Wazazi acheni uhuni na visingizio, toeni urithi kwa watoto. Elimu sio urithi!

Unaonekana mhaya lakini mawazo ya kichagga! Urithi umewafikisha kwenye vihamba vyenye Mashiba ya migomba matano. Ni umaskini tu! Tafuta vyako vya baba yako ni vyake vimtunze hadi afe. Akivigawa is utamtunza wewe? Kwani yeye alijengewa na baba yake?


Jamii zote zinazoacha Urithi ndizo zilizoendelea.
 
Umesema vyema Makuu,watu wanajidai wana dini wakati maandiko hawajui.
 
Umepewa elimu pambana kivyako unataka uandaliwe hadi mahari ya kuolea huo utakua uchoko sasa


Elimu sio Urithi mbona unakichwa kigumu Mkuu!

Hivi unaweza wapa watoto chakula ati ndio useme Urithi,
Elimu ni basic need Kwa mtu inayomsaidia kutumia Rasilimali.

Mzazi unapaswa uache Urithi WA rasilimali ambazo mtoto atazitumia kuendesha maisha yake baada ya kupewa elimu.

Nimekupa mifano hapo kwenye andiko langu.

Kuhusu kuoa, mahari inataratibu zake kulingana na utamaduni so usikurupuke
 
Ikiwa ni hivyo Hongera.

Ila kàma unanafasi jitahidi uwaachie watoto Urithi WA Mali mbona mashamba yenyewe ni laki mbili tuu
Nimesomesha na ninasomesha wanangu kwa shida halafu niwaachie mashamba wao pesa zao kwanini wasinunulie mashamba kama wanataka? Au unataka wanangu pesa zao ziishie kwenye ulevi,ngono nk?
Mm sasa nakula bia tamu kwa kwenda mbele.
 
Wazee wetu walirithi Ardhi na Mifugo,kosa walilofanya hawakuendeleza hizo Mali,waka amini katika Ajira (Survival)
 
najaribu kuielewa fasihi ya mvivu!
 
Nimesomesha na ninasomesha wanangu kwa shida halafu niwaachie mashamba wao pesa zao kwanini wasinunulie mashamba kama wanataka? Au unataka wanangu pesa zao ziishie kwenye ulevi,ngono nk?
Mm sasa nakula bia tamu kwa kwenda mbele.


😂😂😂

Ninyi ndio Wale wababa wahuni ninaowataja kwenye andiko.

Pesa zao watawaandalia watoto wao Urithi.

Elimu bila Rasilimali ni Sawa na mdomo pasipo Meno.

Labda umsomeshe kisha umpe kazi.

Muwe na akili ninyi Wazee, sasa Kama akili zenu ndio hizi hamuoni mnafanya Vijana wawadharau.

Tangu dunia inaumbwa, Elimu sio Urithi.
 
Kwenu ni wapi?
 
Hili la kuandaa urithi wa watoto ndio ujinga wenyewe. Mtoto anatakiwa atafute zake. Amewezeshwa elimu sio lazima asaidiwe kupata kazi, elimu impe kipato. Huu ujinga wa kusubiri urithi ndio taifa la wapumbavu linaanzia kwenye familia kumbe za aina hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…