DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Duuh!
Huyu huyu Nchemba anayesema wasiotaka tozo wahamie Burundi huko?!
 
Boss wao kawaambia wale urefu wa kamba yao.

Ila akumbuke ya Basil Pembambili Mfamba, Daniel Yona kilichowapata baada ya kuwa nje ya system.
 
Majibu haya hayatoshi kwa Mwandishi wa Mada hii

Yeye si Maskini wa roho na pia hana fikra za kimaskini kwa sababu tu ameandika kuhusu Kiongozi wa aina hii kwenye nchi inayopitia wakati Mgumu kupiga hatua kwenye Maendeleo ya watu wake

Hii Capitalist World ina Madaraja, sio tu leo Mtoto wa familia Maskini atokee tu aanze kujenga ghorofa wakati wanafamilia wote wapo kwenye nyumba za nyasi huku wengine wakitaabika na njaa kila mwaka pamoja na Mavuno duni katika shamba la familia (Anawajibika kuwa Chachu ya Maendeleo ya wengine japo wanaweza wasimfikie wakati akiwa yeye anakua)

Jambo lake huyu lina Msingi maana Maendeleo yaliyotajwa ya Mwenzetu ni Makubwa mno naye akiwa ndiye Mwanga wetu Taifa zima tunaoona Mambo bado Magumu

Inafikirisha kuona licha ya kuwa umesema Azimio lenye miiko ya Uongozi lilikoma lakini haujaweza kuona haifai kumsakama Mwenzetu huyu kuwa ni Maskini wa Roho kwa kuwa Jambo hili kwa Mazingira ya sasa halina sura nzuri

Tunataka basi angalau Maendeleo ya aina hii yawepo kwa wingi pia kwa Raia wa kawaida wasio watu wazito katika serikali yetu
Watu wa aina yako ndio mlikua mkishangilia madaraja na barabara kuona yanajengwa mkijua ndio maendeleo,
Maendeleo sio barabara na masoko peke yake kuna mengi zaidi
 
Hebu niambie sehemu ya kwenda kuuliza, na hizo taratibu.
Nakumbuka yule chawa wa Zitto Kabwe ni somebody Nondo kama sikosei alikwenda tume ya maadili kufuatilia mkubwa Fulani akakuta amedanganya Mali alizojaza kwenye fomu, lakini alipigwa danadana mpaka naona akakubali yaishe.
 
Hiyo kampuni mmiliki halisi ni Nañi? Na kama ni Mwigulu Nchemba ameikabidhi Kwa board of trustee waiendeshe na yeye kukaa pembeni?

Pili bill of loading ni dollar ngapi na calculation ya ushuru ni shilling ngapi? Lete details.
Juha mkubwa huna unachokijua Kaa tu Kimya sawa? Unajifanya una Akili wakati unazidiwa na hata Dereva Bodaboda tu anayekuchapia Mamsampu wako.
 
Hata kama katiba basi ni mwizi mzuri

Kuiba na kuwekeza nchini na kuongeza ajira ni kuzuri kuliko kuiba na kupeleka pesa nje uswisi nk

Mabasi 60 kila basi linakuwa na madereva wawili na wahudumu wawili jumla wanne

Nne Mara mabasi 60 ni kuwa yataongeza Ajira za watu 240

Hao 240 wana wategemezi chukulia kila mmoja anawategemezi wawili jumla ya watakaofaidika ni wao 240 jumlisha wategemezi 480 .Wataokafaidika direct na hizo ajira ni 720

Bado kuna TRA hapo wanafaidi,bado wenye nyumba za kupangisha wanafaidi, bado vituo vya mafuta vitafaidi kujaza mafuta hayo magari,bado magereji watafaidi nk

Watanzania tuache utoto tukiona wazawa wanawekeza kwenye nchi tuachane na wivu wa kijinga

Watu wabaya ni waenda kuficha pesa nje

Binafsi kama ni kweli kaagiza mabasi 60 nampongeza
 
Uchumi haujengwi hivyo aisee. Hao wanaoibiwa kwanza watakosa motisha ya kutafuta hela zaidi. Na kama ni masikini ndiyo unawazadishia umaskini. Hata kama hizo hela za wizi zitatengeneza ajira 1000, zinaweza pia kuharibu au kuuwa ajira zaidi ya 1000. Labda kama angeiba nchi nyingine kama Wazungu walivyoiba kwenye makoloni yao na kuja kuwekeza nyumbani ndiyo ningekuelewa.
 
Kwa hiyo umenuna mtu kujinunulia magari?Hebu acha akili za kimasikini mkuu!Au haupendi tukalione ziwa Singidani?😂😂😂

Nimepanda juzi Kiomboi/ Dar.
Shida sio kununua mabadi, aagize hata 100. Chamsingi iwe ni pesa ya biashara sio tozo.

Kwa sheria zetu wanadhiniti vipi mgongano wa kimadlahi viongozi wetu wenye nyadhifa nyeti kuwa wafanya biashara? Maamuzi Yao kwenye baadhi ya mambo yatakua sawa kweli?
 
Back
Top Bottom