Kuna mtt anamaaliza degree yaani hajui hata skill yoyote Ile ya kimaisha zaidi ya cheti chake ambacho kinamdhihirishia kuwa aliikariri vizuri. Iko shule inapima aina mbili za human intelligence out of nine natural human intelligence.
Binadamu wanao aina tisa za vipaji Ila shule bana inapima aina mbili tu za vipaji.
Kuna uelewa wa mambo na ulimbukeni.
Yaani mie nimetoka kayumba primary tu nikafika secondary vipaji sijui vya kukariri tabora boys nikakutana na WA Em nikawa naongea na English, nikashangaa adi English nikawazidi , mtihani wote nikawazidi nikatokea kuona kumbe sio kuwa em inamuongezea mtu akili, yaani kuwa USA sio kuwa ndio tiketi ya wewe kuwa tajiri , hata hapa hapa afrika waweza kuwa tajiri...sema bana middle or lower class income earn huwa wanajifariji kuwa. GOING OUTSIDE AND BUYING EXPENSIVE CIGARETTE WILL MAKE YOU RICH BUT IN REALITY WILL MAKE YOU LOOK RICH..SPENDERS WENGI NI MASIKINI NA WANAJISIFU KUWA NIMENUNUA SIMU YA MILIONI TANO ILI NA YEYE AZIBE LILE PENGO LAKE LA UMASIKINI NAFSINI MWAKE, ANAWAHI KUNUNUA GARI UKIMUULIZA LOGIC REASON HANA ZAIDI YA KUONGEA EMOTIONS ZAKE WAKATI REASON BEHIND NI KU INFLATE HIS EGO ili na yeye aonekane. Yaani mtu ananunua gari anataka dunia nzima ujue, akipanda ndege lazima dunia ujue just na yeye aonekane wa thamani so unakuta anayo Ile inferiority complex, Hawa watu wawili ni tofauti na wale waliozoea magari mpaka hausegeli na shamba boy walikuwa wanapewa magari ya kutumia.
Na mtt akipanda ndege tokea akiwa tumboni, Kuna jamaa mmoja alidai yeye ameanza kuona magari kwao akiwa tumboni kwa mama yake, Sasa acha sie tuliona ng'ombe kabla ya kuzaliwa Sasa ukizipata lazima uvimbe utembee viwanja vyote na ule mademu wote Mana ulikuwa huna uwezo wa kuwapa bila ya gari , so ni gari inakusaidia Ila kwa confidence man anakula Kila aina ya mbususu cheaply.
Yaani Kuna gap kwenye soul so Kila mtu huwa anataka kuliziba Ile hali ya kukulia kwenye umasikini anadharaulika anataka Kama kulipiza kisasi. Kuna jamaa mmoja alijenga akawa anawaambia wake za marafiki zake kuwa wamtembelee ili waone alipojenga.
Mie mtu akiniuliza kuwa umejenga namwambia mie naishi huko simjibu Kama nimejenga ama sijajenga. Kuna mtu anafanya kitu kutafuta validation, sense of Mattering, lile gap la inadequacy so anataka kuliziba ili awe adequacy, hizi Mambo Zina rise from psychological points of view.
Mtu haijasoma na alitamani mno kusoma na alikomaa kwa juhudi zake zote Ila elimu ikamkataa akala zero Sasa ngoja aje apate hela kuzidi wasomi lazima atatumia wasomi as reference aliyekuwa anamzidi class Ila saivi maishani anamzidi pesa lazima Naye atavimba na kusema kuwa ninawazidi wasomi hela Tena wenye masters nimeajiri wasomi nawalipa na huku mie sijasoma so hapa anaponya maumivu yake ya siku nyingi mno Naye anajisikia kupumua Mana alikuwa amebanwa ama amebeba vitu ama mizigo kwenye nafsi yake. Hii mizigo ni Ile kinyongo,chuki, wivu, husuda, kisasi, tamaa ,kiburi etc ambayo Yesu alisema kuwa itueni mizigo ili nafsi zetu ziwe nyepesi ziwe huru Ila Sasa umezibebesha mizigo.
Mtu alitoswa na demu Ila Sasa akizipata anaenda kumringishia wakati pendo ni natural thing Kama mtu hakupendi kwa jinsi wewe ulivyo basi akija kupenda baadaye sio Bali ni hiyo status uliyo nayo so siku ikitoka huna mtu anayesema kuwa anakupenda.
Let us be truly and sincerely and genuinely people who mean what we say.
Mie Niko advance bro ananiambia kuwa aninulie simu namwambia kuwa ya nini.
Sikutaka kuwahi na simu ili I validate my worth, value, sense of Mattering, adequacy and acceptable among of peers.deep down within my soul am satisfied and full , I don't see myself as buildings, skyscrapers, cars, education, gazillion zeroes in my bank account or any kind of physical possessions will validate my worth as human living.
We don't live at all , we spend our whole life chasing those things thinking that after owning them then we'll start living and feel ego and better than other persons around us but with time or after acquiring those shits you'll realize life isn't all about those bullshits, we live in cage of so called life defined or set by others according to their own terms.
Having my own farm full of vegetables, all kinds of seed fruits, beehives full of honey, 5 milk cows , dams full of all kinds of fishes,goats and sheeps, hens and local chickens giving me plenty of eggs, donkey for carrying luggage, horse for transport in remote area.
Practicing meditations and calm of mind, having sitting and sleeping surrounded by trees full of wild birds for is kind of utajiri never imaginable.
I don't need anyone to define me what's the life and follow so called crowd or majority path or mindset.
Having eating natural foods ie direct from my roots ie soils for me I don't know how I can definitely define this wealth.
Without forgetting enough field for playing with my family at the evening.