DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwahiyo Esta siyo mabasi ya Mwigulu kama tunavyoaminishwa?

Maana kipindi cha JK kila jengo tuliambiwa ni la Ridhiwani.
 
Na ndio ukweli wenyeweee...

Huwa zikiletwa hizi story za madelu na haya mabasi huwa nashangaa sana.

Huyo bibie mwenye hizo chuma yuko vizuri haswaa.. Japo story za mapaka paka huwa zinahusishwa kimtindo.
 
Nawasalimu Wakuu,

Nchi inaenda pabaya Wakuu, TISS msaidieni mama..,. Hivi inakuwaje Waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu?, huyu Waziri wa Fedha hizi pesa za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata wapi?. Kazi kwenu!.
Jamani, si ni mshahara wake, mbona wivu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…