Wazazi wa Azory Gwanda watuma barua kwa Rais Samia Suluhu Hassani

Wazazi wengine nao ni hovyo kabisa sasa hawa walikuwa wapi siku zote toka mwanao atoweke utafikiri huyo mtoto walimchuma mtini.

Wale wa Beny Saanane ndio kabisa hata habari hawana utafikiri walimtoa kafara mwanao. Hizo ndizo "Legacy" za huyu dikteta Magufuli, rais wa hovyo kuwahi kuonekana katika nchi hii.

Wewe nae akili zako bure kabisa ivi kwa ule mkono wa chuma nn kingefanyika
 
Mafia wa nchi zilizoendelea ( Ulaya, Marekani na Mashariki ya Kati ) na zinazotumia Akili vyema wakifanya Tukio basi watatengeneza Mazingira wala wasijulikane kabisa kuwa ni Wao, ila Mafia wa Uswahilini ( hasa Barani Afrika ) wakifanya Tukio kutokana na ' Upumbavu / Upopoma ' wao wataliacha hivyo hivyo mpaka hata ' Mangumbaru / Wajinga ' watajua tu kuwa Wahusika ni Wao
 
Wazazi wengine nao ni hovyo kabisa sasa hawa walikuwa wapi siku zote toka mwanao atoweke utafikiri huyo mtoto walimchuma mtini.

Wale wa Beny Saanane ndio kabisa hata habari hawana utafikiri walimtoa kafara mwanao. Hizo ndizo "Legacy" za huyu dikteta Magufuli, rais wa hovyo kuwahi kuonekana katika nchi hii.
Labda wazazi wao wanajua mtoto wao yupo wapi
 
Wazazi wengine nao ni hovyo kabisa sasa hawa walikuwa wapi siku zote toka mwanao atoweke utafikiri huyo mtoto walimchuma mtini.

Wale wa Beny Saanane ndio kabisa hata habari hawana utafikiri walimtoa kafara mwanao. Hizo ndizo "Legacy" za huyu dikteta Magufuli, rais wa hovyo kuwahi kuonekana katika nchi hii.
Wewe ni mmoja wa wana JF ambaye mimi nimekuweka kwenye kundi la watu washenzi na wasiokua na huruma kabisa na bila shaka familia yako imekulea kikatili na ukawa zao la ukatili,hapa kuna familia ambazo they lost their loved one na wewe unakuja na maoni ya kishenzi kama haya badala ya kuombea hizi familia zipate closure ya what's happen kwa wapendwa wao,kweli humu ndani tuna mijitu katili na yenye roho mbaya mno
 
Iundwe tume maalum kuchunguza haya matukio yaliyoshika kasi enzi za jiwe
Kutoweka kwa huyu mwandishi kunatatanisha kwani hata haijulikani alikuwa akiandika au akitafuta taarifa juu ya kitu gani ambacho kingeweza kuwa ndiyo sababu ya kutoweka kwake.

Hivi huko Mwananchi nao hawajui alikuwa akishughulika na habari gani?

Je kwenye magazeti ni habari zipi alizokuwa anaziandika, ili tujaribu kuunganisha doti?.

Hii ni tofauti kabisa na kutoweka kwa Ben Saanane, ambaye habarizilizosababisha apotee zinajulikana wazi.
 
04 June 2021

Baada ya kauli za kupingana kati ya ile ya waziri Prof. Palamagamba Kabudi wa serikali ya Tanzania alipohojiwa na BBC Swahili na ya msemaji wa Mkuu serikali ya Tanzania Dr. Hassan Abbas kuhusu kutoweka kwa mwandishi wa habari Azory Gwanda hapo mwezi November 2017. Msemaji wa serikali Dr. Hassan Abbas alisema serikali iliyokuwa chini ya hayati rais John Pombe Joseph Magufuli inafanya jitihada zote kujua kuhusu kutoweka kwa mwandishi Azory Gwanda.

Wazazi wa Azory Gwanda wameomba msaada wa serikali ya Mh. Samia Suluhu Hassan rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iendelee kufuatilia kujua taarifa kamili juu ya suala la kupotea mwandishi huyo wa Mwananchi Media Corporation ili ieleweke kilichompata mwandishi huyo ili wazazi na familia ya Azory Gwanda wafahamu yaliyomkuta kama bado yupo hai au amefariki .

