Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

Kama kuna wenye ndugu zao waliosafiri na bus la KIDINILO leo wapige simu waulizie huko au hao waliokuwa kwenye gari ndogo kama ni ndugu zao
emoji33.png
emoji33.png
[eView attachment 2737303

Mkuu hii ajali ina siku kama tatu hivi.
Hao wa gari dogo walipona kweli
 
wazee wa vibati mkishaua nozzle ya hayo ma 1hz mnitafute niwape mali za kukimbizia tena.
1hz nozzle PD32 denso/zexel
1hdt nozzle P77 bosch
1hdt fte nozzle 639 bosch/denso/zexel
14b. nozzle P59 bosch
nissan 6 nozzle 113 zexel

ROTOR ORIGINAL NA ZA KAWAIDA KWA GARI ZOTE muone kocha Nabi ili mkimbizane vizuri.
 
wazee wa vibati mkishaua nozzle ya hayo ma 1hz mnitafute niwape mali za kukimbizia tena.
1hz nozzle PD32 denso/zexel
1hdt nozzle P77 bosch
1hdt fte nozzle 639 bosch/denso/zexel
14b. nozzle P59 bosch
nissan 6 nozzle 113 zexel

ROTOR ORIGINAL NA ZA KAWAIDA KWA GARI ZOTE muone kocha Nabi ili mkimbizane vizuri.
Nissan ni nozzle za Td42 au na za Zd30 unazo
 
Kama kuna wenye ndugu zao waliosafiri na bus la KIDINILO leo wapige simu waulizie huko au hao waliokuwa kwenye gari ndogo kama ni ndugu zao[emoji33][emoji33][emoji33]View attachment 2737303
Nilichogundua barabarani ukiwa umekunywa ama umepatwa na kidhibiti cha ulevi basi wewe huna haki hata kama umetendewa wewe kosa, so tuepuke kubeba viushahidi kama chupa za pombe nk. tuwapo njiani.
 
Gari gani mkuu, any experience ulizo gundua? Nina trip ya Dar to Mwanza mwezi wa 10 au 11.
Baby walker Runex mkeka wa manyoni itigi mpaka nzega uko vizuri kuliko kupitia singida pia nzega shinyanga ile barabara walijenga kampun ya south walitulia sana ingawa niliendesha usiku kucha, niliingia mwanza saa saa 10 alfajiri issue ya mafuta niliweka full tank dodoma nikaja kuongezea tabora lita 22 ambazo nimetoboa mwanza nikiwa bado nina 3/4 ya mafuta kwenye gari
 
Back
Top Bottom