Wazazi tusiache kusomesha watoto wa kike

Huna haja ya kuishi na mtu usiyemwamini
haja inaweza isiwepo ndiyo ila pengine ndo utaratibu wao waliojiwekea kabla ya kupata mtoto, so lengo laweza kuwa lilikuwa ni kujenga familia pekee habari za kumuamini mwenzako ni nyingine.
 
haja inaweza isiwepo ndiyo ila pengine ndo utaratibu wao waliojiwekea kabla ya kupata mtoto, so lengo laweza kuwa lilikuwa ni kujenga familia pekee habari za kumuamini mwenzako ni nyingine.
Sawasawa mkuu
 
🤣🤣🤣🤣🙌 Mwee
Halafu nikuambie hii inafanywa na wanaume wengi sana sema tuu sio maarufu maana kwa sasa hamna upendo na kilichotokea hichi picha inayokuja ndoa itakuwa kazi sana kwa kifupi hamna cha bure wewe angalia hata diamond platinum anavyofanya ndio utanielewe
 
Sahivi ndoa hazina umuhimu kabisa
 
Makasirikooo
 
Mkuu watoto wa kike wanasomeshwa kwa zama hizi , ila tujitahidi kwenye kulea tuwaondolee hii CINDERELA COMPLEX sio lazima apoteze kiatu ili aolewe na Prince !!

Na uzuri haya yote yametokea kwa watu watu waliosoma tena kutoka nchi za ulimwengu wa Kwanza japo wazee wao walikua waafrika , na hizi case zinatokea mara nyingi kwa hawa hawa waliosoma !! Na hizi case za wanaume kuandika majina ya ndugu zao sio nyingi kama za wanawake huu mchezo umeanzia kwa wanawake !! Mfano kazini hizi taratibu za kuandika next of kin sijui ukifa nani arithi au afuatilie mirathi huwa nazipitia wanaume wote waliandika wake na watoto 😂😂 wanawake asilimia 99% waliandika watoto na ndugu zao unaweza kuona

Na pia haya mambo ya kugawana mali mara nyingi yameegea kwenye kukomoana baada ya kuachana ili atambue umuhimu wako.
Muhuni hakeem kawasanua wana KATAA NDOA sijui tutumie jitihada gani vijana tuwaoneshe ndoa ilivyo tamu
 
Wanawake wepi hao wanaofua na kupika mbona kazi zote hizo zinafanywa na dada wa kazi, unataka kusema yule Mke wa hakimi alikuwa hata anafuaga
Ndio vizinga haviwezi kuisha sababu wanaume bado mnataka kupikiwa kufuliwa na kupetiwapetiwa kama watoto, anzeni kujifanyia hayo wenyewe muone kama wanawake nao wataendelea na vizinga, kila mtu ajitegemee na ajifanyie mambo yake simple tu
 
Sawa, Hakimi anapata mshahara kwa kuwakaba hao kina Benzema, huyo mwanamke anapata nini kwa majukumu yake
Kwamba hujui mwanamke akibeba mimba anapata nini
 
Sasa mbona wakifanya wadada wa kazi mnalalamika kuwa kazi zote wameachiwa wao hadi kufikia hatua ya ninyi kutembea na hao wadada
Kwani wanaotafuta dada wa kazi nyumbani ni nani, kutembea na wadada hiyo ni tabia tu ya mtu sio wote wanatoka na beki3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…