Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Muache alete ma yutongi yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAKAZIANaomba ikiwapendeza mod wapandishe hii hapo juu
HAKUNA KUTUHUMU WATU BR. Wizi sahivi umekithiri sanaTuanzie na umiliki wa kampuni ya Ester kwanza isije kuwa tunatuhumu watu bure hum ndani
Sio kweliBasi za ester hazizidi Hata 3 Leo aagize 60??
Hehehehe! Sio wa Unyankhae na KinampandaAmerithi kwa wajomba zake wa Unyankindi na Kititimo.Mumuache alete mahela mjini.Zubaa uzikwe.😂😂😂😂
Well Noted Mkuu......Hakuna mtu atakayeshangaa Abood au Shabiby kuagiza mabasi, ni matajili kabla ya kuwa wabunge, huyu Mwigulu Nchemba Kwa miaka 10 tu kapata wapi huo utajili?
Bila shaka unataniaKwa hiyo umenuna mtu kujinunulia magari?Hebu acha akili za kimasikini mkuu!Au haupendi tukalione ziwa Singidani?😂😂😂
Majibu haya hayatoshi kwa Mwandishi wa Mada hiiMkuu KaziIendelee, hakuna kitu kibaya kama umasikini wa fikra na umasikini wa roho, kuwa na fikra za kimasikini na kuwa na roho ya kimasikini!.
Baada ya kuzikwa kwa Azimio la Arusha lenye miiko ya uongozi, na kubadilishwa na Azimio la Zanzibar, hakuna ubaya wowote kwa kiongozi yoyote kumiliki mali na kufanya biashara yoyote ali mradi biashara hiyo isiwe na conflict of interest na uongozi wake.
Hivyo rais, VP, PM na waziri yoyote au kiongozi yoyote yuko huru kufanya biashara yoyote as direct bussiness kwa ku declare kwenye fomu ya tamko la mali zake au kufanya biashara by proxy as a silent partner kwenye biashara yoyote bila kuvunja sheria yoyote.
Na kwenye kufanya biashara huko, biashara hiyo ina uhuru wa kukopa ma B na ma B na ma B na kuagiza mali zozote hata mabasi 100, ndege, meli au biashara yoyote.
Natoa wito tusiwe masikini wa roho wenye roho za kimasikini na fikra za kimasikini, kama umeridhika na umasikini wako, ni wewe, lakini kama unapenda utajiri, pambana na hali yako, kwa kuwa na fikra za kitajiri, have brilliant business idea, mabenki yapo yanatoa mikopo ya ma B, ukishindwa kabisa kufanya biashara, then get rich any how, or die trying!.
Tusiwaonee wivu wenye nacho!.
P
Hata mimi hupenda kujua ukweli kwenye hii story mnyonge mnyongeni.Kwahiyo hapa tujadili umbea tu bila fact na evidence?
Nyerere kafikaje hapa we mbwiga💩💩💩Haya ni matunda ya mfumo mbovu wa Ujamaa aliouleta Nyerere.
Mkuu KaziIendelee, hakuna kitu kibaya kama umasikini wa fikra na umasikini wa roho, kuwa na fikra za kimasikini na kuwa na roho ya kimasikini!.
Baada ya kuzikwa kwa Azimio la Arusha lenye miiko ya uongozi, na kubadilishwa na Azimio la Zanzibar, hakuna ubaya wowote kwa kiongozi yoyote kumiliki mali na kufanya biashara yoyote ali mradi biashara hiyo isiwe na conflict of interest na uongozi wake.
Hivyo rais, VP, PM na waziri yoyote au kiongozi yoyote yuko huru kufanya biashara yoyote as direct bussiness kwa ku declare kwenye fomu ya tamko la mali zake au kufanya biashara by proxy as a silent partner kwenye biashara yoyote bila kuvunja sheria yoyote.
Na kwenye kufanya biashara huko, biashara hiyo ina uhuru wa kukopa ma B na ma B na ma B na kuagiza mali zozote hata mabasi 100, ndege, meli au biashara yoyote.
Natoa wito tusiwe masikini wa roho wenye roho za kimasikini na fikra za kimasikini, kama umeridhika na umasikini wako, ni wewe, lakini kama unapenda utajiri, pambana na hali yako, kwa kuwa na fikra za kitajiri, have brilliant business idea, mabenki yapo yanatoa mikopo ya ma B, ukishindwa kabisa kufanya biashara, then get rich any how, or die trying!.
Tusiwaonee wivu wenye nacho!.
P
Nyerere kafikaje hapa we mbwiga💩💩💩