Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
- Thread starter
-
- #281
Astakafillah daaah hii laana nayoHii tabia ya kupeleka wake zenu wakakae kwenu ni hatari sana, kuna Mzee alikuwa anamkaza Mkwe wake pindi mwanae wa kiume na Mke wake wakiwa wametoka.
Kamchezo kalikomaa hadi mzee akawa hataki tena mkwewe aondoke pale nyumbani
Daaah mkuu una shida gani weweUsijali hawa hawa vijana waliobakiza
Nguvu za kusukumia mavi chooni, ngoja niwasubiri
Siwezi kubali matokeo wakati wanajua kabisa wanatuoneaWatakuchapia tu. Acha wazee wajimwae. Wewe hangaika na wake zao tu. Wasichana ni kwa ajili ya Wazee na mishangazi ni kwa ajili yenu. Kubali matokeo
Heshima ipi mnataka mkuuNyie Vijana Kuweni Na Heshima
Upo kwa list ya watu ambao wamefeli mtihani wa kujiheshimuHao wazee wanajua kuhonga,sikuja hapa duniani kuteseka.Niteseke duniani na mbinguni never
Mkuu ni maumivu ndani kwa ndaniAiseeee nimecheka! 😂
Hali ni mbaya mkuu...🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Aisee
Mkuu jiheshimuJidanganye
Hakuna binadamu wa kuweza kuishi kwa kupuuzia kila kitu mkuu never everMapenzi bhana ..... pumbafu kabisa.....
Njia pekee ya kuishi kwa amani ni kumpuuza mpenzi wako wewe sio ufutio urekebishe tabia zake
Fanya unacho kitaka enjoy Kisha endelea na mambo yako yake mwachie mwenyewe
InaumaPole sana aisee ila tafuta mtu mwingine pia usichoshe akili
Madamu ni vile ujui yanayoendelea aiseeee.
Wewe pia ni miongoni mwa watu ambao hawajiheshimu hata kidogoTena usipende mazoea nao watakufumua na wewe.
Njinjo bado unazidi kupunguza marks zako za heshima hapa jf mkuuWewe inakuuma nini? Oa uone kulivyo kwa moto. Kwani K ni zako? Kazi ya wazee ni kula dogodogo tu
Jiheshimu wewe....Achana na upuuzi huo. Au wewe ni shoga
Nipo mpaka leo mkuu...Huyu atajinyonga, asiachwe peke yake....heheee
Tena zinatumia mpaka zinakua uvalaUteseki wewe, unazitesa sehemu zako za siri.
#YNWA
Siwezi mkuu..Kijana unaweza kuonga iPhone 15, ?
Njinjo una nini lakiniAcha kuumizwa na kitu ambacho si chako. K ni yao na wao ndiyo wana haki ya kuigawa kwa kikongwe, au mtoto. Je, unawasaidia kuziosha? Acha wivu
Mmmmh mkuu kwa wakiume kula wamama hapana ni uwongoCha ajabu zaidi kuna wazee huku wanakula watoto wao wa kuzaa, wamama pia wanaliwa na watoto wao wa kiume, so painful.
Ahahahaha sio ngoma droo ila ni uonevu.Tatzo vijana wa hivyo wamehamia kwa mishangazi, mnategemea wazee wa ovyo wakale wapi, mishangazi inataka kufikishwa, mabinti wanataka matunzo💵💵
Ngoma draw