DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Endapo ni kweli, basi yaonesha wazi akili fupi za waliowengi Tanzania, hata hao elites. Yaani una hela kama hizo hukuona cha kufanya katika dunia hii mpya isipokuwa biashara 'traditional' za kizamani, nawe ni Waziri wa fedha? Hujui kuna kununua Bitcoins au ku invest katika stock za Japan, Marekani, Australia ambazo zitakuletea maradufu ya mabasi yote hayo kwa miezi sita tu? Au kuanzisha kiwanda ukaajiri kwa muda mrefu, start up katika info technology?

Hizi zako ndo akili? Bitcoin wanawekeza mazwazwa it has no value in the real world ndo maana inaporomoka tu watu wameshtuka. Leo kila mtu akiacha kazi aanze kununua na kuuza huo upuuzi what will happen? Exactly.

Awekeze pesa nje afu nani awekeze TZ? Pesa anayo mnata apeleke nje then muende tena nje mkaombe misaada. Kitu kibaya sio kuiba pesa ni kuiba pesa na kuzificha nje wakati zingeweza kuzunguka nchini mwako only if wote wenye pesa Swiss na huko nje wangeziacha bongo Tz ingekua mbali kuliko sasa. Akizipeleka huko wewe utatoa hiyo huduma ya usafiri?
 
Tatizo siyo kununua, pesa amezipata wapi na mshahara wake wajulikana? Au atuoneshe amechukua wapi mkopo? Watu wengine hata wakiibiwa waona sawa tu endapo aibaye ni Waziri! Mwizi ni mwizi tu.

Waziri analipwa shingapi?
 
Hakuna mtu atakayeshangaa Abood au Shabiby kuagiza mabasi, ni matajili kabla ya kuwa wabunge, huyu Mwigulu Nchemba Kwa miaka 10 tu kapata wapi huo utajili?
Kachukua mkopo
 
Back
Top Bottom