Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Hahahaha mnamalizia weekend taratibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee nahisi hapa ndiyo Kuna shida
😂😂😂 Yani huyo ndiyo Mimi kabisa mzee. Umeenda mule mule aisee nafikiri unaielewa vilivyo hii situation.Ni hesabu tu mkuu,! Yan ukilitambua jibu tu (sio kujua) Ushatoboa
Unakuta mtu anafanya kazi mwezi mzima mshahara ukitoka tar 22 mpaka kufika tar 30 umeisha😂😂.Unakula mwenyew mshahara wako siku 7 na unaishi kawaida tu! Ushawahi kujiuliza kuanzi tar 1 unaishije mpaka tar 20 bila mshahara?
Sio mlevi ni mywajiKumbe mlevi halafu unatafuta visingizio
Pole sana mkuu .Ila kama umeanza kushtuka bas umeanza kujinasua kwenye mteho huo😂😂😂 Yani huyo ndiyo Mimi kabisa mzee. Umeenda mule mule aisee nafikiri unaielewa vilivyo hii situation.
Sijaoa na siyo ajira mpya ndomana nikasema hii ishu imenitokea sana kila ninapopata hela hali ni ile ile ila miaka kama kumi iliyopita hii hali hailiwepo. Nanilikuwa napiga mitungi na mikasi sana tu. Hii hali imeanza mwanzani mwa mwaka 2019 mpaka leo hii 2024 sielewi hapo ni nini kimetokea.Mkuu umeoa ?
Je we ni ajira mpya?
Tatizo hapo ni afya ya akili
Acha pombe mzeeYani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi.
Mitungi jamani mitungi jamani mitungiiiiiiiiiiiii aaaaagh.
Nakukuta tu balance niliyobaku nayo inatia huruma hapo ndo akili zinarudi hela yote ila nimetumia hivyo?
Eti wazee ni nini hiki?Yaani
Hii mitungi na mikasi ni kweli ila shida ninapotumia nakuwa kama sio mimi vile mpaka kiasi kibaki kidogo ndiyo akili unarudi kwamba hivi nimefanya nini sasa!!!!? Yani mzee acha tu.
Mbona kiganja changu kina hiyo herufi "M" ila mambo ndiyo kama hivyo mzee.Kama kiganja chako hakipo hivi basi mshahara wako ni ngumu kukaa achilia mbali pombe na wanawake
Yaa kiganja changu kina herufi M kama hiyo, sasa sijaelewa inahusika vipi na namna ya kujikwamua hapo ni ipi mzee
Kama hela hazikai ..zitafutie kiti kwenye mkeka zita lala mbele....Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi.
Mitungi jamani mitungi jamani mitungiiiiiiiiiiiii aaaaagh.
Nakukuta tu balance niliyobaku nayo inatia huruma hapo ndo akili zinarudi hela yote ila nimetumia hivyo?
Eti wazee ni nini hiki?
Tafuta mke OA, yasije ya kakuta kama ya garnerSijaoa na siyo ajira mpya ndomana nikasema hii ishu imenitokea sana kila ninapopata hela hali ni ile ile ila miaka kama kumi iliyopita hii hali hailiwepo. Nanilikuwa napiga mitungi na mikasi sana tu. Hii hali imeanza mwanzani mwa mwaka 2019 mpaka leo hii 2024 sielewi hapo ni nini kimetokea.
Kioo chenyewe kina matundu ....mtihani sheikhHapo ndio sijui sasa, anaweza kuangalia kwenye kioo akaona mgomba