Jaluo_Nyeupe
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 2,824
- 2,264
Ni kweli mkuu. Tena hapo ni ndugu baba mmoja mama mmoja. Rate sijui ipoje kwa watoto wa ndugu wa mama au wa baba.Basi ukiona hivyo ujuwe huyo Kaka Mtu ni Binaadamu aliyekosa Akili za Kibinaadamu lakini ana akili za Wanyama! Siyo Binaadamu woye Wana akili za Kibinaadamu, wengine akili zao ni za Wanyama kabisa,na hajui kutofautisha ndg na Mtu baki,wote anawaweka kapu moja Kama Jogoo!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app