Wazazi wa Azory Gwanda wamuomba Rais Samia asaidie kupatikana kwa mtoto wao

"Asaidie kupatikana!?" ok sawa bila shaka CIC amepata ujumbe.
 
Yaani leo unamuwaza Dr Slaa ? Too late .
Hizo siasa za kutafuta huruma ya wananchi kupitia Matukio ya kupotea ndugu zenu au Lisu kupigwa Risasi hazitufikishi popote.

CHADEMA Inatakiwa ipige hatua mbele kuona jinsi Gani inapeleka HOJA za mashiko za kuwaambia wananchi waiamini na kuipa kuongoza Nchi.

CCM saiz wanaongea Issues zinazogusa wananchi ,japo Kwa kuigiza,

CHADEMA ije na Issues, Si Matukio!!

🙃
 
Umeweka tafsiri duni sana ya uzi huu , kwamba tusiweke taarifa zingine humu za kijamii kisa Rabbon atafikiri kwamba tunaomba huruma !

Kwanza mimi si msemaji wa Chadema , mimi ni mwandishi wa Jf , kingine ni hiki , hao ccm unaodai wanazungumIa issue hizo issue zao zimebadili nini kwenye maisha ya watanzania zaidi ya dhiki ya kufa na kupona ? mwaka wa 7 huu wafanyakazi hawakuongezewa hata hela ya maana , uzuri wa hizo issue unazozisema ni upi ?

Umejifichaficha sana lakini hatimaye umejitokeza kuwa Another Mwashambwa ! mnaogopa nini kujitangaza wanaccm ?
 
[emoji854]

Uko sahihi.

Hiki humu ndani ni Sawa na kikao cha wanga.
 
Aliyeleta habari hiyo ni Ule Ule mwendelezo wa Lisu kwenda kuongea na madaktari waliomtibu aliposhambuliwa, ikifuatiwa na mwandishi kumhoji kijana mkorofi kuhusika na Shambulio la Lisu.

Yaani ni kwamba, kijana wa chama kile anajibiwa Kwa kukumbushwa Matukio yaliyopita.

Nikwambie hivi, napinga Kwa dhati kuminya DEMOKRASIA Kwa vyama kinzani,

Ila napinga kabisa, DEMOKRASIA Kwa wezi wa Mali za umma!!

Wananchi nikwambie wanatamani sana mifumo na kiongozi mkali kulinda raslimali zetu ndomana Wanaokwenda Kwa kijana mkorofi Kutoa shida zao.

Mkakati, na hesabu Kali zinahitajika kurudisha wananchi kuamini vyama vya upinzani.

Pia Mimi Si CCM, chama kinachoiba uchaguzi Sina urafiki nacho.

Mimi ni Mzalendo nisiye na chama, ila popote palipo na HAKI Niko hapo.
 
Uko sahihi. Sana.
 
Uko sahihi.

Hiki humu ndani ni Sawa na kikao cha wanga.
Wanajificha Ili waonewe huruma.

Wananchi wanataka ikiwezekana Mafisadi na wabadhirifu wanyongwe,

Wao wanataka DEMOKRASIA hata majizi yapelekwe Kwa mlolongo mrefu wa SHERIA!!

Wauza madawa walivyopotezwa Awamu Ile wananchi walishukuru, japo njia iliyotumika Si ya kisheria.

Wananchi kama vyama kinzani hamjui, wanataka Dikteta.

Wananchi wanataka Dikteta, Kwa maana Democracy ndo imesababisha bandari na raslimali zinauzwa.

Another Dictator please!!!
 
Wananchi tunataka kusikia, waliohusika na wizi wa pesa za umma, walioguswa na Ripoti ya CAG wanakamatwa, wanafilisiwa, yaani walipe UOVU walotufanyia.

Matumaini ya Kupata watu makini kutusaidia kudhibiti wizi serikalini Kwa WAPINZANI hamna.

Ndomana wananchi wanarudi Kwa kijana muigizaji na chama chakavu.

Mtu aina ya Heche ndiye anahutajika Kwa siasa za sasa,

Jaribuni kuongea lugha ya wananchi.
 
Aliyeleta habari hiyo ni Ule Ule mwendelezo wa Lisu kwenda kuongea na madaktari waliomtibu aliposhambuliwa, ikifuatiwa na mwandishi kumhoji kijana mkorofi kuhusika na Shambulio la Lisu.

Yaani ni kwamba, kijana wa chama kile anajibiwa Kwa kukumbushwa Matukio yaliyopita.

Nikwambie hivi, napinga Kwa dhati kuminya DEMOKRASIA Kwa vyama kinzani,

Ila napinga kabisa, DEMOKRASIA Kwa wezi wa Mali za umma!!

Wananchi nikwambie wanatamani sana mifumo na kiongozi mkali kulinda raslimali zetu ndomana Wanaokwenda Kwa kijana mkorofi Kutoa shida zao.

Mkakati, na hesabu Kali zinahitajika kurudisha wananchi kuamini vyama vya upinzani.

Pia Mimi Si CCM, chama kinachoiba uchaguzi Sina urafiki nacho.

Mimi ni Mzalendo nisiye na chama, ila popote palipo na HAKI Niko hapo.
Taarifa ya Lissu kuwaona Madaktari wake Nairobi ulitaka ifichwe ili iweje ? halafu habari ile na hii na kuulizwa Makonda jukwaani kuhusu kuhusika na shambulio la Lissu vina uhusiano gani ? na kwanini ulitaka habari hizi zisiandikwe , ulitaka kuficha nini ?

Ushauri : Badala ya kupenda Rais mkali na katili , penda Rais anayefuata sheria , Magufuli hapaswi kuungwa mkono hata na shetani
 
Back
Top Bottom