Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
- Thread starter
-
- #41
Nakemea haya mapepo nyemelezi...Kwa kweli inakera sana!
Lakini hata hivyo wakati mwingine ni tatizo lao!
Kwa mfano sasa hivi kuna wimbi kubwa la wasichana na masingles wanaojipeleka kwa Wazee wenye uwezo wakiwa na nia ya kuwachuna!
Ukiwauliza wanakwambia Wazee wanajua kulea! Mara ng'ombe hazeheki maini.
Wazee wakiwaambia uwezo kitandani ni mdogo,wanaambiwa huko niachie mimi nitajua cha kufanya! Hata kama imelala? wanaambiwa nitaisimamisha!
Shida ni fedha mkuu!
Kwa akili hizo za kijinga unaweza ukawa na connection gan!Vipi kijana maisha yamekupiga mpaka unatukana mtu usiyemjuwa mtandaoni?
Wenzako wenye akili timamu wanatuomba connection wewe unatukana mtu usiyemjuwa, really?
Hovyo kabisa kuna siku nchi itaingia kwa vita kali sanaWazee
Ana hasira za karibu msamehe kijana mwenzangu.Vipi kijana maisha yamekupiga mpaka unatukana mtu usiyemjuwa mtandaoni?
Wenzako wenye akili timamu wanatuomba connection wewe unatukana mtu usiyemjuwa, really?
Tutake radhi kijanaWazee wa jf mna shida gani..?
Naona Wazee wamekupiga kitu kizito.Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali.
Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu asiyekuwepo machoni na moyoni hayupo na kuona ni kuamini.
Yote haya lawama tunawapa wazee wa hovyo. Wazee hawa tunaishi nao humu humu mtaani. Tunachati nao na tuna kula nao.
Kuna umri ukifika jiheshimu.
View attachment 3009782
Na nyie muache kutembea na mishangazi ambayo ndiyo vipozeo vyetu mnajifanya mnajua kupeleka motoVijana tunajikaza kisabuni kutafuta chochote kitu
Wenyewe wanajua ku pita nao tuu..
Mwaka huu tutapigana
Tutatukanana aiseee
Wewe ndiye uulizwe, tatizo ni nini? Akila mke wako kula wake. Tangu ana umetuchosha na malalamiko yako ya kitotoWazee wa jf mna shida gani..?
Mkuu 99.99% wazee wa humu ni hovyo.Tutake radhi kijana
Umesaidiwa huko na mzee mmoja umeona wazee wote ni wa hovyo
Kwa hiyo kijana mwenzako akikupigia huna shida ila shida ni mzee akipiga? Sex ni maamuzi binafsi, yani mke anafurahia wewe ndio unaleta unaa. Ukikaa vibaya anakuacha kabisa na kuhamia kwa huyo mzee.Kijana kuwa makini na hawa wazee, wazee ni watu wa bad sana, hasa kwa sisi wapambanaji ambao wapenzi wetu wapo mbali.
Kizazi chetu hiki Love Distance ni ngumu sana na hazidimu sababu Mwanamke/Mwanaume anampenda mwanaume/Mwanamke anayemuona na sio kumpenda Mwanamke/Mwanaume anayemsikia sababu asiyekuwepo machoni na moyoni hayupo na kuona ni kuamini.
Yote haya lawama tunawapa wazee wa hovyo. Wazee hawa tunaishi nao humu humu mtaani. Tunachati nao na tuna kula nao.
Kuna umri ukifika jiheshimu.
View attachment 3009782
Huyu mpuuzi na Half american ni wivu unawasukuma tu. Mambo ya Chura kukataza akinamama wasichote maji wakati hawezi kuyanywa na kuyamaliza. Vijana acheni wivu wa kijingaNa nyie muache kutembea na mishangazi ambayo ndiyo vipozeo vyetu mnajifanya mnajua kupeleka moto
Vijana mtakufa mapema
Sasa hivi hawa ni kwenda nao mdogo mdogo tuta deal nao perpendicularKuna zee moja lilinipa stress nitalikomoa vipi baada ya kugundua linanyatia mzinga wangu. Mke wake alikuwa mkubwa sana kwangu niliona noma kulipiza kisasi hapo, ikabidi nizame kwa mabinti zake kuondoa stress ili ngoma iwe droo. Mabinti zake walikuwa saizi yangu
Sio kitu kizito ila hawajiheshimu mkuu.Naona Wazee wamekupiga kitu kizito.
Haya mambo mlianza nyie ndomana mimi na deal na nyie root.. nyie ndo source mkuuNa nyie muache kutembea na mishangazi ambayo ndiyo vipozeo vyetu mnajifanya mnajua kupeleka moto
Vijana mtakufa mapema
Mkuu 99.99% wazee wa humu ni hovyo.
Ni wachache watachomoka kwenye hili fagio la chuma.
Sitaki kuamini na wewe ni miongoni mwao najua wewe ni mtu na heshima zako
Nilijua kuna watu watakuja kutetea huu uzwazwa wa wazee.Wewe ndiye uulizwe, tatizo ni nini? Akila mke wako kula wake. Tangu ana umetuchosha na malalamiko yako ya kitoto
Kijana mwenzangu ata akifanya anafanya kimya kimya kwa ustarabu sio wazee mnafanya huku mnatunyanyasa WtfKwa hiyo kijana mwenzako akikupigia huna shida ila shida ni mzee akipiga? Sex ni maamuzi binafsi, yani mke anafurahia wewe ndio unaleta unaa. Ukikaa vibaya anakuacha kabisa na kuhamia kwa huyo mzee.