Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar?Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography.
Mwalimu anaweza laumiwa.. huenda hajawa mpana.Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography.
Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English.
Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher...
Walimu Wao ntakutana nao January.
Hii Ni hatari mno.. Na haijakaa vizuri kabisa.English medium ubabaishaji mwingi sana ni vile wazazi sio wafatiliaji tena kwenye somo la mathematics ndio hakuna kitu kabisa hali mbaya
Hii Sasa Ni shida. HAPANA aisee..Tukumbuke hata magoli ya ku pasi yameongezwa kusaidia watoto wetu vilaza!
A inaanzia 65% kweli?!
Inatisha...
Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography.
Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English.
Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher...
Walimu Wao ntakutana nao January.
Yes mwanawe Yuko vizuri yeye anauliza Hilo swali kumbe mtoto anawaza Usafiri wa Ndege yeye anawaza kupanda kimaskini Usafiri wa basiTatizo ni wanao na wewe mwenyewe...
Sasa hilo swali lako hata mimi sijui..
Mkoa kabla ya Dar..
Kutokea wap?
Kwa kutumia usafiri gani?
Pale ambapo unakuta Mwalimu Ni 2000's generation..Mwalimu anaweza laumiwa.. huenda hajawa mpana.
Mwanafunzi anaweza laumiwa.. huenda hayuko makini darasani
Mzazi unaweza laumiwa.. huenda hufuatilii maendeleo ya mtoto, akirud home ni tv tu hadi anasahau vya shuleni.
Mtaala unaweza laumiwa.. mwalimu anafundisha yaliyopo kwenye syllabus...sina hakika kama hicho kipengele kimewekwa sawa. Huu mtaala ni tofauti sana na zamani. Enzi zile darasa la tatu makini anajua kuchambua geography na siasa ya kijiji.. siku izi wanataka ajue historia za marais
Hili ni swala mtambuka ila anza watoto wako maana hata sisi tuna watoto kwenye hizo shule ila hawana hayo matatizo .Embu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography.
Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English.
Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher...
Walimu Wao ntakutana nao January.
Umefanya tathmini ya wanafunzi wote Wana tatizo Hilo au ni watoto wako peke yakoShule hii ni maarufu sana hapa. Na sihitaji kuhitaja jina hapa..
Kifupi hao wadhibiti ubora nao weupe tu.
Nina hasira kali..
Hata hizo shule za kata sometimes tatizo sio shule ni wanafunzi wenyewe nakupa mfano mwanagu wa ujana alisoma shule ya kata Tena kitunda na Alipata form four 1.7 with nine A and this year kamaliza form six with 1.3 ilboru PCM so shida sio shule za kataKile kipindi sina shida ncho. Wanaenda shule za kata..
Ishu ni hizi ambazo tunalipa Milioni alafu watoto weupe.. huu ni upumbavu.
Kuzipata hizo shule kongwe sio mchezaEnglish medium za siku hizi zimevamiwa na makajanja. Jitahidi kupeleka mwanak zile kongwe huko kuna unafuu kuliko hizi mpya
Kuzipata hizo shule kongwe sio mcheza
Mkuu taratibu Basi..!!Hata hizo shule za kata sometimes tatizo sio shule ni wanafunzi wenyewe nakupa mfano mwanagu wa ujana alisoma shule ya kata Tena kitunda na Alipata form four 1.7 with nine A and this year kamaliza form six with 1.3 ilboru PCM so shida sio shule za kata
hayo maswala ya ufahamu ndio yanatofautisha elimu za kale na za sasa.enzi zetu ilikuwa no kosa la jinai kutomfahamu waziri wa elimu,mkuu wa mkoa,wilaya nk.Wazazi na mihemuko ya watoto. Mfumo wa Elimu hauko designed kumfundisha mtoto kila kitu. Vingine wanajifunza kutokana na "Experience". Sasa unakuta mtoto amezaliwa Dar hajawahi hata kutoka kwenda mkoa...halafu unataka ajue Tabora imepakana na mikoa gani. Hii si kazi ya shule unless kama unataka wakariri ramani.
Wakwako hao mkuu. WakazanieEmbu fikiria mtoto wako wa std six hajui Mkoa gani huanza kabla ya kufika Dar...!?? Geography.
Au hajui Verb forms za Verb 'be'.. English.
Wazee..! Kuna ujinga na tunapigwa. Nilitaka wasafirisha wanangu waende holidays ila nimekuta weupe. Naingia nao Class. I'm a teacher...
Walimu Wao ntakutana nao January.
Mkuu Hali ni mbayaMkuu
Kuna kipindi EATV kinaitwa skonga
Kuna segment ya kuuliza maswali
Ukisikiliza majibu ya watoto wale kama wewe ni mwalimu unaweza chapa shule nzima watoto ni weupee
Yaani hamna kitu
Achana na hao nenda chuo kikuu ndio utachoka
Kuna wanafunzi wa UDSM wanaosoma maswala ya siasa
Waliulizwa swali hili
"Barabara ya mwenge kwenda ubungo inaitwa Sam Nujoma Road, je huyu Sam Nujoma ni nani?
Hakuna mwanafunzi alipata hili swali
Nilisikitika sana, kuona mwanafunzi wa UDSM anasoma Mambo ya siasa afu hajui swali dogo kama hilo