Na wanakuwa wakali balaa, utasikia nimeuza mali zangu kukosomesha......mentality ya wazazi wa namna hii ni mtihani kwelikweli.Biblia inataka baba aache urithi hadi kwa wajukuu.
Kuwa baba masikini ambaye huna mali ya kurithisha hadi wajukuu ni dhambi.
Urithi katika agano jipya pia unaonesha uko tofauti, je umesoma hii:m toka kwa Yesu mwenyewe?
Lk 12:13-15 SUV
[13] Mtu mmoja katika mkutano akamwambia, Mwalimu, mwambie ndugu yangu anigawie urithi wetu. [14] Akamwambia, Mtu wewe, ni nani aliyeniweka mimi kuwa mwamuzi au mgawanyi juu yenu? [15] Akawaambia, Angalieni, jilindeni na choyo, maana uzima wa mtu haumo katika wingi wa vitu vyake alivyo navyo.
Mzazi mkristo anatakiwa awe na mali za kusupport hadi wajukuu.Na wanakuwa wakali balaa, utasikia nimeuza mali zangu kukosomesha......mentality ya wazazi wa namna hii ni mtihani kwelikweli.
Nimeishi sweden na uk .hakuna mambo ya kurithi ila baba anakupa mtaji unasepa.mfano trump baba yake alikuwa tilionaire lakini alimpa bil 2 tu akaanze maisha .mali unajitafutia mali ya baba yako ni ya yeye kula bata na mama yako na mademu zake
Na wanakuwa wakali balaa, utasikia nimeuza mali zangu kukosomesha......mentality ya wazazi wa namna hii ni mtihani kwelikweli.
Ibrahim alimuachia Isaka, na Isaka akamuachia yakobo.Hayo maneno tunaambiana maskini tu. Urithi ni mali na basic education tu ya kuendesha hizo mali.
Hayo makaratasi mtarithishana huku hamna hela wakati wenzenu wanaachia hadi wajuukuu zao mali. Kusingekua na kina Mo au Azam kama wangekua wanaachiana vyeti tu.
Mkuu mm nimezaa na msweden baba yake ana hadi viwanda huyu dada nliishi nae maisha ya kawaida na nimuajiriwa kampun ingine sio ya babake .na wasweden mali huwa wanadonate asilimia kubwa hawawapi watoto.akiwa na shida wanamkopesha .Kama kusingekuwa na urithi basi hata hiyo nchi ya Sweden isingekuwepo na isingekuwa nchi ya ya Wasweden.
Wasweden waleo wamerithi hiyo nchi kutoka kwa Babu na baba zao.
Ukisema hakuna mambo ya urithi unauhakika kwenye sheria na mahakamani za Sweden hakuna mambo ya Urithi?
Kwenye huu dunia kiumbe chochote chenye utashi lazima kurithisha sio tûu maumbile ya mwili bali hata rasilimali.
Maskini ndio wanasemaga hakuna urithi kwa sababu wao hawana vya kurithi, lakini Watu wenye akili kubwa na matajiri huwezi kusikia wakifikiria jambo hilo achilia mbali KUSEMA.
Labda hujui maana ya urithi. Urithi ndio maana halisi ya maisha
Mkuu mm nimezaa na msweden baba yake ana hadi viwanda huyu dada nliishi nae maisha ya kawaida na nimuajiriwa kampun ingine sio ya babake .na wasweden mali huwa wanadonate asilimia kubwa hawawapi watoto.akiwa na shida wanamkopesha .
Kijana akifikisha miaka 18 baba yake alikuwa anampa shamba, mifugo na malazi. Kisha anamuozesha.
Ni sawasawa.
Ndio nakuuliza Sweden hakuna sheria za mirathi?
Mkuu mm nimezaa na msweden baba yake ana hadi viwanda huyu dada nliishi nae maisha ya kawaida na nimuajiriwa kampun ingine sio ya babake .na wasweden mali huwa wanadonate asilimia kubwa hawawapi watoto.akiwa na shida wanamkopesha .
