Mkuu
KaziIendelee, hakuna kitu kibaya kama umasikini wa fikra na umasikini wa roho, kuwa na fikra za kimasikini na kuwa na roho ya kimasikini!.
Baada ya kuzikwa kwa Azimio la Arusha lenye miiko ya uongozi, na kubadilishwa na Azimio la Zanzibar, hakuna ubaya wowote kwa kiongozi yoyote kumiliki mali na kufanya biashara yoyote ali mradi biashara hiyo isiwe na conflict of interest na uongozi wake.
Hivyo rais, VP, PM na waziri yoyote au kiongozi yoyote yuko huru kufanya biashara yoyote as direct bussiness kwa ku declare kwenye fomu ya tamko la mali zake au kufanya biashara by proxy as a silent partner kwenye biashara yoyote bila kuvunja sheria yoyote.
Na kwenye kufanya biashara huko, biashara hiyo ina uhuru wa kukopa ma B na ma B na ma B na kuagiza mali zozote hata mabasi 100, ndege, meli au biashara yoyote.
Natoa wito tusiwe masikini wa roho wenye roho za kimasikini na fikra za kimasikini, kama umeridhika na umasikini wako, ni wewe, lakini kama unapenda utajiri, pambana na hali yako, kwa kuwa na fikra za kitajiri, have brilliant business idea, mabenki yapo yanatoa mikopo ya ma B, ukishindwa kabisa kufanya biashara, then get rich any how, or die trying!.
Tusiwaonee wivu wenye nacho!.
P