Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #81
Nadhani mwenye jukumu la kuwaambia hayo ni SamiaJust tell them that their Son is no more.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani mwenye jukumu la kuwaambia hayo ni SamiaJust tell them that their Son is no more.
Naliona pengo la Dr Slaa CHADEMA.Wazazi hao wamedai kwamba kupotea kwa Azory Gwanda , mtu pekee aliyekuwa tegemeo lao , kumewafanya waishi maisha ya dhiki na ufukara mkubwa
View attachment 2818764
Wameomba Rais ambaye ndiye mkuu wa vikosi vyote awasaidie kupatikana kwa mtoto wao ili aendelee kuwatunza .
Yaani leo unamuwaza Dr Slaa ? Too late .Naliona pengo la Dr Slaa CHADEMA.
Mungu atusaidie.
Hizo siasa za kutafuta huruma ya wananchi kupitia Matukio ya kupotea ndugu zenu au Lisu kupigwa Risasi hazitufikishi popote.Yaani leo unamuwaza Dr Slaa ? Too late .
Umeweka tafsiri duni sana ya uzi huu , kwamba tusiweke taarifa zingine humu za kijamii kisa Rabbon atafikiri kwamba tunaomba huruma !Hizo siasa za kutafuta huruma ya wananchi kupitia Matukio ya kupotea ndugu zenu au Lisu kupigwa Risasi hazitufikishi popote.
CHADEMA Inatakiwa ipige hatua mbele kuona jinsi Gani inapeleka HOJA za mashiko za kuwaambia wananchi waiamini na kuipa kuongoza Nchi.
CCM saiz wanaongea Issues zinazogusa wananchi ,japo Kwa kuigiza,
CHADEMA ije na Issues, Si Matukio!!
🙃
Hizo siasa za kutafuta huruma ya wananchi kupitia Matukio ya kupotea ndugu zenu au Lisu kupigwa Risasi hazitufikishi popote.
CHADEMA Inatakiwa ipige hatua mbele kuona jinsi Gani inapeleka HOJA za mashiko za kuwaambia wananchi waiamini na kuipa kuongoza Nchi.
CCM saiz wanaongea Issues zinazogusa wananchi ,japo Kwa kuigiza,
CHADEMA ije na Issues, Si Matukio!!
[emoji854]
Usahihi wake ni upi ?Uko sahihi.
Hiki humu ndani ni Sawa na kikao cha wanga.
Usahihi wake ni upi ?
zaidi ya hicho wanachokisema hao wazee mnataka wabebe mapanga wakapambane ?Sio kazi yangu kukufafanulia, msome vizuri.
zaidi ya hicho wanachokisema hao wazee mnataka wabebe mapanga wakapambane ?
Kama hamtaki waonewe huruma mnataka nini ?Kisa cha kunilisha maneno??
Kama hamtaki waonewe huruma mnataka nini ?
Aliyeleta habari hiyo ni Ule Ule mwendelezo wa Lisu kwenda kuongea na madaktari waliomtibu aliposhambuliwa, ikifuatiwa na mwandishi kumhoji kijana mkorofi kuhusika na Shambulio la Lisu.Umeweka tafsiri duni sana ya uzi huu , kwamba tusiweke taarifa zingine humu za kijamii kisa Rabbon atafikiri kwamba tunaomba huruma !
Kwanza mimi si msemaji wa Chadema , mimi ni mwandishi wa Jf , kingine ni hiki , hao ccm unaodai wanazungumIa issue hizo issue zao zimebadili nini kwenye maisha ya watanzania zaidi ya dhiki ya kufa na kupona ? mwaka wa 7 huu wafanyakazi hawakuongezewa hata hela ya maana , uzuri wa hizo issue unazozisema ni upi ?
Umejifichaficha sana lakini hatimaye umejitokeza kuwa Another Mwashambwa ! mnaogopa nini kujitangaza wanaccm ?
Umeunga mkono Rabbon bila kumuelewaJaribu tena ila siyaoni mafanikio.
Umeunga mkono Rabbon bila kumuelewa
Aliyeleta habari hiyo ni Ule Ule mwendelezo wa Lisu kwenda kuongea na madaktari waliomtibu aliposhambuliwa, ikifuatiwa na mwandishi kumhoji kijana mkorofi kuhusika na Shambulio la Lisu.
Yaani ni kwamba, kijana wa chama kile anajibiwa Kwa kukumbushwa Matukio yaliyopita.
Nikwambie hivi, napinga Kwa dhati kuminya DEMOKRASIA Kwa vyama kinzani,
Ila napinga kabisa, DEMOKRASIA Kwa wezi wa Mali za umma!!
Wananchi nikwambie wanatamani sana mifumo na kiongozi mkali kulinda raslimali zetu ndomana Wanaokwenda Kwa kijana mkorofi Kutoa shida zao.
Mkakati, na hesabu Kali zinahitajika kurudisha wananchi kuamini vyama vya upinzani.
Pia Mimi Si CCM, chama kinachoiba uchaguzi Sina urafiki nacho.
Mimi ni Mzalendo nisiye na chama, ila popote palipo na HAKI Niko hapo.
Wanajificha Ili waonewe huruma.Uko sahihi.
Hiki humu ndani ni Sawa na kikao cha wanga.
Taarifa ya Lissu kuwaona Madaktari wake Nairobi ulitaka ifichwe ili iweje ? halafu habari ile na hii na kuulizwa Makonda jukwaani kuhusu kuhusika na shambulio la Lissu vina uhusiano gani ? na kwanini ulitaka habari hizi zisiandikwe , ulitaka kuficha nini ?Aliyeleta habari hiyo ni Ule Ule mwendelezo wa Lisu kwenda kuongea na madaktari waliomtibu aliposhambuliwa, ikifuatiwa na mwandishi kumhoji kijana mkorofi kuhusika na Shambulio la Lisu.