Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

Yaani inawezekana vp uisomee AK47 albadiri Ili ishindwe Kutoa risasi?
 
Ushirikina wake upo wapi?
 
Ishi kwa imani na amani na watu usifanye kuwakosea watu aisee utaumia mnooo. Japo wanaowanea watu wapo na hao huwa wanatujeruhi na kutuumiza lakini yale makusudio yao huwa hayatufiki kama wanavyotaka wao.
Umenena vyema sana mkuu.
 
Huu ndio ujinga wetu Africa, waarabu na dini yao wameshindwa kufanya kwa wazayuni wanauwawa kila siku kwa kupigania haki yao ,ndio nyie wamatumbi wakuletewa dini mfanyeπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Waarabu wanaouawa ni waislam kwa wakristo kwa wapagani.
Na lile ni jambo la kidiplomasia usivichanyane mkuu.
 
Hayo madude nishasomewa miaka kumi iliyo pita ili nife baada ya wiki ila naona nipo tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ulifanya kosa gani?
Maana albadir haendi kwa asiyekosa na pia kisomo hicho husomwa na wajuzi (mafundi) siyo hawa janja janja.
 
Niko tayari kuchangia pesa Taslimu ili kuwezesha Mchakato huo
 

Kwenye suala la duwa ukiondoa wazee wa Pemba basi wanafuata wazee wa Tanga
 
Siku wazee wenyewe wamekuwa maaluni hiyo Albadri na wasome tu ni ngonjera kama zilivyo ngonjera zingine'

wangeishinikiza serikali itoe majibu sahihi juu ya huo unyama aliofanyiwa marehemu'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…