Wazazi kuna hizi shule za English Medium ni majina tu ila ni takataka. Lakini bado zipo!

Wazazi kuna hizi shule za English Medium ni majina tu ila ni takataka. Lakini bado zipo!

Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography.
Kwani mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar?

Hebu tusaidie jibu la hilo swali lako
 
Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography.

Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English.

Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher...

Walimu Wao ntakutana nao January.
Mwalimu anaweza laumiwa.. huenda hajawa mpana.

Mwanafunzi anaweza laumiwa.. huenda hayuko makini darasani

Mzazi unaweza laumiwa.. huenda hufuatilii maendeleo ya mtoto, akirud home ni tv tu hadi anasahau vya shuleni.

Mtaala unaweza laumiwa.. mwalimu anafundisha yaliyopo kwenye syllabus...sina hakika kama hicho kipengele kimewekwa sawa. Huu mtaala ni tofauti sana na zamani. Enzi zile darasa la tatu makini anajua kuchambua geography na siasa ya kijiji.. siku izi wanataka ajue historia za marais
 
Acha kufananisha English medium na za serikali mzee hazifanani kamwee
 
English medium ubabaishaji mwingi sana ni vile wazazi sio wafatiliaji tena kwenye somo la mathematics ndio hakuna kitu kabisa hali mbaya
Hii Ni hatari mno.. Na haijakaa vizuri kabisa.
 
Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography.

Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English.

Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher...

Walimu Wao ntakutana nao January.

Wanatumia google map kwenye Simu

Ungempa Simu
Elimu za kukariri zimepitwa na wakati.Mfano akikariri kuwa anapita mkoa upi na upi so what? Anajaza mavitu kichwani useless
 
Tatizo ni wanao na wewe mwenyewe...
Sasa hilo swali lako hata mimi sijui..
Mkoa kabla ya Dar..
Kutokea wap?
Kwa kutumia usafiri gani?
Yes mwanawe Yuko vizuri yeye anauliza Hilo swali kumbe mtoto anawaza Usafiri wa Ndege yeye anawaza kupanda kimaskini Usafiri wa basi
 
Inawezekana mitaala umebadilika. Mi nakumbuka nlipokuwa Primary miaka ya 90...mida ya free tulikuwa tukichukua Atlas na kushindana kuinesha different points ktk maps..Dunia nzima. Be it lakes, cities, rivers,. Towns etc. So huenda haya Mambo siku hizi hayapo. Anyways ramani hii hapa
Tanzania,_administrative_divisions_-_de_-_colored_(+details).svg.png
 
Mwalimu anaweza laumiwa.. huenda hajawa mpana.

Mwanafunzi anaweza laumiwa.. huenda hayuko makini darasani

Mzazi unaweza laumiwa.. huenda hufuatilii maendeleo ya mtoto, akirud home ni tv tu hadi anasahau vya shuleni.

Mtaala unaweza laumiwa.. mwalimu anafundisha yaliyopo kwenye syllabus...sina hakika kama hicho kipengele kimewekwa sawa. Huu mtaala ni tofauti sana na zamani. Enzi zile darasa la tatu makini anajua kuchambua geography na siasa ya kijiji.. siku izi wanataka ajue historia za marais
Pale ambapo unakuta Mwalimu Ni 2000's generation..
Mwanafunzi nae 2000's generation..

Bado hatujasema...🤔🤔🤔
 
Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography.

Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English.

Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher...

Walimu Wao ntakutana nao January.
Hili ni swala mtambuka ila anza watoto wako maana hata sisi tuna watoto kwenye hizo shule ila hawana hayo matatizo .
 
Shule hii ni maarufu sana hapa. Na sihitaji kuhitaja jina hapa..

Kifupi hao wadhibiti ubora nao weupe tu.
Nina hasira kali..
Umefanya tathmini ya wanafunzi wote Wana tatizo Hilo au ni watoto wako peke yako
 
Kile kipindi sina shida ncho. Wanaenda shule za kata..

Ishu ni hizi ambazo tunalipa Milioni alafu watoto weupe.. huu ni upumbavu.
Hata hizo shule za kata sometimes tatizo sio shule ni wanafunzi wenyewe nakupa mfano mwanagu wa ujana alisoma shule ya kata Tena kitunda na Alipata form four 1.7 with nine A and this year kamaliza form six with 1.3 ilboru PCM so shida sio shule za kata
 
English medium za siku hizi zimevamiwa na makajanja. Jitahidi kupeleka mwanao zile kongwe huko kuna unafuu kuliko hizi mpya
 
Hata hizo shule za kata sometimes tatizo sio shule ni wanafunzi wenyewe nakupa mfano mwanagu wa ujana alisoma shule ya kata Tena kitunda na Alipata form four 1.7 with nine A and this year kamaliza form six with 1.3 ilboru PCM so shida sio shule za kata
Mkuu taratibu Basi..!!
 
Wazazi na mihemuko ya watoto. Mfumo wa Elimu hauko designed kumfundisha mtoto kila kitu. Vingine wanajifunza kutokana na "Experience". Sasa unakuta mtoto amezaliwa Dar hajawahi hata kutoka kwenda mkoa...halafu unataka ajue Tabora imepakana na mikoa gani. Hii si kazi ya shule unless kama unataka wakariri ramani.
hayo maswala ya ufahamu ndio yanatofautisha elimu za kale na za sasa.enzi zetu ilikuwa no kosa la jinai kutomfahamu waziri wa elimu,mkuu wa mkoa,wilaya nk.
japo unawezadhani ni upuuzi kwa sababu wanabadilishwa lakini ilitufanya kufukua kutaka kujua mambo mengi,kama tulivyo komaliwa kujua tebo mpaka 12, tukajikuta tukavuka mpaka 15 au 25.
watoto wa leo wanamjua zuchu na eltugru tu.

haka unakokatetea kutojua tabora imepakana na mkoa gani mpaka kasafiri,kesho kanakuaa ka DC kasikojua tabora inalimwa nini,zao gani linawezauzwa nje kutoka tabora,kiingereza kiiingi ila kwa ajiri ya kuongelea upupu hakana content.

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography.

Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English.

Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher...

Walimu Wao ntakutana nao January.
Wakwako hao mkuu. Wakazanie
 
Mkuu
Kuna kipindi EATV kinaitwa skonga
Kuna segment ya kuuliza maswali
Ukisikiliza majibu ya watoto wale kama wewe ni mwalimu unaweza chapa shule nzima watoto ni weupee
Yaani hamna kitu

Achana na hao nenda chuo kikuu ndio utachoka

Kuna wanafunzi wa UDSM wanaosoma maswala ya siasa
Waliulizwa swali hili

"Barabara ya mwenge kwenda ubungo inaitwa Sam Nujoma Road, je huyu Sam Nujoma ni nani?

Hakuna mwanafunzi alipata hili swali
Nilisikitika sana, kuona mwanafunzi wa UDSM anasoma Mambo ya siasa afu hajui swali dogo kama hilo
Mkuu Hali ni mbaya
 
Back
Top Bottom