Wazazi wenye wanafunzi waliofutiwa matokeo ya Darasa la Saba 2022 tukutane hapa tutiane moyo

Jecha alipofuta matokeo ya urais zenj, maalim aliapishwa kuwa rais smz na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi?
 
Nahisi umedanganya,, Mfano watoto waliosoma kenya primary ama uganda primary je hawaruhusiwi kusoma o level Tanzania?
Mmhhh...hisia zako ziwazishe vzr nenda uulize kwenye system za elimu ndo utajua km nadanganga au nasema kweli

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
anabishana na miye niliye jikoni nakua Kila kitu daahh...Bora umenisaidia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mfano mimi mtoto wangu kafutiwa matokeo ila prem Number ipo, japo haina matokeo (W) je anaweza endelea std 7 au inapaswa arudie Darasa std7
Shule atakayoenda pia itahitajika tsm 9 mwanao Hana,kurudia hakuepukiki labda km baraza wawape tamko kuhusu watoto wenu ila Sasa hivi ht mwanao akienda private tsm 9 inaenda huko poa
Naomba ukipata muda tafuta shule ya sekondari karibu nenda kaulize kwa uhakika zaidi maana humu tunaonekana waongo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mbona ukisikiliza yule Boss wa Necta kasema hao wanafunzi wamefutiwa sababu ya kuiba mitihani?
Wanafunzi ndo wameiba na shule zimehusika

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
NECTA walisema kuwa wamefuta matokeo ya wanafunzi 2260 kutoka shule 24 ambao walihusika katika udanganyifu...

Ila wanafunzi wamepewa nafasi ya kurudi mtihani mwaka 2023

Shule zimefungiwa kuwa vituo vya mitihani hadi necta wakijiridhisha

Shule zingine 6 zenye wanafunzi 500+ matokeo yao yalishikiriwa kwa ajili ya uchunguzi, ikibainika hawakuhusika na wizi watafunguliwa. Siku ya jana hizo shule zimefunguliwa matokeo

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Waalimu wa sekondari waje watuambue nini umuhimu wa PREM NUMBER ambayo mtoto anatokanayo shule ya msingi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Bila hiyo prem number mtoto hawezi kusajiliwa kwa ajili ya mtihan wowote wa sekondari iwe private au gavoo.
Cha muhimu mzazi atafte shule nyingine mtoto aanze la sita afanye mtihani wa la saba tena.
 
Wazazi wote muwaandae wanafunzi kwa ajili ya mitihani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…