DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Funguka mkuu,muhudumu leta Kama tulivyo,story IENDELEE
 
Nawasalimu Wakuu,

Nchi inaenda pabaya Wakuu, TISS msaidieni mama..,. Hivi inakuwaje Waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu?, huyu Waziri wa Fedha hizi pesa za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata wapi?. Kazi kwenu!.
Habari za nusunusu. Au ni mimi tu ndiyo sina background information? Kichwa cha habari kinanijuza kwamba kampuni ya Ester ni ya binafsi. Sasa waziri anaingiaje hapo kutoa kibali? Kwani kampuni za binafsi zina mgawo wa idadi ya mabasi wanayoweza kununua?
 
Waziri wa Fedha hizi pesa za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata wapi?.
Mwigulu Nchemba ana pesa za kununua Yu Tong 60 hapana bwana, Yaani huyu huyu home boy wetu wa Singida singidani leo ameanza kutugeuka - hapana bwana mnamsingizia.
 
Hakuna anayekataa yeye kuwa tajiri, bali aweke wazi asili ya utajiri wake, sio anapokuwa waziri timu ya kwao inang'aa, ila akipoteza uwaziri timu inayumba.
Acheni wivu ni wkt wa singida Sasa nao kishine maana walisahaulika.

Go mwigulu go, watani wangu oyeeee
 
The thing is, huwezi kuwa jaji halafu ukasimamia case ambayo mke wako ni sehemu ya parties, hata uwe fair vp outcome ya maamuzi haiwezi kuchukuliwa vizuri kwa sababu ya conflict of interest, simple as that.
Usilete mamifano irrelevant ,seems huelewi hata utendaji Kazi wa kampuni na mtu binafsi,on top of that Kuna sheria ya maadili wanatamka na kuweka bayana interest zao za mali nk..

Hatuhitaji maskini kwenye uongozi na by the way watu wanapata salary,posho and other stinge benefits za kazi gani ? Utakula zote? Zingine una invest na maisha yanaendelea..

Maskini huwa mna uwezo duni Sana wa kufikilia.
 
Nyie ndo watanzania wachache ambao mnafanya watanzania wote wanaonekana mafala kabisa.
 
Wakati huohuo👇😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…