Wazazi mmekuwaje?

Uko sahihi unakuta MTU anajiheshim vizurii Sana anaishi vizur Lakin mwushowe utaskia Yule dada pamoja Na hiki Na Kile hajaolewa Yan mtoto Wa kike kwenye jamii ndoa inampa heshima
 
N
Toka hapa bwege mlima viazi wewe. Jichekeshe chekeshe tu wewe nenda kale wali maharage na akina nauye acha kujipendekeza kwa mpenzi wangu kenge wewe.
Uko sahihi unakuta MTU anajiheshim vizurii Sana anaishi vizur Lakin mwushowe utaskia Yule dada pamoja Na hiki Na Kile hajaolewa Yan mtoto Wa kike kwenye jamii ndoa inampa heshima


Mkuu lakini pia usisahau waoaji ambao na Mimi nikiwemo hatutaki kuoa so muda mwingine MTU kuolewa anataka Ila waoaji sasa
 
Kwa hiyo mkuu ,unafikiri kila mtu anaendeshwa na ngono🤣🤣🤣
 
Unampenda kuliko CCM wewe chawa!?..
 
Cc dronedrake
 
Kwa hiyo mkuu ,unafikiri kila mtu anaendeshwa na ngono🤣🤣🤣

Siô Mimi ninayefikiri.

Ñgono NI Moja ya basic need Kwa Mwanadamu timamu.

MTU àmbaye hataki ñgono lazima awe Abnormal;
1. Afya yake inatatizo kûbwa hasa mambo ya mfumo wa vichocheo vya shauku ya ñgono na mfumo wa uzazi.
Mfumo wa uzazi upo automatic kwamba kûna Muda ubungo uta-command vichocheo vya Hamu ya ñgono

2. Anamapepo au Ñguvu za kiroho.
MTU mwenye Ñguvu za Giza au za kiroho Wakati mwingine HISIA za ñgono hutoweshwa.

Binadamu aliyekamilika ñgono siô tuu muhimu Bali lazima
 
Ina maana mkuu Robert Heriel Mtibeli ngono imekua hitaji la lazima.

Mimi sijaoa na sinunui Malaya wala kujichua nimefanya hivi makusudi ili hii nguvu ya kugonoka niitumie katika kazi .

So mtibeli ngono sio kila kitu

Kwa binadamu WA kawaida ñgono NI lazima Mkûu.
Labda kûna tatizo somewhere

Uliza madaktari au wanasaikolojia watakuambia.
 
Issue za Kingono ni Issues za mindset tu mkuu, huko kwa mapepo na sijui nguvu za kiroho , ni mambo yasiyokua na mashiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…