ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Harusi tunayoUmemjaza alafu alipojaa ukamnawa kweupeeee any way ile harusi yenu bado ipo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harusi tunayoUmemjaza alafu alipojaa ukamnawa kweupeeee any way ile harusi yenu bado ipo?
Huo ni wajibu wake rais na pesa ni za serikali.Amefanya jambo jema la kiubinadamu.
Wapo wengi wa namna hiyo, hakuja hapo kwa sababu anampenda rais, amekuja kushsngaa ukwasi na utitiri wa magari na kupata amusement kidogo ili kujisahaulisha shida na machungu ya maisha ansyokutana nayo tsngu amezaliwa, njaa nk,Ndugu zangu Watanzania,
Kila nikikaa nikawaza na kufikiria makubwa na mazito anayoyafanya Rais Samia katika Taifa letu kugusa maisha ya watanzania.Nabakia kusema Mama yetu Mpendwa na Rais wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Alizaliwa katika ardhi ya Tanzania kuja kuwafuta watu machozi na kuwarejeshea tabasamu katika mioyo yao.
Mama yetu Daktari Samia ni Mama Mwenye huruma isiyoelezeka wala kupimika katika mzani.Ni mama mwenye moyo wa upendo wa hali ya juu sana,ni Mama mwenye utu na kuguswa na matatizo ya watu.ni Mtumishi wa kweli wa watu ,ni Mama ambaye moyo wake na Maisha yake amejitolea kwa ajili ya kuwatumikia watanzania kwa moyo wake wote.
Embu fikiria ndugu yangu mtanzania, Unafikiri wazazi wa Mtoto huyu ambaye Mama yetu na Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia ameahidi kumhudumia na kumsaidia kupata mguu wa bandia . unafikiri wazazi wa Mtoto huyu wana furaha kiasi gani mioyoni Mwao? Unafikiri ni vipi wanaweza sahau upendo na huruma ya Rais Samia kwa mtoto wao? Ni vipi watalala na wakapata usingizi bila kumuombea maisha marefu Rais Samia?
Unafikiri Mtoto huyu na Mwanafunzi huyu aliyegusa hisia za watu atamsahau vipi Rais Samia? Unafikiri ni furaha kiasi gani atakayokuwa nayo mtoto huyu pindi atakapopatiwa Mguu wa Bandia? Unafikiri anaweza vipi kulisahau jina la Rais Samia moyoni Mwake katika uhai wake wote hapa Duniani ? Unafikiri atawasimulia nini watoto wenzake mpaka wajukuu zake panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu?
Ndugu zangu Watanzania unaweza kuwa na chuki binafsi na Rais Samia .lakini ukweli ni Kuwa Rais Samia ni mtu na nusu,ni kiongozi ambaye tunapaswa kumuombea Maisha marefu na kumuunga mkono kuendelea kutuongoza Watanzania. Ni kiongozi ambaye wapo watu watakuja waje wamkumbuke sana na kumlilia sana kwa mazuri aliyo watetendea atakapomaliza muda wake wa Urais hapo 2030 panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu.
View attachment 3045822
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mimi siyo wa dizaini hiyo.Huyu jamaa ako ndo wale wanatembea na panadol ili wameze wakimaliza kuongea ili kutuliza maumivu
Sasa wewe jichanganye hapo ujazwe kwenye kambi ya jeshi uone utakavyo toka ulimi ukiwa njeUmemjaza alafu alipojaa ukamnawa kweupeeee any way ile harusi yenu bado ipo?
Wewe nitajie hao mamilioni ya watanzania ambayo samia amegusa maisha yao.Kama rais ni wajibu wake kututumikia tena aliomba hilo kupitia kura. NI WAPI MALISA aliomba kusaidia watu?Huwezi kufananisha roho ya MALISA na ya SAMIA.Usimfananishe Mheshimiwa Rais na vichuguu. Unafahamu Rais Samia amegusa maisha ya mamilioni mangapi ya watanzania?
Kajiangalie kwa kioo!Hapana sijawahi kumuona😀😀😀
Kweli wewe hujitambui hata kidogo.unauliza Mheshimiwa Rais kasomesha na kuponya wangapi? Kwamba huoni wanafunzi wanaosoma bure mamilioni kwa mamilioni? Huoni wanafunzi kwa maelfu kwa wanaopata mikopo vyuo vikuu? Halafu usivyo na akili unasema ameponya watu.hivi una akili kweli wewe tangia lini Malisa akawa na uwezo wa kuponya? Hata angekuwa daktari hawezi kumponya mtu .kazi ya mtu au daktari ni kumtibu mtu na kazi ya uponyaji ni ya Mungu Mwenyewe na pekee .acha kufuru na ujinga wako hapa.Wewe nitajie hao mamilioni ya watanzania ambayo samia amegusa maisha yao.Kama rais ni wajibu wake kututumikia tena aliomba hilo kupitia kura. NI WAPI MALISA aliomba kusaidia watu?Huwezi kufananisha roho ya MALISA na ya SAMIA.
Mtu anajitoa hadi ku risk maisha yake kwa sababu ya wengine.EBOOOOO UTAMPATA WAPI.
Wewe umemsifia kwa kununua mguu wa bandia sasa Malisa kaponya wangapi, kasomesha wangapi?
