Tetesi: Wazee kumshauri Tundu Antipas Lissu kupumzika au kuacha siasa kabisa

Mbona unamwogopa sana Tundu Lissu?
No, hapana,
wazee wanampenda na wanamkubali kimyama ila hali halisi yake tu ndio vimewatia hofu na kuona wanalo jukumu la kumpatia muongozo kidogo kama tiba ya hali yake 🐒
 
ni kwa upendo na mapenzi makubwa, wazee wa mkoa wa singida wanapanga kukutana, kujadili na kuamua mustakabali wa siasa za kijana wao mpendwa Tundu Antipas Lisu kutokana na hali yake ilivyo, hasa baada ya kuthibisha mwenyewe juu ya utimamu wa mwili wake, ukilinganisha na majukumu na kazi nzito, muhimu na ya maana sana anayoipambania, mathalani kua mwenyekiti wa Chadema...

kulingana na wazee hao, Lisu anapewa machaguo matatu tu,

ni ama apumzike na heka heka za siasa kuimarisha uimara wa utimamu wa mwili wake, ambapo umeumizwa sana...

au kuacha mapambano ya siasa kabisa ili kuzingatia na kupata fursa na muda mwingi zaidi wa kutosha kujikarabati ili kua madhubuti huko mbeleni....

au baadhi ya wazee wnapendelea kama anaendelea na siasa na hali aliyonayo basi ajiunge CCM kwani huko ataepukana na misukosuko mingi na kupata ahueni kubwa hata ya kudeal na masuala kadha wa kadha binafsi ya kimwili na kifamilia kwa amani na uhakika zaidi..

unadhani wazee hawa watafanikiwa kumshawishi kijana wao kukubali ushauri wao?

una maoni gani kama mwananchi, ingawa body language na tones ya Lisu pia inaashria kuna safari ya kuelekea CCM wakati wowote 🐒
Wacha weeee za ndani kabisa hizi, nawe ni mmoja wa wazee wa mkoa wa Singida au sio.....
 
Hao wazee wa wapi?
Kwanini wakwambie wewe tu?
zingatia maelezo ya msingi utagundua ni wazee wa wap hasa, na actually suala la kuambiwa mimi tu ni mwanzo tu, but baada ya kikao nadhani itakua nisuala la kila moja wetu 🐒
 
Wacha weeee za ndani kabisa hizi, nawe ni mmoja wa wazee wa mkoa wa Singida au sio.....
mimi ni miongoni mwa wazee vijana nchi hii,

ni miongoni mwa walezi wa wazee, si tu wazee wa singida bali pia maeneo mbalimbali nchini , so nafahamu makusudio yao kisiasa, kijamii na kiuchumi kwa viongozi hasa wa maeneo yao kama huyo muungwana kiongozi kwenye hoja ya msingi 🐒
 
ni kwa upendo na mapenzi makubwa, wazee wa mkoa wa singida wanapanga kukutana, kujadili na kuamua mustakabali wa siasa za kijana wao mpendwa Tundu Antipas Lisu kutokana na hali yake ilivyo, hasa baada ya kuthibisha mwenyewe juu ya utimamu wa mwili wake, ukilinganisha na majukumu na kazi nzito, muhimu na ya maana sana anayoipambania, mathalani kua mwenyekiti wa Chadema...

kulingana na wazee hao, Lisu anapewa machaguo matatu tu,

ni ama apumzike na heka heka za siasa kuimarisha uimara wa utimamu wa mwili wake, ambapo umeumizwa sana...

au kuacha mapambano ya siasa kabisa ili kuzingatia na kupata fursa na muda mwingi zaidi wa kutosha kujikarabati ili kua madhubuti huko mbeleni....

au baadhi ya wazee wnapendelea kama anaendelea na siasa na hali aliyonayo basi ajiunge CCM kwani huko ataepukana na misukosuko mingi na kupata ahueni kubwa hata ya kudeal na masuala kadha wa kadha binafsi ya kimwili na kifamilia kwa amani na uhakika zaidi..

unadhani wazee hawa watafanikiwa kumshawishi kijana wao kukubali ushauri wao?

una maoni gani kama mwananchi, ingawa body language na tones ya Lisu pia inaashria kuna safari ya kuelekea CCM wakati wowote 🐒
Hamumpati ng'o huyo Lissu, pamoja na mikakati mingi sana, mnayoipanga hivi sasa.

Hivi nyinyi maccm, pamoja na kutaka kumuua huyo Lissu Kwa marisasi, hivi bado tu mnamtamani??😎
 
Hao wazee ni wa chama gani? Tuanzie hapa kwanza
 
Hamumpati ng'o huyo Lissu, pamoja na mikakati mingi sana, mnayoipanga hivi sasa.

Hivi nyinyi maccm, pamoja na kutaka kumuua huyo Lissu Kwa marisasi, hivi bado tu mnamtamani??😎
actually,
ni muhimu kuzingatia maoni na mtazamo wa wazee wa eneo nililolitaja, watafanikiwa ama la?🐒

mengine ni porojo tu..
 
ni kwa upendo na mapenzi makubwa, wazee wa mkoa wa singida wanapanga kukutana, kujadili na kuamua mustakabali wa siasa za kijana wao mpendwa Tundu Antipas Lisu kutokana na hali yake ilivyo, hasa baada ya kuthibisha mwenyewe juu ya utimamu wa mwili wake, ukilinganisha na majukumu na kazi nzito, muhimu na ya maana sana anayoipambania, mathalani kua mwenyekiti wa Chadema...

kulingana na wazee hao, Lisu anapewa machaguo matatu tu,

ni ama apumzike na heka heka za siasa kuimarisha uimara wa utimamu wa mwili wake, ambapo umeumizwa sana...

au kuacha mapambano ya siasa kabisa ili kuzingatia na kupata fursa na muda mwingi zaidi wa kutosha kujikarabati ili kua madhubuti huko mbeleni....

au baadhi ya wazee wnapendelea kama anaendelea na siasa na hali aliyonayo basi ajiunge CCM kwani huko ataepukana na misukosuko mingi na kupata ahueni kubwa hata ya kudeal na masuala kadha wa kadha binafsi ya kimwili na kifamilia kwa amani na uhakika zaidi..

unadhani wazee hawa watafanikiwa kumshawishi kijana wao kukubali ushauri wao?

una maoni gani kama mwananchi, ingawa body language na tones ya Lisu pia inaashria kuna safari ya kuelekea CCM wakati wowote 🐒

Ukimaanisha hili jembe lenye kuwakosesha usingizi chawa wa ndani na nje?

IMG_20240817_085150.jpg
 
Back
Top Bottom