Tetesi: Wazee kumshauri Tundu Antipas Lissu kupumzika au kuacha siasa kabisa

Mbona unamwogopa sana Tundu Lissu?
No, hapana,
wazee wanampenda na wanamkubali kimyama ila hali halisi yake tu ndio vimewatia hofu na kuona wanalo jukumu la kumpatia muongozo kidogo kama tiba ya hali yake πŸ’
 
Wacha weeee za ndani kabisa hizi, nawe ni mmoja wa wazee wa mkoa wa Singida au sio.....
 
Hao wazee wa wapi?
Kwanini wakwambie wewe tu?
zingatia maelezo ya msingi utagundua ni wazee wa wap hasa, na actually suala la kuambiwa mimi tu ni mwanzo tu, but baada ya kikao nadhani itakua nisuala la kila moja wetu πŸ’
 
Wacha weeee za ndani kabisa hizi, nawe ni mmoja wa wazee wa mkoa wa Singida au sio.....
mimi ni miongoni mwa wazee vijana nchi hii,

ni miongoni mwa walezi wa wazee, si tu wazee wa singida bali pia maeneo mbalimbali nchini , so nafahamu makusudio yao kisiasa, kijamii na kiuchumi kwa viongozi hasa wa maeneo yao kama huyo muungwana kiongozi kwenye hoja ya msingi πŸ’
 
Hamumpati ng'o huyo Lissu, pamoja na mikakati mingi sana, mnayoipanga hivi sasa.

Hivi nyinyi maccm, pamoja na kutaka kumuua huyo Lissu Kwa marisasi, hivi bado tu mnamtamani??😎
 
Hao wazee ni wa chama gani? Tuanzie hapa kwanza
 
Hamumpati ng'o huyo Lissu, pamoja na mikakati mingi sana, mnayoipanga hivi sasa.

Hivi nyinyi maccm, pamoja na kutaka kumuua huyo Lissu Kwa marisasi, hivi bado tu mnamtamani??😎
actually,
ni muhimu kuzingatia maoni na mtazamo wa wazee wa eneo nililolitaja, watafanikiwa ama la?πŸ’

mengine ni porojo tu..
 
Ukimaanisha hili jembe lenye kuwakosesha usingizi chawa wa ndani na nje?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…