Tetesi: Wazanzibari wengi wanautweza Utanzania, shida ipo wapi?

Na ukitaka umfurahishe mzanzibar basi we muambie umefanana na muarab.. baso roho yake inapaa balaa
Hilo jina mbona Tata?
Nakumbuka siku Kipchoge Keino alipotambulishwa na Kenyatta. Kenyatta Ni mkikuyu na Keino kwa kikikuyu Ni uchi wa mwanamke.
Kenyatta na uhuni wake aliwiwa vigumu kumtangaza shujaa Keino kwa majina yote mawili
 
Kwanini Muscat haijakuwa kama Dubai mpaka leo?
Kwanini haijakuwa kama U.A.E?
 
Hawakuupenda huu muungabo toka mwanzo

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mwarabu sio kabila, ni "race"
Basi mkuu unataka afurahi kuitwa Msukuma? Ikiwa afurahi kuitwa Msukuma kwanini asifurahi kuitwa Mwarabu? Hayo yote si ni makabila tu?
 
Uitwe mzanzibar,Mtanzania,au mtanganyika,ni majina tu hayana significance yoyote,kitu chenye uzito unatumia passport ipi?ya Tanzania ni nzito kwa hadhi kuliko ya Zanzibar,
 
Hata ukijitambulisha Mtanzania itabidi umalizie suali ni wa kutoka wapi ? So kurahisisha mambo unasema Zanzibar ,unajua jina Zanzibar linajulikana zaidi kuliko jina Tanzania. Ukimwambia mtu mi ni mTanzania anakuuliza Tanzania ipo wapi,ila ukisema ni kutoka Zanzibar huwa analia kama ng'ombe kwamba ameshakuelewa au hata ukimwambia Daresalaam au kenya.
 
Mkuu, nahisi mleta mada hakukusudia kisheria, amekusudia kipsychologia zaidi,
Kwanini hii jamii ya watanzania wanapenda kujitambulisha kama ni wazanzibari na sio watanzania, tofauti na ndugu zao Watanganyika ambao wanafurahi kujitambulisha kama wa Tanzania.
Ni kweli, na wala sio walio Uarabuni peke hata walioko Europe, America and other parts of the world, what do they have in mind
 
Hahahahahaahahah!

Deep down your heart inakuuma wao kufanya hivyo.
 
Kwa akili yako we unajua kuna muungano? Kuna nchi moja imeikoloni nchi nyingine kwa jina
 
Subutu yake!

Hivi ndivyo Lukuvi alivyowadanganya!

Zanzibar was way far developed before this union. Na the only thing holding Zanzibar back is this union.

Usingekuwa huu muungano Zanzibar ingekuwa level za United Arab Emirates huko.

Kindly take note.
 
Kuna muungano au ukoloni?
 
Uitwe mzanzibar,Mtanzania,au mtanganyika,ni majina tu hayana significance yoyote,kitu chenye uzito unatumia passport ipi?ya Tanzania ni nzito kwa hadhi kuliko ya Zanzibar,
Naunga mkono hoja, uraia uko determined na the passport you hold and the place you come from!.
JMT ni nchi moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yenye uraia mmoja tuu, uraia wa Tanzania. Mtu yoyote yuko huru kujinasibu vyovyote kokote, ila when it comes to all the official matters, ni Mtanzania.
p
 
You wish hahaahahahhahhah
 
You wish hahaahahahhahhah
 
Ili wawe na maendeleo ni lazima kuungana na wengine?? kwann wasisimame wao kama wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…