwa vichwa vyao nyuma vimebonyea aiseh.. Afu hata tulivyokuwa katika mazungumzo au kujadili mambo walikuwa wanaongea ujinga mpaka nikawa nawaza hawa jamaa wazima kweli... Daah! Kumbe athali za kubonyeza kizenji kwenye chogo ponyeeeee!
 
vipi mbona china wana maendeleo na wapo smart kuliko sisi wenye visogo? na hawana vichogo ikiwa ni moja ya utamaduni wao kuwakanda watoto wadogo vichwa ?

umeandika pumba maana kama ungelijua ubongo una plasticity nature jumlisha temporal specificity (Nikimaanisha kwamba unaweza ku demage part moja ya ubongo na uka adapt kuzitumia part nyengine za ubongo kufanya kazi ya payt iliyo damage) usingeandika uliyoyaandika hapo juu.

Na kingine ni kuwa ubongo wa mtoto mdogo bado unakuwa .
 
Kitu chochote kinachousisha disturbance ya ubongo ni hatari kwa hatma ya akili.
 
Kitu chochote kinachousisha disturbance ya ubongo ni hatari kwa hatma ya akili.
Unajua kuna jamaa anaitwa "Carlos Rodriguez" kwa jina la usanii halfy Anaishi bila portion kubwa tu ya ubongo wake kuanzia kati kuja mbele huyu aliwahi kupata ajali ya gari ikamsababibishia hayo.

Kuna watu tisa pekee duniani wanaotambulika kuishi bila "cerebellum" yaani hawana kabisa cerebellum yote na wanaishi vizuri tu na hata wameoa na kuolewa .

Kiuhalisia sayansi ya ubongo ni pana na mpaka leo hakuna anayeelewa jinsi ubongo unafanyaje adaptation zake .

Swali langu haujanijibu narudia tena "vipi? wachina wawe smart kutuzidi na wakati wana desturi ya kukanda kichwa ili mtoto asiwe na kichogo? "
 
Wachina ndio asili yao hivyo..sasa hawa wamanyema watumwa wa waarabu wenye chogo toka kitambo..wanaminya watoto makusudi ili wawe na vichwa kama dumu eti wapendeze wakivaa baragashia..kumbe wanaminya ubongo na kuua nerves za ubongo ambazo ni none generative..zikifa zimekufa..ndio mana wengi ni zero brain.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una
Unapoongelea asili yao unamaanisha ndivyo wanavyozaliwa?

Kama hayo hapo juu ndiyo majibu yako basi naomba nikurekebishe , ni hivi wachina wanaamini na ni mila iliyopo tangia zamani kwamba mtoto akiwa hana kichogo itaufanya uso wake kuwa wa mviringo zaidi na kuzidishia uzuri(uso wa mviringo ni beauty standard ya uchina tangia zamani sijajua kwa sasa).

Pia itamuondolea bahati mbaya na kumzidishia bahati ukubwani na kingine ni mtindo wa nywele ule wa kunyoa koote na kuachia nywele inaning'inia hadi mgongoni ukiwa na kichogo isingewezekana kuonesha unavutia .

Hivyo iliwalazimu/inawalazimu wazazi kuwalaza watoto wao kwenye vibao vigumu tena chali kwa muda mrefu ili kukifanya kichwa kuwa flat kwa upande wa nyuma.

Swali langu lipo pake pale kwanini wao wasipate madhara na badala yake wapo very smart kutushinda sisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…