Wazazi wenye wanafunzi waliofutiwa matokeo ya Darasa la Saba 2022 tukutane hapa tutiane moyo

Wazazi wenye wanafunzi waliofutiwa matokeo ya Darasa la Saba 2022 tukutane hapa tutiane moyo

POLENI SANA PRIVATE MPELEKE

ATHARI HAMNA MFANO MIMI NILISOMA UGANDA NIKAISHIA LA NNE NA NIKARUDI HAPA TZ NIKASOMA HADI CHUO NA BAADHI YA KAZI ZA SERIKALI NIMEFANYA NA CHUO MKOPO NILIPEWA

NB make sure mwanao anapata cheti Cha lasaba
Anapataje cheti wakati amekuwa disqualified na matokeo
 
Watu wengi humu wanajifanya wajuaji Sana wakati wanayoyaongea ni uongo.Siku hizi kuanzia shule ya msingi wako kwenye mfumo mmoja wa serikali.Kumhamisha mtoto shule ya private ni lazima kupita ngazi zote kwa mujibu wa serikali,unaanzia shuleni,unaenda kati hadi halimashauri.Nyie mdanganyeni wakati anaomba ushauri.Mifano mnayotoa ni ya Zamani.
Hao wasubiri Sept wafanye mitihani mingine wakiwa na namba Mpya
 
Maoni yangu kwa serekali, shule ambazo zimehusika katika mchezo mchafu zipigwe faini ya haja ambayo itakuwa funzo na mfano na kumbukumbu kwao,
::Serekali itajipatia kipato cha haja.
::Wavujishaji mitihani wacgunguzwe wakamatwe na hatimaye wafukuzwe haraka.
Pili wanafunzi wa hizo shule watungiwe mitihani mingine wa sit Januari mapema, najua watachelewa kwa wiki mbili au tatu, lakini watakaofaulu kwa maksi stahili waungane na wenzao mapema iwezekanavyo.
CC:-MKENDA.
MBE KANYI.
 
Kwanza kumpeleka Private sio tatizo ila lazima afanye mtihani wa STD 7. Huwezi kufanya mtihani wa Form 2 kama hukufanya mtihani wa STD 7, kwakuwa wamefutiwa matokeo maana yake ni kama hajafanya mtihani sasa.
Mfumo wa sasa hivi mtoto akimaliza STD 7 kuna namba anapewa na ili asajiliwe kufanya mtihani wa Form 2 lazima namba ile utumike, kinyume chake hawezi kamwe.
Wanaokuambia mpeleke tu, wakuambie mwakani wakat anaendelea na huko Secondary basi sharti arudie mtihani wa la Saba, hakuna kona hapo.
Cku hizi kuna kureseat mtihani wa Drs la Saba, cha kufnya mtoto aendelee na form one mwakan aka reseat

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni sana wazazi wenzetu mlioguswa.

Pole Kwa watoto wasio na hatia.

Karma iwakute walimu wanaocheza michezo michafu ili shule zao zionekane zinafaulisha sana wazidi kupata wateja.

Mpeleke tu private anapokelewa
Angalieni na mifumo, je Siku hizi Bado inaruhusu. Zamani iliwzewkana lkn sasa je... Usimshaur kitu usichokuwa na uhakika nacho
 
Maoni yangu kwa serekali shule husika za mchezo mchafu zipigwe faini ya haja ambayo itakuwa funzo na mfano na kumbukumbu kwao,
::Serekali itajipatia kipato cha haja.
::Wavujishaji mitihani wacgunguzwe wakamatwe na hatimaye wafukuzwe haraka.
Pili wanafunzi wa hizo shule watungiwe mitihani mingine wa sit Januari mapema, najua watachelewa kwa wiki mbili au tatu, lakini watakaofaulu kwa maksi stahili waungane na wenzao mapema iwezekanavyo.
CC:-MKENDA.
MBE KANYI.
Umenena..kuwaweka mpaka Sept ni mbali sana na kuwafanya walipie gharama za mchezo ambao hawana hatia.
 
siwezi kukutana na zao la watu waongo na wadanganyifu.
 
Danganyaneni tu hapa eti aende puraiveti, bila cheti cha la saba husajiliwi kufanya national form two na bila form two form four hutoboi I'm short atarudi kupiga hilo pepa make asitake.
Hawana taarifa sahihi.
 
Pili wanafunzi wa hizo shule watungiwe mitihani mingine wa sit Januari mapema, najua watachelewa kwa wiki mbili au tatu, lakini watakaofaulu kwa maksi stahili waungane na wenzao mapema iwezekanavyo.
Nanunua wazo hili..
Maoni yangu kwa serekali, shule ambazo zimehusika katika mchezo mchafu zipigwe faini ya haja ambayo itakuwa funzo na mfano na kumbukumbu kwao,
::Serekali itajipatia kipato cha haja.
::Wavujishaji mitihani wacgunguzwe wakamatwe na hatimaye wafukuzwe haraka.
Pili wanafunzi wa hizo shule watungiwe mitihani mingine wa sit Januari mapema, najua watachelewa kwa wiki mbili au tatu, lakini watakaofaulu kwa maksi stahili waungane na wenzao mapema iwezekanavyo.
CC:-MKENDA.
MBE KANYI.
Shule hizo zimeshafungiwa kuwa exam centers
 
Mtoto wako hajafutiwa matokeo mkuu,shule ndiyo imefungiwa kuwa kituo cha mtihani,matokeo atapata tu mkuu kuwa na amani,baraza halina mamlaka ya kufutia usajili mwenye mamlaka ni kamishna wa elimu pekee tu.
 
Hivi hawa walimu waliohusika na uovu huu nini kiwe juu yao asee!??

Yani mnavujishaje mtihani woootee..majibu yoote..wanafunzi wootee..mitihani yooteee
Shule huwa zinafungiwa kwa kipindi fulani, afu zinafunguliwa.
Mwaka huu ndo zimetia fola,shule 24
 
Back
Top Bottom