muhweza
JF-Expert Member
- Feb 22, 2022
- 986
- 1,394
Kama kuna wenye ndugu zao waliosafiri na bus la KIDINILO leo wapige simu waulizie huko au hao waliokuwa kwenye gari ndogo kama ni ndugu zao
[eView attachment 2737303![]()
Hao wa gari dogo walipona kweliMkuu hii ajali ina siku kama tatu hivi.