DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ila wabongo kwa malalamiko....mzee mwenye hayo mabus kaanza biashara nadhani Mwigulu alikua shule bado tena alianzia na malori na ndo biashara yake kubwa ndo mabus yakafata...na ni ndugu yake na mmiliki wa mabus ya Ngasere...
 
Nchi hii ukiweza kukopa, ukakopeshwa basi ushatoka.
Hata mimi natafuta namna ya kukopa ninunie ndege ndogo ya abiria. Nikipata mkopo nikasimamia marejesho hspo nishakuea mmiliki wa ndege. Sass kasheshe nani atanikopesha!! Ila nikiwa waziri, nitakopeshwa tu. Ipo hivo
 
Nawashangaa wanavyosema ni ya bwana tozo. Simpendi bwana tozo ila esther ni mali ya didas ngeleuya. Mayutong ukinunua 5 unakopa 5. Uko sahihi kbs jina la ether ni la bintiye... maybe wanaunga dots kisa lilianzia route ya singida. Kule jamaa aliona fursa ndo maana alianzia kule.

Huyo jamaa namfaham sana yaani kaibuka kama utani sisi wenyewe tulikuaga nae kijiweni kwa sasa tunamwogopa
 
Nawashangaa wanavyosema ni ya bwana tozo. Simpendi bwana tozo ila esther ni mali ya didas ngeleuya. Mayutong ukinunua 5 unakopa 5. Uko sahihi kbs jina la ether ni la bintiye... maybe wanaunga dots kisa lilianzia route ya singida. Kule jamaa aliona fursa ndo maana alianzia kule.
Wote hamjuwi kitu chochote kuna group la Whatsapp wameanika ukweli wote mpka risiti za majina na kila kitu nyie bishaneni tuu huku
 
Nawasalimu Wakuu,

Nchi inaenda pabaya Wakuu, TISS msaidieni mama..,. Hivi inakuwaje Waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu?

Huyu Waziri Fedha hizi za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata wapi?

Kazi kwenu!.
Halafu kesho utaandoka vijana hawana ajira. Ajira ndio hizo, magari 60 piga hesabu ya ajira za moja kwa moja na ajira zisizo za moja kwa moja. Wenzio wanabuni miradi, wanatafuta wabia, wanakopa benki, we utakalia unauliza wanapata wapi hela?
 
Niliwahi kusema kuwa Mama SSH anania nzuri sana na Nchi hii na tatizo amezungukwa na mafisi wabaya sana!
Na hili ni bado yako mengi yanakuja kuhusu hawa waandamizi wa Mama yetu.
 
Acheni kumshambulia whistleblower! Yeye kapuliza kipenga TU ni juu yenu kuingia field mtuletee hayo maushahidi hapa. Acheni uvivu wa kuusaka ukweli!
Ungekaa kimya kuliko kuandika, achana na watu wa data wewe!
Wewe nenda jikoni kasonge ugali wanaume waje kula wakishaanika mambo!
 
Wakati wa Magufuli kulikuwa na huu upuuzo hata kidogo??Acha uboya wewe....
Hutonielewa.Ukiimbaimba tujinyimbo JF bila ushahidi hautotofautiana na ngedere mwitu.Mshitaki na ulete ushahidi kwa mujibu wa sheria.Hauna uthibitisho,bana mkia wako kiunoni.Natania.Lete ushahidi afungwe na kulipa mkuu😂😂😂😂
 
NB:Boya huokoa anayetapatapa kufa kihoro majini.
 
Hutonielewa.Ukiimbaimba tujinyimbo JF bila ushahidi hautotofautiana na ngedere mwitu.Mshitaki na ulete ushahidi kwa mujibu wa sheria.Hauna uthibitisho,bana mkia wako kiunoni.Natania.Lete ushahidi afungwe na kulipa mkuu😂😂😂😂
Siku zote wanasema usishindane na mwanamke kwa kuongea la sivyo lazima atakuzidi tu taka usitake....Nimekuachia wewe ambaye unajuwa zaidi....Tupo humu jamii forum zaidi ya 16 years so mtu anaesema ukweli tunamjuwa na anaeongea pumba kutafuta kiki tunamjuwa so wacha nikuachie wewe mjuaji zaidi zaidi.....
 
Back
Top Bottom