Naona yale maneno yenu ya kuwa mikutano ya Rais wetu mpendwa haina watu, yamewapotea kwa sasa na badala yake mmeanza kuhamisha magoli baada ya kuona Rais wetu akipokelewa na mafuriko ya watu wanaomiminika kwa wingi kama mchanga wa baharini kwa hiyari yao wenyewe.na huo ni Mwanzo tu subiri wakati wa kampeni ufike muone namna watu watakavyofurika kama wamevutwa na sumaku.Wapo wengi wa namna hiyo, hakuja hapo kwa sababu anampenda rais, amekuja kushsngaa ukwasi na utitiri wa magari na kupata amusement kidogo ili kujisahaulisha shida na machungu ya maisha ansyokutana nayo tsngu amezaliwa, njaa nk,
Nenda na wewe ukawasaidie .kwani huwaoni wenye matatizo hayo?Ni upuuzi mtupu. Alipaswa kuweka mifumo ya kuwasaidia watanzania wengi walio na changamoto kama ya huyu mtoto
Wajibu wake kivipi? Kwani kuna mahali sheria inamtaka kuwatibu wote waliopata ajali na kuvunjika miguu? Kuna mahali sheria inamtaka kuwanunulia miguu ya bandia au mikono ya Bandia ambao hawana? Huoni hiyo ni huruma na moyo wa upendo alio nao Mheshimiwa RaisMambo mnayakuza mno nyie chawa hivi mama kutimiza wajibu wake hilo nalo ni la kujadili
Kafulila una mamboNdugu zangu Watanzania,
Kila nikikaa nikawaza na kufikiria makubwa na mazito anayoyafanya Rais Samia katika Taifa letu kugusa maisha ya watanzania.Nabakia kusema Mama yetu Mpendwa na Rais wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Alizaliwa katika ardhi ya Tanzania kuja kuwafuta watu machozi na kuwarejeshea tabasamu katika mioyo yao.
Mama yetu Daktari Samia ni Mama Mwenye huruma isiyoelezeka wala kupimika katika mzani.Ni mama mwenye moyo wa upendo wa hali ya juu sana,ni Mama mwenye utu na kuguswa na matatizo ya watu.ni Mtumishi wa kweli wa watu ,ni Mama ambaye moyo wake na Maisha yake amejitolea kwa ajili ya kuwatumikia watanzania kwa moyo wake wote.
Embu fikiria ndugu yangu mtanzania, Unafikiri wazazi wa Mtoto huyu ambaye Mama yetu na Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia ameahidi kumhudumia na kumsaidia kupata mguu wa bandia . unafikiri wazazi wa Mtoto huyu wana furaha kiasi gani mioyoni Mwao? Unafikiri ni vipi wanaweza sahau upendo na huruma ya Rais Samia kwa mtoto wao? Ni vipi watalala na wakapata usingizi bila kumuombea maisha marefu Rais Samia?
Unafikiri Mtoto huyu na Mwanafunzi huyu aliyegusa hisia za watu atamsahau vipi Rais Samia? Unafikiri ni furaha kiasi gani atakayokuwa nayo mtoto huyu pindi atakapopatiwa Mguu wa Bandia? Unafikiri anaweza vipi kulisahau jina la Rais Samia moyoni Mwake katika uhai wake wote hapa Duniani ? Unafikiri atawasimulia nini watoto wenzake mpaka wajukuu zake panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu?
Ndugu zangu Watanzania unaweza kuwa na chuki binafsi na Rais Samia .lakini ukweli ni Kuwa Rais Samia ni mtu na nusu,ni kiongozi ambaye tunapaswa kumuombea Maisha marefu na kumuunga mkono kuendelea kutuongoza Watanzania. Ni kiongozi ambaye wapo watu watakuja waje wamkumbuke sana na kumlilia sana kwa mazuri aliyo watetendea atakapomaliza muda wake wa Urais hapo 2030 panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu.
View attachment 3045822
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Naona umechanganyikiwa kabisa .wahi hospitalini.bila shaka Mheshimiwa David Kafulila ana kuchanganya sana na kukuvuruga akili yako kutokana na uchapa kazi wake na kukubalika kwake kwa watanzania.Kafulila una mambo
Ni kupoteza muda ku-argue na hilo jingaUnafikiri wanajifikiriaje wazazi wanaojifungua kwa shida na kupelekea watoto wao kufariki kwa kukokosa huduma za afya kwa sababu tu hela ya kodi zetu ya kujenga hospitali vijijini na huduma nyingine inatumika kwa anasa na nyingine kuishia mifukoni mwa genge la watu wachache kwenye serikali inanyiendeshwa na mama? Hela inayipotea kwenye ubadhirifu ambao serikali imeufumbia macho ingeokoa watu wangapi sehemu ambazo hazina huduma ya afya?
Mguu wa bandia ni tone la damu kwenye bahari. Mnaua watu wengi sana nyinyi ma CCM
Mguu wa bandia tuu unapiga yowe hivyo,hayo mafuta ya msururu wa magari ni miguu mingapi ya bandia?Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti
Ni Rais yupi wa Tz aliwahi kufanya mabaya akiwa madarakani?Mbona hapa ndio nimejibana kwa ajili yako ili andiko liwe fupi ephen wangu .Rais Samia kwa mambo mazuri anayoyafanya naweza kuandika andiko refu ambalo nikilitandika chini linaweza kuanzia Tunduma mkoani Songwe hadi kariakoo na bado likawa linaendelea tu,mpaka watu wasome wabaki wanatokwa na machozi tu utafikiri wameingiwa na mchanga machoni.
Kama ni jambo dogo basi na wewe nenda ukawasaidie wengineMguu wa bandia tuu unapiga yowe hivyo,hayo mafuta ya msururu wa magari ni miguu mingapi ya bandia?