The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Sawa kwani kuna shida? Kila mtu anakula kulingana na urefu wa kamba yake..Wewe na hizo bodaboda zako 4 hapo Nkuhungu ni sawa tu na Shabiby
Unacholazimisha hutokaa ukioate.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kwani kuna shida? Kila mtu anakula kulingana na urefu wa kamba yake..Wewe na hizo bodaboda zako 4 hapo Nkuhungu ni sawa tu na Shabiby
Msalimie Kamanda asiyechokaSawa kwani kuna shida? Kila mtu anakula kulingana na urefu wa kamba yake..
Unacholazimisha hutokaa ukioate.
Kwamba waziri wa fedha anaweza kugaiwa hata billion 1OO sababu yeye ni Waziri for a personal LoanKwa waziri wa fedha hata kwa mkobo anapata.ameamua kushindana na shabibi.inaonekana mabasi yanalipa sana hasa ukiwa kama mwigulu kwani kodi hulipi
Bado ushuru na takataka nyingine hapo, tozo zetu zinamtajilisha mvaa benderaKwa waziri wa fedha hata kwa mkobo anapata.ameamua kushindana na shabibi.inaonekana mabasi yanalipa sana hasa ukiwa kama mwigulu kwani kodi hulipi
Yes mama alitamka hivyo, naona mwinguuluu kamwingiza king kupitia tozo ili ajitajirishe mwenyeweSawa kwani kuna shida? Kila mtu anakula kulingana na urefu wa kamba yake..
Unacholazimisha hutokaa ukioate.
King kivipi ? Tozo zitaendelea kuwepo miaka yote..Yes mama alitamka hivyo, naona mwinguuluu kamwingiza king kupitia tozo ili ajitajirishe mwenyewe
Hata kama kweli ameagiza acha mawazo ya kimaskini bro kwaiyo mtu asifanye maendeleo binafsi kwaiyo mshahara wake unaenda wapiNawasalimu Wakuu,
Nchi inaenda pabaya wakuu, TISS msaidieni mama. Hivi inakuwaje waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu?
Huyu Waziri Fedha hizi za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata wapi?
Kazi kwenu!
========
Thread 'Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaj' Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaj
ATI nawe ni mzee wa boma! Pathetic!ACHA UPUUZI HAPA, KAMA SHIDA ZAKO PELEKA KWA WAZEE WAKO.
Asante sana na nimekuelewa vizuri sana na sikupenda unikere ndio maana nikaongea na wewe kwa heshima zote maana unaonekana upo educated sana kuliko mtu yoyote yule hongera sana kwa kila kitu na endelea na hiyo tabia....Vema.Usirudie ujinga.Nitakukera.
Lakini inawezekana pia kukawa na mchango wa wanaochangia humu wanaoona michango ikidorola kusaidia kurekebisha hali hiyo.Nakubliana na wewe 1000%
Sasa ni jukumu la mwenye jukwaa Maxence Melo kutafakari maboresho gani yafanyike kulingana na ukweli kwamba JF inazidi kupoteza ushawishi
Kuna wajumbe humu wanafikiri humu ni kama FB au Twitter hasa walew wanaolipiwa bundle za kufanyia propaganda!
Mada yako imeanza vibaya, naona huelewi nchi inakokwenda na hujui dunia ilipokwishapitia miaka hii!Nawasalimu Wakuu,
Nchi inaenda pabaya wakuu, TISS msaidieni mama. Hivi inakuwaje waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu?
Huyu Waziri Fedha hizi za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata wapi?
Kazi kwenu!
========
Thread 'Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaj' Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaj
Kibaka anashauri mama akope yeye anapiga mapato ya tozoMuache waziri awekeze ajira huisha
Kizazi kisicho fikiri hata kidogo ,Kila ukisikia umbea mtandaoni unatuletea hapa .Panone na lake oil ya Riz one ,Esther ya mwigulu,Richmond ya lowasa.Huo ni utoto watu wapitia ugumu kuanzisha biashara nyinyi mnawamilikisha wanasiasa watu wa hovyo sana.Nawasalimu Wakuu,
Nchi inaenda pabaya wakuu, TISS msaidieni mama. Hivi inakuwaje waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu?
Huyu Waziri Fedha hizi za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata wapi?
Kazi kwenu!
========
Thread 'Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaj' Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaj
U said it al mkuu. Yaan naamini ni mlevi mmoja tu ameamua kututoa nke ya rada. Hii habari nineikataa kabisaNaona watu wanajitahidi kuwaondoa watu kwenye mstari issue kubwa hapa ni TOzo za Bank haya mengine ni maneno tu yanaweza yasiwe ya kweli ni tricks za kisiasa tu. Issue ni tozo za bank hazifai kwisha. wazifute wananchi tunabebeshwa mizigo isiyo ya lazima. Punguzeni miradi isiyo na tija . Tanzania hatuna nguvu ya kuendesha miradi yoote tuliyoianzisha acheni mingine au ahirisheni mpaka baadae. Hata Rome haikujengwa kwa siku moja ni miaka mingi, na maisha yaliendelea. Sio hizi tozo.
Mke 2a Madelu anaitwa nani?
100% Ester ni jina la mke wake Mwigulu Nchemba