Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 18,813
- 21,830
Gazeti lake ..........analoandikiaAlikuwa analipwa na nani kufanya upekenyuzi huo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gazeti lake ..........analoandikiaAlikuwa analipwa na nani kufanya upekenyuzi huo?
Mwoga wa kukosolewaNduli Fashisti alikuwa mtu mbaya Sana, sijui kwanini alikuwa anaziogopa Sana kalamu za waandishi wa habari?
Kwani 90 yrs hawaongei si hao ndio kilio chao kinasikika vizuri na hata hawawezi kutishiwa kifo, sasa hapo huelewi nini.We we ni mmoja wa watu wajinga kabisa duniani. Hao wazazi umeambiwa wako aged 90 + years, too old to handle such big issues bado unakuja hapa kuandika huo ujinga
Kwa hiyo yeye ni wazi ni mhanga wa serikali, ambayo ina wajibu kuwaeleza wazazi ni nini kilimtokea mtoto wao.Alikuwa anaandika na kufuatilia kisa na mikasa wa yale mauaji ya kutatanisha kule Kibiti...
04 June 2021
Baada ya kauli za kupingana kati ya ile ya waziri Prof. Palamagamba Kabudi wa serikali ya Tanzania alipohojiwa na BBC Swahili na ya msemaji wa Mkuu serikali ya Tanzania Dr. Hassan Abbas kuhusu kutoweka kwa mwandishi wa habari Azory Gwanda hapo mwezi November 2017.
Msemaji wa serikali Dr. Hassan Abbas alisema serikali iliyokuwa chini ya hayati rais John Pombe Joseph Magufuli inafanya jitihada zote kujua kuhusu kutoweka kwa mwandishi Azory Gwanda.
Wazazi wa Azory Gwanda wameomba msaada wa serikali ya Mh. Samia Suluhu Hassan rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iendelee kufuatilia kujua taarifa kamili juu ya suala la kupotea mwandishi huyo wa Mwananchi Media Corporation ili ieleweke kilichompata mwandishi huyo ili wazazi na familia ya Azory Gwanda wafahamu yaliyomkuta kama bado yupo hai au amefariki .
Chanzo: CHADEMA MEDIA TV
Hakuna kitu, ni mvinyo ule ule na chupa ile ile, tofauti chupa imegeuzwa juu chini na kusimamia kizibo.Inaumiza sana. Tusubirini tuone kama ukweli utajulikana
Ongea taratibu, huko akili ni mkuu wa malaika walio asi, na wakati wowote watashushwa dunia I.Nduli Fashisti alikuwa mtu mbaya Sana, sijui kwanini alikuwa anaziogopa Sana kalamu za waandishi wa habari?
Unawaonea wazazi hao! Katika kipindi cha Magufuli, nani alinyanyua mkono kuhoji? Unadhani wazazi wangesalimika? Magufuli hakuwa kiongozi, alikuwa mtawala wa mabavu, yeyote aliediriki kuhoji alitoweka.Wazazi wengine nao ni hovyo kabisa sasa hawa walikuwa wapi siku zote toka mwanao atoweke utafikiri huyo mtoto walimchuma mtini.
Wale wa Beny Saanane ndio kabisa hata habari hawana utafikiri walimtoa kafara mwanao. Hizo ndizo "Legacy" za huyu dikteta Magufuli, rais wa hovyo kuwahi kuonekana katika nchi hii.
Ndugu yangu,Kwa hiyo yeye ni wazi ni mhanga wa serikali, ambayo ina wajibu kuwaeleza wazazi ni nini kilimtokea mtoto wao.
Iliwahi kuandikwa humu JF, kwamba siku aliyotoweka alikuwa na watu ambao walimhitaji aende nao mahala. Kabla ya kuondoka kaenda shamba walikokuwa (mke?, nadhani) kuaga kwamba anaondoka.
Tokea hapo hakuonekana tena.
Sasa mtu kama huyo, unahitaji kumuua kwa sababu zipi?
Kama alikuwa na habari ambazo hawakutaka aziandike gazetini, huwezi kumzuia bila kumuua?
Kupotea kwa huyu mwandishi na Ben Saanane, kama kuliishia katika kupoteza uhai wao, ni jambo linalohitaji kufanyiwa uchunguzi kikamilifu ili ijulikane ni nani aliyehusika kuondoa uhai wao kikatili tu bila ya sababu maalum.
Haya mambo hayawezi kufunikwa funikwa tu na kuachwa bila majibu; kwani yataendelea kuwa kero kwa taifa.Ndugu yangu,
Katili yeyote huona njia rahisi na salama kwake ni kuondoa uhai (maiti haiongei)
Wangeweza kutumia njia nyingine kuzuia asitoe aliyoyajua... lakini kwanini wachukue risk wakati kuna njia nyepesi?
Unadhani wangemzuia kipindi kile, kwa hali ya hivi sasa si angetoa yote?
Kigaidigaidi, unaweza kukuta hata waliotaka kumuua Tundu Lissu, hivi sasa hawapo duniani...