Umeongea jambo la msingi sana lakini kwa jinsi ulivyofikisha ni kama upo kanisani vile! au labda tupo kwenye jamii ambayo the only relevant reference ni biblia. Makosa kama haya huwa yanaashiria mgando wa fikra za mtu kwa sample yake ndogo aliyoisoma na sio jamii nzima kiujumla. Kwa mtazamo wangu tafiti yako inaongelea jamii moja tu ya waswahili tena wanaoamini biblia.View attachment 2897775
tunaanza na mistari ya biblia
Mithali 13:2 Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi
Mithali 19:14 “Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na
Bwana”
NIMEGUNDUA WAZAZI WA ZAMANI WASIOENDA SHULE WANA AKILI KULIKO WAZAZI WA KISASA.
Elimu ya Mzungu imezalisha wazazi wajinga kuliko wazee ambao hawajapata hiyo elimu.
Wazee wa zamani hawakuwa na elimu ila walikuwa na akili sana. Walikuwa wanaandaa ajira za watoto wao.
Walijua mahitaji ya msingi ya binadamu ni nini chakula, Mavazi na malazi.
Baba ilikuwa wajibu wake kuhakikisha kizazi chake kinapata uhakika wa chakula, mavazi na maradhi kwa wakati.
Kijana akifikisha miaka 18 baba yake alikuwa anampa shamba, mifugo na malazi. Kisha anamuozesha.
Hapo maana yake ajira ameshampatia mwanae kwenye hilo shamba na mifugo
Wazazi wa siku hizi mtoto wa miaka 25 hapewi chochote kwa kisingizio amepewa elimu. Na elimu ndio urithi.
Ukweli elimu sio urithi. Hakuna sheria ya mirathi inayotambua elimu kama urithi.
Wazazi wa zama hizi Wanajifanya wanapenda dini ila mafundisho ya dini kuhusu urithi wanayakataa. Biblia inasema Nyumba na mali mtu atapewa na baba yake. Hakuna walipo sema elimu ndio urithi
Wazazi wengi siku hizi wanatumia asilimia kubwa ya vipato vyao kusomesha watoto wao, ila wanasahau wajibu wao wa kidini hasa Wakristo kuwarithisha mali hao watoto wao.
Watoto wengi wamesoma, wamemaliza vyuo vikuu ila hawajapata ajira. Wanashinda wanazurura tu na kulala nyumbani kutwa nzima. Sababu baba hana rasilimali za kumpa mtaji. Ama baba amefariki hajamuachia urithi wa mali, sababu kuu ameshapewa urithi wa elimu.
Elimu ni basic need kama kumpa mtoto chakula, Hivi unaweza wapa watoto chakula ati ndio useme Urithi,
Elimu ni basic need Kwa mtu inayomsaidia kutumia Rasilimali. Mzazi unapaswa uache Urithi WA rasilimali ambazo mtoto atazitumia kuendesha maisha yake baada ya kupewa elimu. Elimu bila Rasilimali ni Sawa na mdomo pasipo Meno.
Baba yake Mo dewji kamsomesha Mo dewji IST na chuo kikuu kikubwa duniani.. ila bado akaja kumpa urithi wa mali yaani kampuni ya Mohammed Enterprises
Tatizo la Ajira linaletwa na Wazazi wahuni.
Hujamrithisha mtoto Mali ataachaje kukosa Ajira?
