Tetesi: Wazanzibari wengi wanautweza Utanzania, shida ipo wapi?

Kwani wewe unakereka vipi kuitwa Mtanganyika au Mmakonde? Mbona Mtikila (RIP) aliutweza Utanzania hadharani na kuutukuza Utanganyika?
 
Aaahhhahahh Machogo buana!!
 
Si mpya hata kidogo. Mtazamo wako labda ni kieeno, sikimataifa. Ukiwaangalia hao watu wanaojiita "Waarabu" duniani, wengi wao ni chotara. Maana unawakuta wale wanaoonekana kama "Mwarabu wa Jangwani", labda hao ni wajukuu wa Waarabu asilia wasiozaa na wengine. Ila hao ni wachache. Taifa kubwa ya Waarabu ni Misri. Ilivamiwa na Waarabu wa jangwani waliotawala, lakini watu ni walewale Wamisri wa kale walioanza kupokea lugha na dini baada ya karne nyingi. -
Waarabu unakuta "weupe" wenye macho ya buluu na "weusi" wasio tofauti na yeyote hapa kusini. Sababu ni 2
1) katika utaratibu wa Uislamu mabwana waliweza kuchukua (na kununua) wake wengi, na soko la watumwa lilileta warembo wa kila rangi. Hivyo walizaa na kila rangi. Katika sharia ya Kiislamu watoto wa MWislamu watakuwa Waislamu na sehemu ya familia, hata kama mama alikuwa mtumwa. (tofauti na mabwana huko Marekani - mtoto wa mtumwa alibaki mtumwa).
2) Waarabu walivamia eneo kubwa kutoka Hispania hadi mipaka ya China. Kutoka Iraki hado Moroko walifaulu kufanya lugha yao kuwa lugha kuu (zamani haikuwa vile), sasa hao wote ni "Waarabu". Lakini mababu walikuwa Berber, Wamisri, Washamu, Wababeli . . . . . Damu ileile. Lakini pamoja na watumwa kutoka kila upande unaona mchanganyiko mkubwa.
Umoja ni kiutamaduni: Lugha na pia dini (wamebaki Wakristo Waarabu).
 
Ni kweli kabisa. Nilwahi kuishi nao Uingerza kwa mwaka mzima. Pia wanabaguana muunguja na mpemba. Sababu kubwa ya wapemba chukia waunguja na watanganganyika walikuwa wanasema ni kubaguliwa kutawala kwa wapemba jambo walilosema linaungwa mkono na watanganyika. Sijui kuna ukweli ganI ILA NASIKITIKA WAZANZIBAR WANANUNUA ARDHI NA KUJENGA HUKU TANGANYIKA ILA NIMESIKIA HUKO KWAO TUKIENDA TUTAPATA ARDHI KAMA MWEKEZAJI? JE NIKITAKA NIJENGE NYUMBA YA KUISHI TU INAKUWAJE?
 
Nani kakudanganya mkoloni atakuletea maendeleo. Miaka yote oman ilitawala zanzibar nn cha maana imeacha
Oman walikuwa hawana utajiri wa mafuta wakati ule. Zanzibar ingeungana na Oman, wakati walivyoanza kutajirika na mafuta Zanzibar ingefaidika pia. Huu mnaouita muungano uliopo sasa ni wa kugawana umasikini tuu na chuki. Faida yake nini?
 
Mara elfu kumi ya mzungu Ngosha wa busisi. Hii mijitu ishakuwa brain washed nimesema. Sometimes utakuta Wana utambulisho wa vipilipili ngozi hata chungu ni cheupe. Hafu wangejua waarabu walivyo na roho mbaya balaa
 
Oman walikuwa hawana utajiri wa mafuta wakati ule. Zanzibar ingeungana na Oman, wakati walivyoanza kutajirika na mafuta Zanzibar ingefaidika pia. Huu mnaouita muungano uliopo sasa ni wa kugawana umasikini tuu na chuki. Faida yake nini?
Sasa inheungana na Oman wakati visiwa vyenyewe Mungu bariki vimemeguka bara na wabara mngewapeleka wapi .ushamba na elimu Naona ndo tatizo hapa
 
Nasikia kwa sasa Tanganyika inatumika kuijenga zanzibar kwa migao ya pasu kwa pasu.......nafikiri ndani ya utawala wa chifu hangaya zanzibar inageuka kuwa dubai.
 
Sasa inheungana na Oman wakati visiwa vyenyewe Mungu bariki vimemeguka bara na wabara mngewapeleka wapi .ushamba na elimu Naona ndo tatizo hapa
Unajua hivyo visiwa vilimeguka lini? Milioni ya miaka iliyopita. Sasa nani aliishi hapo bara hiyo miaka? Unajua wabantu walianza kusambaa lini mpaka wakafika hapa? Ni kweli ushamba na elimu ndiyo tatizo.
 
Unajua hivyo visiwa vilimeguka lini? Milioni ya miaka iliyopita. Sasa nani aliishi hapo bara hiyo miaka? Unajua wabantu walianza kusambaa lini mpaka wakafika hapa? Ni kweli ushamba na elimu ndiyo tatizo.
Long time ndiyo ila vikizama hakuna anaeweza piga mbizi mpaka Oman so kinga ni Bora kuliko tiba .haya jibu na hoja ya kujifanya waarabu wakati vinasaba ni vya kuangaliwa na Telescope tena ya anga za mbali
 
Njaa Tu yaani ukiolewa ndo unatajirika ?
Mbona hujibu swali? Mambo ya Zanzibar yanakuhusu nini? Mbona mambo ya Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo na kwengine huyaingilii kama unavyotaka kuingilia Zanzibar? Hamjaoa, mmevamia Zanzibar. Na iko siku mtaondolewa kwa sababu ya mentality kama zako na za yule baba yako Nyerere. Unaona Zanzibar kama mkeo badala ya kuiona ni nchi mliyoungana nayo. Wazanzibari wamechoka.
 
Ujue tuna wake huko brother ohooo. Zanziba ni damu ya bara Ila tatizo linaletwa na colonial mentality ya wachache wanaojifanya waarabu
 
Ujue tuna wake huko brother ohooo. Zanziba ni damu ya bara Ila tatizo linaletwa na colonial mentality ya wachache wanaojifanya waarabu
Kihistoria Zanzibar ilikuwa sehemu ya Oman. Sasa asili haipotei, siyo colonial mentality. Oman ni ndugu. Tatizo Zanzibar ilivamiwa baada ya mapinduzi haramu na ya kishetani yaliyomwaga damu za watu wasio na hatia. Kama haya yasingetokea kungekuwepo na uwezo wa kuungana na Oman tena.
 
Nyerere alishasema kwenye hotuba zake hakuna uzanzibar wala uzanzibar

Kama mwasisi anasema hivyo wewe unangoa porojo tu hapa
Na Nyerere kwako ni mtume ? ... ati Nyerere kasema sheiz type wewe.
 
Inahitaji vizazi na vizazi kuulewa ukweli maana hapo unaamini ni mwarabu .duuu pole babu weee Ila tushajiburudisha huko so tuna wajonba zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…