Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwani kwenye Simba na Yanga wanamiliki hisa au ni upumbavu wao tuHabari zenu!
Mada inajieleza.
Wazazi wengi bongo hawana cha kuwarithisha watoto wao zaidi ya Simba au Yanga.
Jitahidi ufanye chini juu uache urithi wa kueleweka.
Wanawarithisha ushabiki tu pesa za wajanjaKwani kwenye Simba na Yanga wanamiliki hisa au ni upumbavu wao tu
Jamii ya watanzania inaongoza katika ujinga na kua na akili finyu katika ukanda wa Africa mashariki.Wanawarithisha ushabiki tu pesa za wajanja
Jamii ya watanzania inaongoza katika ujinga na kua na akili finyu katika ukanda wa Africa mashariki.
Mimi hoja hii naiunga mkono asilimia mia..! naongezea Afrika mashariki na kati, hata gazeti la mwananchi limewahi chapisha habari ukurasa wa mbele kbs inayothibitisha ujinga wa wananchi wa taifa hili ukilinganisha na mataifa mengi ya afrika. HILO GAZETI LILIPOSTIWA HUMU JFJamii ya watanzania inaongoza katika ujinga na kua na akili finyu katika ukanda wa Africa mashariki.
πππUnakuta familia nzima baba mama na watoto wanawajua mpaka makocha wa viungo na daktari wa timu.. ukiuliza asili ya babu wa babu yao hawajui walitoka wapi ?
Mijinga ni mingi sanaUnakuta familia nzima baba mama na watoto wanawajua mpaka makocha wa viungo na daktari wa timu.. ukiuliza asili ya babu wa babu yao hawajui walitoka wapi ?