Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Na wewe toa pesa yako usaidie hata mmoja.Viongozi wa nchi hii wanadhulumu Watanzania kwa ufisadi wa hali ya juu na kushindwa kutoa huduma za msingi halafu wanamega vihela kidogo kumhudumia mtu mmoja au wawili kisha wanajifanya wana utu na wanataka watu wawaabudu na kuwaimba kwamba ni watu wema kumbe kiuhalisia ni chui waliojivika ngozi ya kondoo! Watu wabaya sana.
Nipo jukwaani kuwapeni ukweli wa masuala mbalimbali ndugu yangu mtanzaniaKwa andiko hilo maana yake unapoteza muda tu hapa jamvini , si ndio.?
Lucka tuna mpango wa kukusomea Kurujuani na yule babu wa YangaSasa wewe jichanganye hapo ujazwe kwenye kambi ya jeshi uone utakavyo toka ulimi ukiwa nje
Kurujuani ndio nini.Lucka tuna mpango wa kukusomea Kurujuani na yule babu wa Yanga
Una roho ya kishetani sana wewe jamaa, ila ujue hujafa hujaumbika.Sasa amepewa ujumbe murua kabisa na watanzania kuwa wao siyo wajinga na hawatapeliki kijinga. Kama anataka gari la kifahari na anasa aende akanunue kwa pesa zake Mwenyewe.
Nenda ukamnunulie gari Mwenyewe la kifahari kwa ajili ya raha zake.Una roho ya kishetani sana wewe jamaa, ila ujue hujafa hujaumbika.
Nenda kakate bima kwa ajili ya familia yako na watoto wako kwa gharama nafuu kabisa iliyowekwa na serikali yetu Sikivu.Na wazazi wa watoto Nchi nzima waliofutiwa bima ya AFYA na Samia huyo huyo wao watakuwa wanalaani Kweli Kweli.
Bila kumsahau yule mama.Ndugu zangu Watanzania,
Kila nikikaa nikawaza na kufikiria makubwa na mazito anayoyafanya Rais Samia katika Taifa letu kugusa maisha ya watanzania.Nabakia kusema Mama yetu Mpendwa na Rais wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Alizaliwa katika ardhi ya Tanzania kuja kuwafuta watu machozi na kuwarejeshea tabasamu katika mioyo yao.
Mama yetu Daktari Samia ni Mama Mwenye huruma isiyoelezeka wala kupimika katika mzani.Ni mama mwenye moyo wa upendo wa hali ya juu sana,ni Mama mwenye utu na kuguswa na matatizo ya watu.ni Mtumishi wa kweli wa watu ,ni Mama ambaye moyo wake na Maisha yake amejitolea kwa ajili ya kuwatumikia watanzania kwa moyo wake wote.
Embu fikiria ndugu yangu mtanzania, Unafikiri wazazi wa Mtoto huyu ambaye Mama yetu na Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia ameahidi kumhudumia na kumsaidia kupata mguu wa bandia . unafikiri wazazi wa Mtoto huyu wana furaha kiasi gani mioyoni Mwao? Unafikiri ni vipi wanaweza sahau upendo na huruma ya Rais Samia kwa mtoto wao? Ni vipi watalala na wakapata usingizi bila kumuombea maisha marefu Rais Samia?
Unafikiri Mtoto huyu na Mwanafunzi huyu aliyegusa hisia za watu atamsahau vipi Rais Samia? Unafikiri ni furaha kiasi gani atakayokuwa nayo mtoto huyu pindi atakapopatiwa Mguu wa Bandia? Unafikiri anaweza vipi kulisahau jina la Rais Samia moyoni Mwake katika uhai wake wote hapa Duniani ? Unafikiri atawasimulia nini watoto wenzake mpaka wajukuu zake panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu?
Ndugu zangu Watanzania unaweza kuwa na chuki binafsi na Rais Samia .lakini ukweli ni Kuwa Rais Samia ni mtu na nusu,ni kiongozi ambaye tunapaswa kumuombea Maisha marefu na kumuunga mkono kuendelea kutuongoza Watanzania. Ni kiongozi ambaye wapo watu watakuja waje wamkumbuke sana na kumlilia sana kwa mazuri aliyo watetendea atakapomaliza muda wake wa Urais hapo 2030 panapo majaliwa ya Mwenyezi Mungu.
View attachment 3045822
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kabla ya Samia kuingia, watoto chini ya umri wa miaka 5, walipata bima Bure.Nenda kakate bima kwa ajili ya familia yako na watoto wako kwa gharama nafuu kabisa iliyowekwa na serikali yetu Sikivu.
Alafu anakuja kufanya showoff kwa kusaidia mtoto mmoja mwenye mahitaji maalumu wakati wapo wengi wenye mahitaji hayo hayo hawajui hatma yao!Kabla ya Samia kuingia, watoto chini ya umri wa miaka 5, walipata bima Bure.
Samia amefuta,
Halafu wewe chawa unakuja kutapika hapa!!
Unaelewa maana ya upendeleo? Wewe umefanya nini kuwasaidia hao unao waona huko kwako? Acheni wivu na roho mbaya.kwa hiyo ulitaka asumsaidie mtoto huyo? Vipi angekuwa mtoto wako ndio kasaidiwa? Ungekuja kuzubgumza maneno hayo uliyoyazungumza hapa?Katika vitu ambavyo kiongozi wa nchi hapaswi kufanya hasa akiwa kwenye ziara rasmi ni KUONESHA UPENDELEO WA WAZI!
Ingekuwa ni ishu binafsi ningepongeza. Lakini kwenye hili Rais SSH alipaswa afanye kisera zaidi!
Hapo kasaidia tu mtoto mmoja... Je wapo wangapi kama huyo mtoto?
Je, nao watoke kokote walipo waende kwenye mikutano ya SSH kusuburia bahati zao?
Kwani anashindwa nini kutoa maelekezo ya kisera huyo akasaidiwa na wengine kote nchini nao wakatafutwa na kusaidiwa?
Na wewe nenda ukawasaidie.Alafu anakuja kufanya showoff kwa kusaidia mtoto mmoja mwenye mahitaji maalumu wakati wapo wengi hawajui hatma yao!
Shame!
Mimi ni Rais wa wapi??Na wewe nenda ukawasaidie.
Kutoa Msaada kunahitaji kuwa Rais? Machadema mna akili za fisi sanaMimi ni Rais wa wapi??
Auunafikiri Rais ni kama wewe??
Ni kweli kabisa alipokuwa Mlowo napo amegusa hisia za watu wengi sana .kwa yule mama mwenye mtoto pamoja na yule aliyepata majereha mabaya kwa ajali. Kiufupi ni kuwa Rais Samia anaendelea kumfikia kila mwenye kuhitaji msaadaBila kumsahay yule mama.
Pili Rais ametoa wito Kwa jamii kuwa na bima ya Afya vinginevyo majanga kama hayo yakiwakuta wasije lauku Rais.
Hii ni zaidi ya wivu... Ni UPENDELEO wa wazi!Unaelewa maana ya upendeleo? Wewe umefanya nini kuwasaidia hao unao waona huko kwako? Acheni wivu na roho mbaya.kwa hiyo ulitaka asumsaidie mtoto huyo? Vipi angekuwa mtoto wako ndio kasaidiwa? Ungekuja kuzubgumza maneno hayo uliyoyazungumza hapa?