DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ushaambiwa Singida Big Star

Maana yake SINGIDA NYOTA KUBWA

Sasa nyota ili uione kuwa ni kubwa lazima iwake afu ing'ae, This means nyota ya Singida imeng'aaa mpaka mje muamke 2025 tayari [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
2025 Tayari Urais au ??!!
 
Ukiwa tajiri unahitaji maendeleao gani tena? Utajiri sio wingi wa mali na pesa ulinzi nazo bali akili iliyo nayo ya kuvipata kihalali
Leta hoja acha porojo za kijinga.. Maskini na maendeleo wapi na wapi?

Afadhali kafanya hivyo kuliko angeenda kuficha hayo mabilioni yake Uswizi. Tutasafiri vizuri. Vijana wetu watapata ajira na atatoa mchango katika uchumi wetu
Una uhakika gani kuwa nyingine hajaficha nje
 
Hiyo kampuni mmiliki halisi ni Nañi? Na kama ni Mwigulu Nchemba ameikabidhi Kwa board of trustee waiendeshe na yeye kukaa pembeni?

Pili bill of loading ni dollar ngapi na calculation ya ushuru ni shilling ngapi? Lete details.
Kampuni ni yake hiyo. Ester ni jina la mkewe. Kwa hii mbona ipo wazi na watu wengi wanajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka ya 199x wakati wa Scandinavia Express kuna waheshimiwa kama waziri mkuu akiwa Sumaye alitumbukiza Scania zake pale kwa mwarabu na hata wengine pia walizipachika pale.

Tatizo ni kuwa kutokana na matumizi mabaya ya uongozi kuna vitu vingi serikali inakosa kama kodi stahiki nk.

Ndiyo maana Mwalimu alipinga kiongozi kuwa mfanyabiashara sababu kuna kutumia vibaya madaraka yako kwa mustakabali wa uchumi wa nchi.
Hili tutalifanyia kazi katika katiba mpya. Yaani kazi ya uongozi itakuwa inaogopwa kuliko kazi yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Mwigulu ana tamaa sana. Imagine hata jimboni ameshatafuta mrithi wake wa mwaka 2030 yeye amewekeza kwenye urais. Sitashangaa kusikia kitu hiki kwa mtu aliyeamua kuchora mawe ili tu awe Rais.

Nitafuatilia hili ili nilete details.
 
Ukiwa tajiri unahitaji maendeleao gani tena? Utajiri sio wingi wa mali na pesa ulinzi nazo bali akili iliyo nayo ya kuvipata kihalali



Una uhakika gani kuwa nyingine hajaficha nje
Raha ya tajiri ni kuwa tajiri zaidi na zaidi hadi kumpita Elon musk..

Wewe una uhakika gani kwamba zingine kaficha nje?.

Kiongozi yupi wa ccm ambae hana pesa Nje ya Nchi?
 
Kama ni mgawo kutoka kwa Baba yake je?
Sikushangai hata kidogo kwani wewe ni mmoja wa mamilioni ya vijana wasiojitambua na chawa wasiojua kuwa nchi hii ni Yao kwani wao ndio watakaoishi kesho!
Mmebaki kukodoa macho badala ya kuipihania kesho yenu!
 
Huyu sio WB Ni mmbeya. Kama kila mtu akileta habari ya kuchafua watu JF bila evidence itakuwa Chaos.
Mbona unahukumu bila ya kupata ushahidi? Katafute ushahidi kwanza acha kutishika na chaos ambazo ni siyo real Bali ni kitisho TU Cha kukufanya usiwajibike ipasavyo! Au basi waachie wengine wautafute ukweli.
 
Nchi shamba la bibi hii, wanajimegea tu maana hakuna anaehofiwa wala kuogopwa, tozo tozo tozo tozo kila kitu bado tu tozo za kusimama sehemu bila sababu.
Mwanamke lake jiko sio madaraka.
 
Back
Top Bottom