Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2025 Tayari Urais au ??!!Ushaambiwa Singida Big Star
Maana yake SINGIDA NYOTA KUBWA
Sasa nyota ili uione kuwa ni kubwa lazima iwake afu ing'ae, This means nyota ya Singida imeng'aaa mpaka mje muamke 2025 tayari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leta hoja acha porojo za kijinga.. Maskini na maendeleo wapi na wapi?
Una uhakika gani kuwa nyingine hajaficha njeAfadhali kafanya hivyo kuliko angeenda kuficha hayo mabilioni yake Uswizi. Tutasafiri vizuri. Vijana wetu watapata ajira na atatoa mchango katika uchumi wetu
Kampuni ni yake hiyo. Ester ni jina la mkewe. Kwa hii mbona ipo wazi na watu wengi wanajua.Hiyo kampuni mmiliki halisi ni Nañi? Na kama ni Mwigulu Nchemba ameikabidhi Kwa board of trustee waiendeshe na yeye kukaa pembeni?
Pili bill of loading ni dollar ngapi na calculation ya ushuru ni shilling ngapi? Lete details.
Hili tutalifanyia kazi katika katiba mpya. Yaani kazi ya uongozi itakuwa inaogopwa kuliko kazi yoyote.Miaka ya 199x wakati wa Scandinavia Express kuna waheshimiwa kama waziri mkuu akiwa Sumaye alitumbukiza Scania zake pale kwa mwarabu na hata wengine pia walizipachika pale.
Tatizo ni kuwa kutokana na matumizi mabaya ya uongozi kuna vitu vingi serikali inakosa kama kodi stahiki nk.
Ndiyo maana Mwalimu alipinga kiongozi kuwa mfanyabiashara sababu kuna kutumia vibaya madaraka yako kwa mustakabali wa uchumi wa nchi.
Raha ya tajiri ni kuwa tajiri zaidi na zaidi hadi kumpita Elon musk..Ukiwa tajiri unahitaji maendeleao gani tena? Utajiri sio wingi wa mali na pesa ulinzi nazo bali akili iliyo nayo ya kuvipata kihalali
Una uhakika gani kuwa nyingine hajaficha nje
Sikushangai hata kidogo kwani wewe ni mmoja wa mamilioni ya vijana wasiojitambua na chawa wasiojua kuwa nchi hii ni Yao kwani wao ndio watakaoishi kesho!Kama ni mgawo kutoka kwa Baba yake je?
Mbona unahukumu bila ya kupata ushahidi? Katafute ushahidi kwanza acha kutishika na chaos ambazo ni siyo real Bali ni kitisho TU Cha kukufanya usiwajibike ipasavyo! Au basi waachie wengine wautafute ukweli.Huyu sio WB Ni mmbeya. Kama kila mtu akileta habari ya kuchafua watu JF bila evidence itakuwa Chaos.
Mnyampaa akifilisiwa utaenda kwenu na Bus zisizo za wazawa shaulakoAfilisiwe haraka iwezekanavyo. Mhujumu uchumi
Zile Phd mwendazake style. za fasta fasta, dola 2000 na wewe unayo!Hupaswi kuwa na mashaka nae, ni daktari wa uchumi[emoji276][emoji276]
Mwigulu Nchemba ni Mnyiramba pumbavu wewe, hakuna wanyaturu wajinga.Mmiliki wa Easter yuko Rombo ametulia anapiga vikombe vya kahawa, waswahili wavivu na wenye wivu wanahangaika na Mnyaturu.