Njia rahisi kabisa ya katili kuficha ushahidi ni kunyamazisha...
Sijawahi kuona ukiandika point hata siku moja. Ben alikuwa mtumishi wa chama gani? Hao Chadema walichukua hatua gani?Kwa hiyo yeye ni wazi ni mhanga wa serikali, ambayo ina wajibu kuwaeleza wazazi ni nini kilimtokea mtoto wao.
Iliwahi kuandikwa humu JF, kwamba siku aliyotoweka alikuwa na watu ambao walimhitaji aende nao mahala. Kabla ya kuondoka kaenda shamba walikokuwa (mke?, nadhani) kuaga kwamba anaondoka.
Tokea hapo hakuonekana tena.
Sasa mtu kama huyo, unahitaji kumuua kwa sababu zipi?
Kama alikuwa na habari ambazo hawakutaka aziandike gazetini, huwezi kumzuia bila kumuua?
Kupotea kwa huyu mwandishi na Ben Saanane, kama kuliishia katika kupoteza uhai wao, ni jambo linalohitaji kufanyiwa uchunguzi kikamilifu ili ijulikane ni nani aliyehusika kuondoa uhai wao kikatili tu bila ya sababu maalum.
Inanilazimu nicheke mkuu 'malunde' kwa jinsi unavyotafuta nikuone!Sijawahi kuona ukiandika point hata siku moja. Ben alikuwa mtumishi wa chama gani? Hao Chadema walichukua hatua gani?
Vp aisee mumeo yupo kaburiniMafia wa nchi zilizoendelea ( Ulaya, Marekani na Mashariki ya Kati ) na zinazotumia Akili vyema wakifanya Tukio basi watatengeneza Mazingira wala wasijulikane kabisa kuwa ni Wao, ila Mafia wa Uswahilini ( hasa Barani Afrika ) wakifanya Tukio kutokana na ' Upumbavu / Upopoma ' wao wataliacha hivyo hivyo mpaka hata ' Mangumbaru / Wajinga ' watajua tu kuwa Wahusika ni Wao
Kwa niniMagufuli hakuwa mtu mwema
Baada ya kuanza ' Kukukaza ' Wewe au?Vp aisee mumeo yupo kaburini
nafikiri hii itakuwa suluhisho. ama iundwe task force maalum. wapitie hizi kesi.. watashangaa sana how much darker former president wasIundwe tume maalum kuchunguza haya matukio yaliyoshika kasi enzi za jiwe
Ahaaa, kila siku huwa nakuambia uwezo wako wa kug'amua mambo ni mdogo sana.Inanilazimu nicheke mkuu 'malunde' kwa jinsi unavyotafuta nikuone!
Lakini ngoja nikwambie ukweli leo.
Yule aliyekuwa amekuvuruga akili alishaondoka, na ninajua kwa nini akili yako ilivurugwa kwa wakati huo ulipoonekana kuwa kioja.
Ghafla, ulikuja kubadilika (sijui kulitokea nini, lakini nadhani matumaini yako kupata chochote kutoka kwake hayakutimia).
Baada ya kubadilika huko, umehangaika sana kujaribu kufuta rekodi yako ambayo ulisha ichafua vibaya sana kwa utetezi uliokuwa ukiuweka juu yake.
Sasa nakuona ukihangaika tu, huna hili wala lile, umebaki tu kuvizia na kurukia watu.
Lakini, tupo kwenye mji wetu huu mpendwa kando ya ziwa, tulia tumwone na huyu mwingine anayetafuta bei ya kutuuza utumwani.
Wala hata sielewi kama unajihusisha na chama chochote, ila najuwa ulikuwa unasukumwa na u'malunde' tu wakati huo, vinginevyo tukikutana kule Makoroboi, nitakupa bia baridi tuyamalize.
04 June 2021
Baada ya kauli za kupingana kati ya ile ya waziri Prof. Palamagamba Kabudi wa serikali ya Tanzania alipohojiwa na BBC Swahili na ya msemaji wa Mkuu serikali ya Tanzania Dr. Hassan Abbas kuhusu kutoweka kwa mwandishi wa habari Azory Gwanda hapo mwezi November 2017.
Msemaji wa serikali Dr. Hassan Abbas alisema serikali iliyokuwa chini ya hayati rais John Pombe Joseph Magufuli inafanya jitihada zote kujua kuhusu kutoweka kwa mwandishi Azory Gwanda.
Wazazi wa Azory Gwanda wameomba msaada wa serikali ya Mh. Samia Suluhu Hassan rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iendelee kufuatilia kujua taarifa kamili juu ya suala la kupotea mwandishi huyo wa Mwananchi Media Corporation ili ieleweke kilichompata mwandishi huyo ili wazazi na familia ya Azory Gwanda wafahamu yaliyomkuta kama bado yupo hai au amefariki .
Chanzo: CHADEMA MEDIA TV
Umelegea sana 'malunde'. Kuna jambo linakusumbua?Ahaaa, kila siku huwa nakuambia uwezo wako wa kug'amua mambo ni mdogo sana.