Wazee nahisi kuna mtu amenicheza, nikipata hela hazikai

Wazee nahisi kuna mtu amenicheza, nikipata hela hazikai

Aisee nahisi hapa ndiyo Kuna shida


Ila unaweza ukatumia njia ya kuwaambia bank wawe wanakata hela asimilia Fulani then inayobaki ndo utumie kuendeshea MAISHA ya kila siku.

Mfano unapokea Million moja unaweza kuwaambia wakate laki 3 ambayo huwa Unaitumia kunywea pombe then ibaki laki Saba.

Naimani inawezekana.

Let mind rule and not body
Be happy but don't be hedonistic

Discipline is not a punishment but is the best way to avoid punishment.

Drink is OK but too much of anything is harmful. So keep self control
 
Ni hesabu tu mkuu,! Yan ukilitambua jibu tu (sio kujua) Ushatoboa
Unakuta mtu anafanya kazi mwezi mzima mshahara ukitoka tar 22 mpaka kufika tar 30 umeisha😂😂.Unakula mwenyew mshahara wako siku 7 na unaishi kawaida tu! Ushawahi kujiuliza kuanzi tar 1 unaishije mpaka tar 20 bila mshahara?
😂😂😂 Yani huyo ndiyo Mimi kabisa mzee. Umeenda mule mule aisee nafikiri unaielewa vilivyo hii situation.
 
Mkuu umeoa ?
Je we ni ajira mpya?

Tatizo hapo ni afya ya akili
Sijaoa na siyo ajira mpya ndomana nikasema hii ishu imenitokea sana kila ninapopata hela hali ni ile ile ila miaka kama kumi iliyopita hii hali hailiwepo. Nanilikuwa napiga mitungi na mikasi sana tu. Hii hali imeanza mwanzani mwa mwaka 2019 mpaka leo hii 2024 sielewi hapo ni nini kimetokea.
 
Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi.

Mitungi jamani mitungi jamani mitungiiiiiiiiiiiii aaaaagh.

Nakukuta tu balance niliyobaku nayo inatia huruma hapo ndo akili zinarudi hela yote ila nimetumia hivyo?

Eti wazee ni nini hiki?Yaani
Acha pombe mzee
 
Hii mitungi na mikasi ni kweli ila shida ninapotumia nakuwa kama sio mimi vile mpaka kiasi kibaki kidogo ndiyo akili unarudi kwamba hivi nimefanya nini sasa!!!!? Yani mzee acha tu.


Kama kiganja chako hakipo hivi basi mshahara wako ni ngumu kukaa achilia mbali pombe na wanawake
 

Attachments

  • IMG_20240428_211208_3_1714327965871.jpg
    IMG_20240428_211208_3_1714327965871.jpg
    514.4 KB · Views: 3
Pombe haimalizi hela, tabia ndo zinamaliza hela. Kama unakunywa bia 10 kwa siku ni 20,000 tu. Kwa mwezi ni laki 6. Ambayo ni hela ndogo tu. Sasa bia unaweza kuzisingizia. Ila kama una tabia ya kugawa offer hovyo hovyo then tabia ndo inakumalozia pesa.

Tabia zako lazima ziendane na kipato. Tatizo lenu mnajiona matajiri mwisho wa mwezi halafu utajiri wenu una last kwa week moja tu.

Kwanza unapata shs ngapi kwa mwezi. Inawezekana unapata hela mboga halafu una act kama mtu mwenye hela.

Anyways cha msingi fanya hivi.
Fungua account ya saving. Then amua kiwango cha kusave kila mwezi. Unapota mshahara kiasi ambacho umeamua kuweka kama saving kihamishe haraka kwenye account ya saving. Kinachobaki nunua mahitaji ya nyumbani na mambo mengine muhimu. Kinachobaki cha starehe kipigie hesabu ya mwezi uone ni kiasi gani unachoweza kutumia kwa siku. Kama ni 15,000 au 10,000 kwa siku basi jijengee utamaduni wa ku ji control usizidishe kiasi. Mimi disposable income yangu ni laki kwa siku.
So najitahidi nisidishe laki kila siku.
 
Yaa kiganja changu kina herufi M kama hiyo, sasa sijaelewa inahusika vipi na namna ya kujikwamua hapo ni ipi mzee


Inaonekana ume-violate law ya hiyo M maana watu wenye M , huwa wapo discipline in financial management.

Ukiona unatumia hela kwenye mitungi na mikasi then you feel guilty you need to keep in mind , that something is wrong.

Hivyo waweza kujiokoa kwa Ku-build tabia ya kuacha ,kupunguza na kubadilika.

Tumika kanuni inasema

PPT

People- acha Ku-hang out na walevi and bitches

Place- usiende club wala bar

Things- punguza kiwango cha pombe hadi ufike hatua ya kunywa bia moja na kuacha kabisa.


Kila kitu kipo sawa Ila ukihisi hatia ujue hiyo ni Sauti imekufata kukupa alert before being broke and dumper
 
Yani kabla ya mwisho wa mwezi nakuwa na mipango mingi sana tena ya maana mnoo. ila ukifika tu huo mwisho wa mwezi hela inavyopukutika sasa, hata sielewi.

Mitungi jamani mitungi jamani mitungiiiiiiiiiiiii aaaaagh.

Nakukuta tu balance niliyobaku nayo inatia huruma hapo ndo akili zinarudi hela yote ila nimetumia hivyo?

Eti wazee ni nini hiki?
Kama hela hazikai ..zitafutie kiti kwenye mkeka zita lala mbele....
 
Sijaoa na siyo ajira mpya ndomana nikasema hii ishu imenitokea sana kila ninapopata hela hali ni ile ile ila miaka kama kumi iliyopita hii hali hailiwepo. Nanilikuwa napiga mitungi na mikasi sana tu. Hii hali imeanza mwanzani mwa mwaka 2019 mpaka leo hii 2024 sielewi hapo ni nini kimetokea.
Tafuta mke OA, yasije ya kakuta kama ya garner
 
Back
Top Bottom