Tetesi: Wazanzibari wengi wanautweza Utanzania, shida ipo wapi?

Hahahahahaahahah!

Deep down your heart inakuuma wao kufanya hivyo.
Utambulisho wa uraia is something to be proud of, ni uzalendo kama ulivyo utambulisho wa mahusiano.

Zamani Binti Zanzibar alikuwa huru na utambulisho wake na passport yake na kiti chake kule UN.

The same applies for Tanganyika.

Wakaanzisha mahusiano mapya ya muungano kama ndoa, wawili hawa, wakaungana kwa upendo na kuwa kitu kimoja, Tanzania.

Hivyo Zanzibar na Tanganyika ndio yule Bwana wa zamani, Bwana mpya wa sasa ni Tanzania!.

Kama nilivyoeleza muungano wetu ni kama ndoa, kuna the provider, the breadwinner and the recipient, hivyo ni kweli the breadwinner ni kama ana kiwivu fulani, kila mara mwenza wake anapojitambulisha kwa kujisibisha na yule Bwana wake wa zamani!, just imagine hata ungekuwa wewe, Relief Mirzska , kwa huyo mume aliyekuoa sasa, wewe ni chuo cha pili. Kila mkitoka out, mumeo anakutambulisha, huyu ndio mke wangu wa sasa, baada ya kuachana na Binti Sultan (mke wake wa kwanza), ndio sasa nimemuoa huyu bi Relief Mirzska !. Utafurahi?.
p
 
Kama kilivyokuwepo kitambulisho cha Mzanzibar basi itakuwepo na passport ya Mzanzibar
Kwa hilo la Passport, mtasubiri sana!. Ila mkiamua mnaweza, kama wimbo wa taifa mliomba mkapewa, bendera nayo mnayo mnaipandisha japo mwisho chumbe, yake mafuta ya kwenye kinibu pia nimepewa, hiwezi jua na hili la uraia, Zanzibar ikarejesha passport yake, hili likifanyika inabaki kugawana fito tuu, kila mtu ashike lwake!.
P
 
Nimefurahi na kushkuru wewe kunitukana.

Hii post najua kwa kuipeleka na najua itasaidia katika "harakati" zetu.

Ubarikiwe Pascal 😁😁😁
 
Hakuna marefu yasiyo na ncha.

Hata zamani watwana wenzio walisema haitowezekana Sisi kuwa na wimbo wetu, au bendera yetu.

Pole pole ndio mwendo na tutafika tu.
 
Nimefurahi na kushkuru wewe kunitukana.

Hii post najua kwa kuipeleka na najua itasaidia katika "harakati" zetu.

Ubarikiwe Pascal 😁😁😁
Duh...!. Yamekuwa hayo?!.
Haya peleka tuu, labda itasaidia kuharakisha!, ila hala hala nisije kutafutwa, kuitwa na kuhojiwa, pale nimeuliza swali na alama ya kuuliza nikaiweka.
Na hapa nauliza tena, hata ungekuwa wewe Relief Mirzska , ungefurahi?
P
 
we ni mchaga mbona mna wivu sana wazanzibar hamuwawezi wacha wajiproud kivyao na nyie mnavyoleta ubinafsi wenu na ushamba huku bara ni wabaguzi sana
 
Unajidanganya sana, mbona Comoro haijawa ?!. Lakini ni vizuri mkaachwa mjisimamie badala ya mizigo yenu kubebeshwa Tanganyika na waTanganyika.
 
Unajidanganya sana, mbona Comoro haijawa ?!. Lakini ni vizuri mkaachwa mjisimamie badala ya mizigo yenu kubebeshwa Tanganyika na waTanganyika.
Comoro ni Comoros na Zenjibaar ni Zenjibaar!

Hili la kuachwa limepiganiwa miaka na miaka, ila kwa sababu ya ubinafsi wenu eti sasa hivi ndio mnaona linafaa kwa kuwa tu Rais wa JMT ni Mzanzibar na anafanya haki kwa Wazanzibari
 
Hoja nzuri uliyoileta
ni ukweli usiofichika kwa maana naweza kusema kua Wazanzibari wengi tunapenda kuitwa Mzanzibari na tena hujisikia faraja sana tukiitwa Mzanzibari kuliko mtanzania maana hata katika historia Zanzibar ilikuwepo mwanzo kuliko hiyo tanzania
sio vibaya nawewe ukapenda na ukaona fakhari kuitwa mtanganyika

asante kwa kusoma
Zanzibar kwanza
 
Uko sahihi, let's say colleges zote za ulaya na Asia hufanya ivo. Yaani ni kama Mmorocco na baadhi ya waarabu wa kaskazini anavoukataaga ubara wa Africa katika tafrija zotee za students na makazi ughaibuni, wao husema sio waafrika hata kama mkiwa na kitu cha pamoja wao hawamo na hujitenga, na hata wakijitambulisha hawapendi kusema front africa.

Ni sawa na mbiafra wa Nigeria, msawari wa Sahara ya Morroco na mhong kong wa Uchina hawatakagi hiyo story ya utambulisho wa jumla.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Comoro ni Comoros na Zenjibaar ni Zenjibaar!

Hili la kuachwa limepiganiwa miaka na miaka, ila kwa sababu ya ubinafsi wenu eti sasa hivi ndio mnaona linafaa kwa kuwa tu Rais wa JMT ni Mzanzibar na anafanya haki kwa Wazanzibari
Hii kitu haina faida kwa Tanganyika ni mizigo tu. Muungano uridhiwe na wote , lakini kama wengine wanajiona wa levo nyingine huku siyo, ni bora mkaachwa .

Tumeona miungano mingi ikifa na maisha yakaendelea. USSR , Ugoslavia, Senegambia etc. Sasa hii ya hapa na haina jipya ni swala la muda. Yoote haya ni kwa sababu ya Ccm . Siku wakikaa wenye akili kwishnei
 


Nani kakudanganya mkoloni atakuletea maendeleo. Miaka yote oman ilitawala zanzibar nn cha maana imeacha
 
In Sha Allah havitozama
suala la Muungano sio tatizo hata leo uvunjike hakuna shida na ishu kua Islamic State ni ndoto kwa kila muislam kuwe na dola ya Kiislam
Zanzibar itakuwepo na itazidi kuwepo In Sha Allah
 
Kuna watu ni wapuuzi sana ukikaa na hao watu utaona sijui akili zao zina tope la mavi yaaan wanamuona mwarabu km sijui ni nani kumbe waarabu nao ni wapuuuzi tu unakuta jitu linajitenga na nyie linajionaaa hua nacheka tu ukija kujua kumbe baba yake ni mnyamwezi ama mmakonde walio mama kaibia kwa mwarabu.Wangejua waarabu wanavowachukulia watu weusi hata kujikomba kwao wasingetaka ni bora hata ya mzungu .
 
Hata wewe tunakushangaa kwenye kichwa cha uzi wako umesema ''wazanzibari''walau ungesema watanzania wa visiwani!!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…