Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
Baadhi ya viongozi wa nchi hii wanatumia vyeo vyao kuingia mikataba na wafadhili kwa maslahi yao! Wanafungua taasisi na kuanzisha biashara kwa manufaa yao! Wanajificha nyuma ya kivuli cha wawekezaji!
Hakuna vikwazo/sheria za wao kumiliki mali zenye thamani kubwa tofauti na kipato chao!
Hata ikiwa ni kweli, bado sheria haimbani!
Hakuna vikwazo/sheria za wao kumiliki mali zenye thamani kubwa tofauti na kipato chao!
Hata ikiwa ni kweli, bado sheria haimbani!