Maisha ni yaleyale Ila binadamu ndio wanajifanya yaonekane yamebadilika
Kwa maoni yako je elimu ni urithi wa kuwekewa nguvu kuliko urithi wa mali ?
ndo wale wazazi unakuta kwenye harusi wanaitwa waseme zawadi waliomuandalia kijana/binti yao....unakuta kanaletwa kajifuko unaweza sema labda ni burungutu la ela...unaona mtu anatoa biblia alafu anachukua MIC ''Mimi kama baba napenda kumpa mwanangu zawadi ya biblia'' KAMALIZA 😁
Tafuta chako, acha kutegemea urithi wewe.View attachment 2897775
tunaanza na mistari ya biblia
Mithali 13:2 Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi
Mithali 19:14 “Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na
Bwana”
NIMEGUNDUA WAZAZI WA ZAMANI WASIOENDA SHULE WANA AKILI KULIKO WAZAZI WA KISASA.
Elimu ya Mzungu imezalisha wazazi wajinga kuliko wazee ambao hawajapata hiyo elimu.
Wazee wa zamani hawakuwa na elimu ila walikuwa na akili sana. Walikuwa wanaandaa ajira za watoto wao.
Walijua mahitaji ya msingi ya binadamu ni nini chakula, Mavazi na malazi.
Baba ilikuwa wajibu wake kuhakikisha kizazi chake kinapata uhakika wa chakula, mavazi na maradhi kwa wakati.
Kijana akifikisha miaka 18 baba yake alikuwa anampa shamba, mifugo na malazi. Kisha anamuozesha.
Hapo maana yake ajira ameshampatia mwanae kwenye hilo shamba na mifugo
Wazazi wa siku hizi mtoto wa miaka 25 hapewi chochote kwa kisingizio amepewa elimu. Na elimu ndio urithi.
Ukweli elimu sio urithi. Hakuna sheria ya mirathi inayotambua elimu kama urithi.
Wazazi wa zama hizi Wanajifanya wanapenda dini ila mafundisho ya dini kuhusu urithi wanayakataa. Biblia inasema Nyumba na mali mtu atapewa na baba yake. Hakuna walipo sema elimu ndio urithi
Wazazi wengi siku hizi wanatumia asilimia kubwa ya vipato vyao kusomesha watoto wao, ila wanasahau wajibu wao wa kidini hasa Wakristo kuwarithisha mali hao watoto wao.
Watoto wengi wamesoma, wamemaliza vyuo vikuu ila hawajapata ajira. Wanashinda wanazurura tu na kulala nyumbani kutwa nzima. Sababu baba hana rasilimali za kumpa mtaji. Ama baba amefariki hajamuachia urithi wa mali, sababu kuu ameshapewa urithi wa elimu.
Elimu ni basic need kama kumpa mtoto chakula, Hivi unaweza wapa watoto chakula ati ndio useme Urithi,
Elimu ni basic need Kwa mtu inayomsaidia kutumia Rasilimali. Mzazi unapaswa uache Urithi WA rasilimali ambazo mtoto atazitumia kuendesha maisha yake baada ya kupewa elimu. Elimu bila Rasilimali ni Sawa na mdomo pasipo Meno.
Baba yake Mo dewji kamsomesha Mo dewji IST na chuo kikuu kikubwa duniani.. ila bado akaja kumpa urithi wa mali yaani kampuni ya Mohammed Enterprises
Tatizo la Ajira linaletwa na Wazazi wahuni.
Hujamrithisha mtoto Mali ataachaje kukosa Ajira?
Maisha ni yaleyale Ila binadamu ndio wanajifanya yaonekane yamebadilika
Kwa maoni yako je elimu ni urithi wa kuwekewa nguvu kuliko urithi wa mali ?
We ni mpagani huwezi kumuelewa mleta madaTafuta chako, acha kutegemea urithi wewe.
Kuangalia sana mali za urithi ni ishara ya ujinga na uzembe, na ndiyo mwanzo wa kuua wazazi ili urithi mali.
Mzazi akiyetafuta chake kivyake hana obligation ya kujupa urithi, hata akiamua kugawa mali yake yote kanisani, msikitini au kwa yatima ninsawa, hiyo no mali yake, si yako.
Usiikodolee macho ukilazimisha upewe urithi.
Tafuta yako na wewe.
Ad hominem logical fallacy.Bora unisaidia kumjibu