Cheti ya darasa la saba ni kama cheti ya kipaimara tu.. hakina maana yoyote... Peleka mtoto private... Au nenda wizaran wanaweza kukusaidia kumpeleka shule mtotoNdugu zangu, usiku wa leo sijalala vizuri, nimefadhaishwa sana na kitendo cha mwanangu wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya St Anne Marie academy ya jijini Dar es Salaam kufutiwa matokeo. Yaani nina hasira kali sana kiasi sijajua nichukue hatua gani dhidi ya uongozi wa shule.
Naombeni tushauriane, kama wewe siyo mhanga wa jambo hili unaweza pita kimya kimya tu maana kwa sasa sihitaji kejeli, nahitaji faraja na ushauri.
Hivi mtoto ataenda private? Je, haiwezi kuwa na athari kwenye mitihani ya form four?
Naomba kuwasilisha.
Ukiomba ajira wanakwambia tuletee CV yako sio cheti cha Darasa la 7uombaji wa ajira
Ni watu wa Kanda ya Ziwa mlizoea kudanganya.Ndugu zangu, usiku wa leo sijalala vizuri, nimefadhaishwa sana na kitendo cha mwanangu wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya St Anne Marie academy ya jijini Dar es Salaam kufutiwa matokeo. Yaani nina hasira kali sana kiasi sijajua nichukue hatua gani dhidi ya uongozi wa shule.
Naombeni tushauriane, kama wewe siyo mhanga wa jambo hili unaweza pita kimya kimya tu maana kwa sasa sihitaji kejeli, nahitaji faraja na ushauri.
Hivi mtoto ataenda private? Je, haiwezi kuwa na athari kwenye mitihani ya form four?
Naomba kuwasilisha.
Natamani kumjua nkampige makondePole mkuu.
Mdogo wake rweki wa bmt ndo wa kulaumiwa.
Hapana mkuu mimi sio wa kanda hiyo ila kusema kanda ya ziwa wadanganyifu sio kweli kisayansiNi watu wa Kanda ya Ziwa mlizoea kudanganya.
Saana na inawasumbua sana watoto ... naona wameingizwa kwenye mchezo mchafu kwa manufaa ya wenye shule ...Ishu nzito sana hii aibu kwa shule na wadau
Hapana mkuu ya binafsiHiyo shule ni ya kanisa?
Jasson RweikizaHiyo shule ni ya kanisa?