Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

Watakan...kata...atamroga sio kumsomea Al badir

Wacha maneno, weka muziki....weka Aya ya Albadir hapa

ZINGATIO : Aya hiyo itoke ndani ya Quran
Huijui Quran nyamaza 😏😏😏
 
Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao.

Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk

Kwenye suala la duwa ukiondoa wazee wa Pemba basi wanafuata wazee wa Tanga

PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Ndo mana hili limkoa halina maendeleo, ujinga tu umewajaa, piga kura kuindoa CCM madarakani.
 
Dunia ya waarabu ilipiga dua la kuku kwa Bush na Blair lakini wapo wanadunda mpaka leo.
Asili ya albadir siyo Bara Arab, asili yake ni Latin, hata uchawi wa bara Arab ni Latin, Latin wana tactic za kuipanch hii kitu, tena siri yake ndogo sana! /ni maneno kama page moja yanasomwa kilatin na ubani.
 
Mkuu King Kong III umenikumbusha kisa hapo kwa Mke wa Mpemba. Mpemba alikuwa ni Mvuvi anaweza akaondoka hata mwezi nyumbani kwake ni maeneo ya Buguruni tu pale. Alikuwa na mke mkali sana yaani Demu pisi ya maana kuna Jamaa yangu alitumia njia anazozijua mpaka aka.tongoza yule Mwanamke akaingia kwenye line. Siku ya kula mzigo Jamaa tulikuwa naye bar fulani akampigia yule Mke wa Mpemba akaja pale Bar kwa bodaboda jamaa akalipia 2000 ya boda, akaniagizia chipsi kuku nusu nikanywa na bia mbili, Mwanamke akala chipsi mayai na redbul na kuna jamaa mwingine tulikuwa naye akanywa pepsi na ugali nyama choma na Mshikaji alikuwa amelipia room 35,000 kutokana na muonekano wa yule Mwanamke. Walipoondoka kwenda lodge jamaa kwa mujibu wake alipo mvua tu nguo na alipoliona apple stimu zote zilikata na mnara ukarudi 0 G tena. Jamaa alilaumu ametoboka hela kibao. Na mashine jamaa iligoma kusimama kama miezi mitatu tena kwa kuhangaika sana kwa waganga ndio ikaamka tena. Usicheze na mke wa mpemba
Wapemba wachawi sana
 
Hakuna cha kisomo wala nini ajitokeze nguli anisomee mimi nife hata leo .
Albadiri ni ushirikina unaotumika na baadhi ya wasomi, lakini upo na una nguvu.
Kuna shuhuda nyingi tu ambazo si lazima kuziweka hapa.
Kama una nia ya kufanyia mwili wako utafiti kupitia kisomo hicho nenda KwaMsisi, Malamba, Tanga mjini, Handeni au Pemba kafanye dhuluma kisha ujisifie kitaa.
Baada ya muda tuletee mrejesho
 
Watakan...kata...atamroga sio kumsomea Al badir

Wacha maneno, weka muziki....weka Aya ya Albadir hapa

ZINGATIO : Aya hiyo itoke ndani ya Quran
We jamaa mbona una mambo ya hovyo sana? Heshimu imani za watu kama una chuki na imani ya mtu usitake kuaandika humu. Usije ukatusababishia Ban bure na huko juu nimeshakwambia Al-badir haiko kwenye aya za Quran wewe bado unajifanya una akili kama za Mbuzi au Kuku. Heshimu imani za watu na vitabu vyao.
 
Acha kisebu sebu na kiroho papa....sijakutaka uweke aya wewe, pilipili ya shamba yakuwashia nini? Tuliza kiuno mama
 
Mkuu King Kong III umenikumbusha kisa hapo kwa Mke wa Mpemba. Mpemba alikuwa ni Mvuvi anaweza akaondoka hata mwezi nyumbani kwake ni maeneo ya Buguruni tu pale. Alikuwa na mke mkali sana yaani Demu pisi ya maana kuna Jamaa yangu alitumia njia anazozijua mpaka aka.tongoza yule Mwanamke akaingia kwenye line. Siku ya kula mzigo Jamaa tulikuwa naye bar fulani akampigia yule Mke wa Mpemba akaja pale Bar kwa bodaboda jamaa akalipia 2000 ya boda, akaniagizia chipsi kuku nusu nikanywa na bia mbili, Mwanamke akala chipsi mayai na redbul na kuna jamaa mwingine tulikuwa naye akanywa pepsi na ugali nyama choma na Mshikaji alikuwa amelipia room 35,000 kutokana na muonekano wa yule Mwanamke. Walipoondoka kwenda lodge jamaa kwa mujibu wake alipo mvua tu nguo na alipoliona apple stimu zote zilikata na mnara ukarudi 0 G tena. Jamaa alilaumu ametoboka hela kibao. Na mashine jamaa iligoma kusimama kama miezi mitatu tena kwa kuhangaika sana kwa waganga ndio ikaamka tena. Usicheze na mke wa mpemba

Pia Kuna tego la wazigua ni noma .
Linauzwa mil. 2.5 tu.

Linajaribiwa kwa kwa hata kumrusha mnyama . Anakauka Kau. !
Kama ilivyo teknolojia ya sayansi pia kuna teknolojia ya kutulia majini kufanya jambo la kuangamiza alimradi ulpate mtu sahihi na anayejua mbinu zake kiasili .
 
Kutoka Tanga inaripotiwa kuwa wazee wa Tanga wamepanga kusoma dua ya kushitakia almaarufu kama albadil kwa walioshiriki kumuua mzee mwenzao Alli Mohamed Kibao.

Watakaosomewa duwa hiyo ni wale waliopanga njama za maauaji,walioshiriki kumteka,waliomuua,waliofahamu mpango mzima wa mauaji hayo,nk

Kwenye suala la duwa ukiondoa wazee wa Pemba basi wanafuata wazee wa Tanga

PIA SOMA
- TANZIA - Dar: Ally Mohamed Kibao, kiongozi wa chadema auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Wamuombe na mzee Magoma akoleze na Kurujuan.
 
Hebu tufahamisheni huyu marehemu alikuwa anafanya kazi gani binafsi.?
 
Mimi na wanangu wa kitaa tunafanya yetu kama mnavyoona ila ianzie kwa Peter Msigwa huyu tunamgeuza awe choko anayejiuza
 
Attachments

  • FB_IMG_1700284780873.jpg
    FB_IMG_1700284780873.jpg
    42.5 KB · Views: 3
Back
Top Bottom