Source : CHADEMA MEDIA TV

Marehemu shetani mkuu aliyetamani kuongoza malaika ndiye muuaji mkubwa wa enzi zake
 
Kwa kweli inauma sana.

Nikikumbuka kupotezwa kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, Kanguye, kushambuliwa kwa Tundu Lisu, kuwabbikia watu kesi za uhujumu uchumi, n.k. - sababu kubwa ni kumkosoa tu, naamini kabisa yule bwana alikuwa ni sehemu ya utawala wa shetani. Hakuwahi kumjua Mungu wa kweli, na Kanisani alienda kuwadhihaki wana wa Mungu, na siyo kufanya toba au kumwabudu Mungu wa Kweli.
 
Asa mama Samia atafanya nini Leo hii kama alipotezwa na watu wasio julikana ambao yeye mwenyewe hakua akiwajua
 
Kutoweka kwa huyu mwandishi kunatatanisha kwani hata haijulikani alikuwa akiandika au akitafuta taarifa juu ya kitu gani ambacho kingeweza kuwa ndiyo sababu ya kutoweka kwake.

Hivi huko Mwananchi nao hawajui alikuwa akishughulika na habari gani?

Je kwenye magazeti ni habari zipi alizokuwa anaziandika, ili tujaribu kuunganisha doti?.

Hii ni tofauti kabisa na kutoweka kwa Ben Saanane, ambaye habarizilizosababisha apotee zinajulikana wazi.
Alikuwa akichunguza na kuandika juu ya mauaji yaliyokuwa yakifanywa na Polisi huku Rufiji kwa kusingizio cha kuwatafuta watu waliokuwa wakiua viongozi na Polisi.

Taarifa zisizo rasmi, watu zaidi ya 80 waliuawa. Hiyo ilisemwa na wabunge Zito na Bwege Bungeni. Lakini wapo waliofanywa vilema, wengine majina yao yalisomwa Bungeni.

Azory alikuwa akifanya uchunguzi ambao ungeianika Serikali katika kuua raia wake.
 
Inahuzunisha sana kuona Tanzania iliokuwa kisiwa cha amani. Leo hii imekuwa sehemu ambapo mioyo ya watu inavuja damu, machozi kuwalilia ndugu na jamaa waliopotea kwa mazingira yasioeleweka.
 
04 June 2021

Baada ya kauli za kupingana kati ya ile ya waziri Prof. Palamagamba Kabudi wa serikali ya Tanzania alipohojiwa na BBC Swahili na ya msemaji wa Mkuu serikali ya Tanzania Dr. Hassan Abbas kuhusu kutoweka kwa mwandishi wa habari Azory Gwanda hapo mwezi November 2017. Msemaji wa serikali Dr. Hassan Abbas alisema serikali iliyokuwa chini ya hayati rais John Pombe Joseph Magufuli inafanya jitihada zote kujua kuhusu kutoweka kwa mwandishi Azory Gwanda.

Wazazi wa Azory Gwanda wameomba msaada wa serikali ya Mh. Samia Suluhu Hassan rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iendelee kufuatilia kujua taarifa kamili juu ya suala la kupotea mwandishi huyo wa Mwananchi Media Corporation ili ieleweke kilichompata mwandishi huyo ili wazazi na familia ya Azory Gwanda wafahamu yaliyomkuta kama bado yupo hai au amefariki .

Source : CHADEMA MEDIA TV

Nakala ya Barua hiyo amepewa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Benson Kigaila ili aifikishe Ikulu mezani kwa Rais
 
Haki lzm itendeke,wahusika si wanajulikana Kazi iendelee Hakuna jiwe kusalia walidhani jiwe atatawala milele
 
Inahuzunisha sana kuona Tanzania iliokuwa kisiwa cha amani. Leo hii imekuwa sehemu ambapo mioyo ya watu inavuja damu, machozi kuwalilia ndugu na jamaa waliopotea kwa mazingira yasioeleweka.
Yote ni sababu ya jiwe kuwa na uswahiba na PAKA akampa roho chafu
 
Back
Top Bottom