Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Ni kama kipindi cha JPM tuliambiwa kila kampuni ya ujenzi ni yakeKwahiyo Esta siyo mabasi ya Mwigulu kama tunavyoaminishwa?
Maana kipindi cha JK kila jengo tuliambiwa ni la Ridhiwani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama kipindi cha JPM tuliambiwa kila kampuni ya ujenzi ni yakeKwahiyo Esta siyo mabasi ya Mwigulu kama tunavyoaminishwa?
Maana kipindi cha JK kila jengo tuliambiwa ni la Ridhiwani.
Funguka mkuu,muhudumu leta Kama tulivyo,story IENDELEEKuna mchaga wa rombo anaishi mabibo karibu na chuo cha NIT alioa sehemu hela iko akapewa 2 kama kianzio cha maisha yeye na mkewe sasa kadei siku zinaenda za ndio yanazidi kuongezeka(huyo esta ni jina la mwanae wa kike ambaye alikufa kifo cha kutatanisha na alipoenda kuzikaa baba yake hakuhudhuria alipiga chenga fulani ndugu wakaamua kuzika wenyewe)kilichofuata !!!!!naomba niishie hapo vya watu havisemwi
Ngoja nilinde kiapo changu
Habari za nusunusu. Au ni mimi tu ndiyo sina background information? Kichwa cha habari kinanijuza kwamba kampuni ya Ester ni ya binafsi. Sasa waziri anaingiaje hapo kutoa kibali? Kwani kampuni za binafsi zina mgawo wa idadi ya mabasi wanayoweza kununua?Nawasalimu Wakuu,
Nchi inaenda pabaya Wakuu, TISS msaidieni mama..,. Hivi inakuwaje Waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu?, huyu Waziri wa Fedha hizi pesa za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata wapi?. Kazi kwenu!.
Mwigulu Nchemba ana pesa za kununua Yu Tong 60 hapana bwana, Yaani huyu huyu home boy wetu wa Singida singidani leo ameanza kutugeuka - hapana bwana mnamsingizia.Waziri wa Fedha hizi pesa za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata wapi?.
Awekeze kwenye kilimo ali atoe ajira kwa vijana, hatutakuwa na shida na yeye. haya mabasi yanatuletea foleni tu sababu soon tutakuwa na SGR mwendo kazi - Dar MzaMuache waziri awekeze ajira huisha
Akili kama hizi sijui mlizaliwa ili mfanye nini Duniani.Kwa hiyo umenuna mtu kujinunulia magari?Hebu acha akili za kimasikini mkuu!Au haupendi tukalione ziwa Singidani?[emoji23][emoji23][emoji23]
Empty tank.Kwa hiyo umenuna mtu kujinunulia magari?Hebu acha akili za kimasikini mkuu!Au haupendi tukalione ziwa Singidani?😂😂😂
Na ww unaleta utani hapa mabasi 60, kmmk!Kwa hiyo umenuna mtu kujinunulia magari?Hebu acha akili za kimasikini mkuu!Au haupendi tukalione ziwa Singidani?[emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni wivu ni wkt wa singida Sasa nao kishine maana walisahaulika.Hakuna anayekataa yeye kuwa tajiri, bali aweke wazi asili ya utajiri wake, sio anapokuwa waziri timu ya kwao inang'aa, ila akipoteza uwaziri timu inayumba.
Usilete mamifano irrelevant ,seems huelewi hata utendaji Kazi wa kampuni na mtu binafsi,on top of that Kuna sheria ya maadili wanatamka na kuweka bayana interest zao za mali nk..The thing is, huwezi kuwa jaji halafu ukasimamia case ambayo mke wako ni sehemu ya parties, hata uwe fair vp outcome ya maamuzi haiwezi kuchukuliwa vizuri kwa sababu ya conflict of interest, simple as that.
Nyie ndo watanzania wachache ambao mnafanya watanzania wote wanaonekana mafala kabisa.Usilete mamifano irrelevant ,seems huelewi hata utendaji Kazi wa kampuni na mtu binafsi,on top of that Kuna sheria ya maadili wanatamka na kuweka bayana interest zao za mali nk..
Hatuhitaji maskini kwenye uongozi na by the way watu wanapata salary,posho and other stinge benefits za kazi gani ? Utakula zote? Zingine una invest na maisha yanaendelea..
Maskini huwa mna uwezo duni Sana wa kufikilia.
Leta hoja acha porojo za kijinga.. Maskini na maendeleo wapi na wapi?Nyie ndo watanzania wachache ambao mnafanya watanzania wote wanaonekana mafala kabisa.
Wakati unauliza maswali usisahau kwamba Huna akili mkuuLeta hoja acha porojo za kijinga.. Maskini na maendeleo wapi na wapi?
Ni sawa kabisa wewe mwenye akili utaendelea kulalama kama nguruwe mwenye njaa hadi unakufa.Wakati unauliza maswali usisahau kwamba Huna akili mkuu