Wazazi wa mtoto huyu watakesha wanabubujikwa machozi ya furaha na kumuombea maisha marefu Rais Samia

Hakika mwenyewe nimebubujikwa na machozi ya furaha kweli kweli.
Mama yetu Daktari Samia tunae mpaka achoke tu mwenyewe kutuongoza.
 
Kwakweli, ametoa sehemu ya mshahara wake kufanya hilo sio?
 
Wapo wengi wa namna hiyo, hakuja hapo kwa sababu anampenda rais, amekuja kushsngaa ukwasi na utitiri wa magari na kupata amusement kidogo ili kujisahaulisha shida na machungu ya maisha ansyokutana nayo tsngu amezaliwa, njaa nk,
 
Usimfananishe Mheshimiwa Rais na vichuguu. Unafahamu Rais Samia amegusa maisha ya mamilioni mangapi ya watanzania?
Wewe nitajie hao mamilioni ya watanzania ambayo samia amegusa maisha yao.Kama rais ni wajibu wake kututumikia tena aliomba hilo kupitia kura. NI WAPI MALISA aliomba kusaidia watu?Huwezi kufananisha roho ya MALISA na ya SAMIA.
Mtu anajitoa hadi ku risk maisha yake kwa sababu ya wengine.EBOOOOO UTAMPATA WAPI.
Wewe umemsifia kwa kununua mguu wa bandia sasa Malisa kaponya wangapi, kasomesha wangapi?
 
Kweli wewe hujitambui hata kidogo.unauliza Mheshimiwa Rais kasomesha na kuponya wangapi? Kwamba huoni wanafunzi wanaosoma bure mamilioni kwa mamilioni? Huoni wanafunzi kwa maelfu kwa wanaopata mikopo vyuo vikuu? Halafu usivyo na akili unasema ameponya watu.hivi una akili kweli wewe tangia lini Malisa akawa na uwezo wa kuponya? Hata angekuwa daktari hawezi kumponya mtu .kazi ya mtu au daktari ni kumtibu mtu na kazi ya uponyaji ni ya Mungu Mwenyewe na pekee .acha kufuru na ujinga wako hapa.
 
Wapo wengi wa namna hiyo, hakuja hapo kwa sababu anampenda rais, amekuja kushsngaa ukwasi na utitiri wa magari na kupata amusement kidogo ili kujisahaulisha shida na machungu ya maisha ansyokutana nayo tsngu amezaliwa, njaa nk,
Naona yale maneno yenu ya kuwa mikutano ya Rais wetu mpendwa haina watu, yamewapotea kwa sasa na badala yake mmeanza kuhamisha magoli baada ya kuona Rais wetu akipokelewa na mafuriko ya watu wanaomiminika kwa wingi kama mchanga wa baharini kwa hiyari yao wenyewe.na huo ni Mwanzo tu subiri wakati wa kampeni ufike muone namna watu watakavyofurika kama wamevutwa na sumaku.
 
Mambo mnayakuza mno nyie chawa hivi mama kutimiza wajibu wake hilo nalo ni la kujadili
Wajibu wake kivipi? Kwani kuna mahali sheria inamtaka kuwatibu wote waliopata ajali na kuvunjika miguu? Kuna mahali sheria inamtaka kuwanunulia miguu ya bandia au mikono ya Bandia ambao hawana? Huoni hiyo ni huruma na moyo wa upendo alio nao Mheshimiwa Rais
 
Kafulila una mambo
 
Kafulila una mambo
Naona umechanganyikiwa kabisa .wahi hospitalini.bila shaka Mheshimiwa David Kafulila ana kuchanganya sana na kukuvuruga akili yako kutokana na uchapa kazi wake na kukubalika kwake kwa watanzania.
Your browser is not able to display this video.
 
Ni kupoteza muda ku-argue na hilo jinga
 
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti
Mguu wa bandia tuu unapiga yowe hivyo,hayo mafuta ya msururu wa magari ni miguu mingapi ya bandia?
 
Ni Rais yupi wa Tz aliwahi kufanya mabaya akiwa madarakani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…